Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Pope Francis amesoma falsafa na theolojia zaidi yako wewe mmatumbi.

Anapoulizwa swali la problem of evil na kusema hajui inabaki pale pale kwamba hili ni swali zito katika imani juu ya uwepo wa mungu.

Katika makelele uliyoandika hapo juu, hakuna sehemu umesema kama ungezuia earthquake au la.

Ungekuwa na uwezo wa kuzuia mauaji ya Rwanda 1994, ungezuia au ungeacha?

Ungekuwa na uwezo wa kuzuia a 7.8 earthquake in Nepal, ungezuia au ungeacha?

Mind you wewe ndiyo unasema una upendo juu ya watu wako.

Sasa ungezuia au ungeacha? A very simple question. Hutaki kujibu kwa sababu jibu litaonyesha hicho inachoita mungu ni katili zaidi ya makatili.

Pope Francis kasoma Falsafa na Theology ...ni kweli. So what ?
Kelele zangu nimeandika kukukumbusha kwamba katika maafa ya Nepal sio yote yamesababishwa na natural force iliyoleta earthquake Kama ubongo wako hauwezi Ku comprehend hilo sio tatizo langu ni lako kukubali world view inayouwa uwezo wa kutafakari vizuri.

Uwezo sio kitu pekee kinachonifanye nitende jambo. Kuna mambo mengi zaidi ya uwezo. Ingekuwa ni uwezo pekee ningefyeka mazao ya watu yote yaliyolimwa kwenye njia ninayopita. Pamoja na kuwa na uwezo sitofanya hivyo. Tumia akili japo kidogo

Nikikwambia Nina upendo juu ya watu wewe unaelewaje ? Matatizo ya wewe kuelewa mantiki ya upendo juu ya watu yasiwe ndiyo hoja dhidi yangu. Kifo si shida kwamgu uhai na kifo kwangu ni sawa na mifuko ya suruali yangu ya kushoto na kulia ni uamuzi wangu kuweka nitakacho kushoto ama kulia.

Nimekunibu yote tatizo ni kuwa na assassinated brain hivyo unashindwa kuelewa.
Mungu ni katilli kwa mtazmo wa Mungu binadam au yule god of gaps lakini kuhusu Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi ukatili wake unaonekana kwa binadamu waliopungukiwa uwezo kihekima na kimaono.
 
Hakuna atakayetoa majibu ya haya maswali.

Kibaya zaidi, hawa wanaosema wana morals kwa sababu wanaamini kuna mungu, hawatakubali hata kwamba hawana majibu.

Honesty! Talk about honesty!

Duh, wanaopiga kelele kuhusu kumjua mungu, wanapenda uongo wa kusema wanajua vitu vipo wakati hawajui.

Wanaopewa label ya upagani ndio waliojikita katika uhakiki na kutokubali mambo ambayo hayayumkiniki.

Hivi watu tumekosa kufikiri hata kidogo tu kwamba huyu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote maisha yasingekuwa na mabaya yote tunayoyaona?
 
Suala la binadamu kuwa kitoweo limetoka wapi? Nimehoji juu ya earthquake ya Nepal, napewa mfano wa binadamu kuuwa wanyama kama kitoweo. Does that justify an earthquake in Nepal that has killed 5000+ people?

Kuhusu canibalism, kawasome watu wa Papua New Guinea. Fungua akili yako kidogo.

Hapa nikifungua akili zaidi nitakuwa nakutesa tu. Umrandika kuhusu moral laws kuwa relative nimekuuliza wapi ambako binadam ni kitoweo cha binadam wengine hadi kuwepo kwenye menu za hotel zao. Pasipo kutafakari unakurupuka na kulalamika na Kama kawa kuhusianisha na upu.uzi niliyokujibu tayari kuhusu Nepal's earthquake .
Nikawasome ili iweje ? Kwanini niwasome wakati wanafanya kitu cha kawaida ? Mbona renamo walikuwa wanawachsha waliowaua vitani msumbiji.
Issue ni kwanini uone ni vibaya ?
Fungua akili japo kidogo nawe.
 
Pamoja na kuwa na assassinated brain Nitazidi kutumia wewe Kama ubao wa kufundishia wengine.
All started with Genesis 1. In the bigining ... There was no dhambi, dhambi ilipoingia ndipo Mungu akaleta prescription yake.

Hapa ni kabla au baada ya malaika kuasi?

Hata wewe waeza soma lini sheria kuhusu incest iliingia na kuanza kutumika.

Ni lini hii sheria iliingia na kuanza kutumika? Show me the text in the bible.

Kuna sheria ya mitandao inasubiri signature ya Mh. Raisi kwa akili yako hiyo sheria ilitakiwa kuwapo tangu mitandao inaanza au kabla ya mitandao kuwepo.

Hauhitaji sheria kujua kwamba kupost certain materials or information is harmful. Ni common sense. Sadly common sense is not common. Watu wengine mpaka muandikiwe usikojoe hapa ndiyo hamkojoi. Get it?

Kweli assassinated brain ni majanga.

You are entitled to your opinion.

My argument is, kabla ya amri za mungu kuletwa na musa, je ilikuwa ni sawa kuua, kudharau wazazi, kuamudu miungu wengine, kuzini, etc etc?
 
Hapa nikifungua akili zaidi nitakuwa nakutesa tu. Umrandika kuhusu moral laws kuwa relative nimekuuliza wapi ambako binadam ni kitoweo cha binadam wengine hadi kuwepo kwenye menu za hotel zao. Pasipo kutafakari unakurupuka na kulalamika na Kama kawa kuhusianisha na upu.uzi niliyokujibu tayari kuhusu Nepal's earthquake .
Nikawasome ili iweje ? Kwanini niwasome wakati wanafanya kitu cha kawaida ? Mbona renamo walikuwa wanawachsha waliowaua vitani msumbiji.
Issue ni kwanini uone ni vibaya ?
Fungua akili japo kidogo nawe.

How old are you?

I mean intellectually. How old are you?
 
Hapa ni kabla au baada ya malaika kuasi?

Ni lini hii sheria iliingia na kuanza kutumika? Show me the text in the bible.

Hauhitaji sheria kujua kwamba kupost certain materials or information is harmful. Ni common sense. Sadly common sense is not common. Watu wengine mpaka muandikiwe usikojoe hapa ndiyo hamkojoi. Get it?

You are entitled to your opinion.

My argument is, kabla ya amri za mungu kuletwa na musa, je ilikuwa ni sawa kuua, kudharau wazazi, kuamudu miungu wengine, kuzini, etc etc?

Si kweli kwamba uliwa Atheist unabadilika kuwa na ubongo wa Nyumbu , na wewe soma maandiko yanayohusiana na inachodai then usichoelewa uliza.
Mimi nimeandika na kukukumbusha kwamba kutamvmbua dhambi sharti kwanza pawepo na katazo au sheria.
Atheist Kama binadam mnaowajibu wa kujiuliza na kuuliza maswali na kutafuta majibu msibwete na kujidanganya kwamba ninyi wajibu wenu ni kuuliza wengine na kujibiwa
Jiulizeni kuhusu "origin" "purpose " meaning na hata destiny .
Ninyi ni binadam tafuteni majibu.
 
Pope Francis kasoma Falsafa na Theology ...ni kweli. So what ?

He knows what he is saying, unlike you.

Anajua umuhimu wa swali hilo katika falsafa ya dini. Wewe hujui ni mpiga kelele na mfia dini.

Kelele zangu nimeandika kukukumbusha kwamba katika maafa ya Nepal sio yote yamesababishwa na natural force iliyoleta earthquake Kama ubongo wako hauwezi Ku comprehend hilo sio tatizo langu ni lako kukubali world view inayouwa uwezo wa kutafakari vizuri.

Earthquake iwe imeletwa na natural causes or not, kama ungekuwa na uwezo wa kuizuia na kuzuia watoto wadogo wasife ungezuia au ungeacha? Jibu swali. Kama huwezi kujibu sema siwezi. Acha porojo.

Uwezo sio kitu pekee kinachonifanye nitende jambo.

Unapoona mtoto wako anataka kuchinjwa na ISIS na una uwezo wa kuzuia utazuia au utaacha?

Acha porojo.

Kuna mambo mengi zaidi ya uwezo. Ingekuwa ni uwezo pekee ningefyeka mazao ya watu yote yaliyolimwa kwenye njia ninayopita. Pamoja na kuwa na uwezo sitofanya hivyo. Tumia akili japo kidogo.

Problem of evil questions morality. Little do you know that.

Nikikwambia Nina upendo juu ya watu wewe unaelewaje ? Matatizo ya wewe kuelewa mantiki ya upendo juu ya watu yasiwe ndiyo hoja dhidi yangu. Kifo si shida kwamgu uhai na kifo kwangu ni sawa na mifuko ya suruali yangu ya kushoto na kulia ni uamuzi wangu kuweka nitakacho kushoto ama kulia.

Kifo si tatizo kwako, tell that to a one year old in Somalia about to die because of famine.

Acha kujibu ilimradi umejibu tu.

Kwako kifo si tatizo, kuna watu wanakufa kwa kukosa chakula. Au hilo si tatizo na ni sawa na mfuko wako wa kushoto na kulia.

You are mentally sick. Seek help.

Nimekunibu yote tatizo ni kuwa na assassinated brain hivyo unashindwa kuelewa.
Mungu ni katilli kwa mtazmo wa Mungu binadam au yule god of gaps lakini kuhusu Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi ukatili wake unaonekana kwa binadamu waliopungukiwa uwezo kihekima na kimaono.

Wewe imani imekufanya uwe na matatizo ya akili kiasi kwamba reasoning ndogo tu huwezi.

Ni sawa na ku-debate na ISIS au mfuasi wa kibwetere.

You need help.
 
Una kichwa kidogo sana lakini nitajitahidi kukuelewesha.

Unaposema hakukuwa na sheria maana yake kula kitimoto ilikuwa ni sawa, (incest ilikuwa ni sawa ni si dhambi kwa sababu hakukuwa na sheria).

Lakini sheria ikaletwa kwamba incest si sawa hivyo incest ikawa dhambi.

Hapo kuna vitu viwili, kwamba jambo linaweza kuwa jema leo na baya kesho. Hivyo mungu hana absolute set of rules zinazosimamia matendo yetu kiasi kwamba jambo moja linakuwa dhambi jana, leo na kesho.

Unasema uovu ni relative, not absolute. This shows god is fickle, not sure and certainly cannot predict the future nor is he/she/it intelligent enough to design an intelligent system that abides by a set of absolute rules.

In other words, kwa anayeelewa theolojia, umeshamkana huyo mungu wako. Tatizo hujui na huelewi.

Atheism is a lack of belief, not a belief.

Kigumu ni wewe kushindwa kuelewa implication ya unachokisema.

Unaposema hakukuwa na moral laws juu ya incest, unamaanisha incest ilikuwa ni sawa. Zilipokuja hizo moral laws then incest ndiyo ikawa dhambi.

Unachosema ni kwamba kabla ya kuja amri kumi za mungu, kuua, kusema uongo, kudharau wazazi etc zilikuwa si dhambi kwa sababu amri za mungu hazikuwepo. Unaona argument yako inavyokuwa fyongo.

Unachosema ni kwamba moral laws are not absolute. You are simply saying there is no such thing as a sin.

Soma tena mara mbili labda utaelewa.

Wapi nimeandika moral laws sio absolute Bali ni relative ? Acha kugeuza hoja zako kuniwekea Mimi.
Ningekuwa naamini kuhusu relativity kwenyw morals ningekuuliza kuhusu mahali ambako binadamu hutumia binadamu wengine Kama kitoweo na kuwa na hotel ambazo menu zao ni pamoja na kitoweo hicho ?
Unaamua kutotumia akili ili kujipa hoja zisizona mashiko.
 
Hata jina incest halikuwapo kwa kuwa hakukuwa na kitu Kama hicho.
Huwezi kusema kuna incest wakati inaitwa incest na sharia. Kabla ya sheria hakukuwepo na kitu inaitwa incest. We jamaa kichwani muna nini ?
 
Si kweli kwamba uliwa Atheist unabadilika kuwa na ubongo wa Nyumbu , na wewe soma maandiko yanayohusiana na inachodai then usichoelewa uliza.
Mimi nimeandika na kukukumbusha kwamba kutamvmbua dhambi sharti kwanza pawepo na katazo au sheria.

Nakuuliza, sheria ya kukataza incest imekuja lini?

Je kabla ya hapo incest ilikuwa sawa?

Atheist Kama binadam mnaowajibu wa kujiuliza na kuuliza maswali na kutafuta majibu msibwete na kujidanganya kwamba ninyi wajibu wenu ni kuuliza wengine na kujibiwa

Tunauliza maswali ili tupate majibu na kuongeza uelewa wetu.

Wewe unasema kuna mungu, jibu maswali yetu. Kama huna jibu sema huna na si kukasirika hovyo.

Jiulizeni kuhusu "origin" "purpose " meaning na hata destiny.

Kuhusu purpose and meaning, this is subjective. Kuna nihilists, hedonists, humanists etc etc.

But you wouldn't know sh!t because you live in a very tiny box.

Ninyi ni binadam tafuteni majibu.

Hii ni njia mojawapo ya kutafuta majibu.

Huna majibu unaleta porojo.
 
Hata jina incest halikuwapo kwa kuwa hakukuwa na kitu Kama hicho. Huwezi kusema kuna incest wakati inaitwa incest na sharia. Kabla ya sheria hakukuwepo na kitu inaitwa incest. We jamaa kichwani muna nini ?

Kitendo cha kufanya mapenzi na ndugu yako wa damu kilikuwepo au hakikuwepo?

Kama kilikuwepo, je kilikuwa ni dhambi au la?

Ni lini kitendo hichi kiliacha kuwa dhambi? Ni lini sheria ilikuja ya kusema kitendo hichi si sawa?
 
My argument is, kabla ya amri za mungu kuletwa na musa, je ilikuwa ni sawa kuua, kudharau wazazi, kuamudu miungu wengine, kuzini, etc etc?

We jamaa ni noma. Sheria ndiyo inaleta utambuzi wa kitu ukiitacho kuua. Pasipo sheria sijui unapata wapi kosa liitwalo kuua. Na mingine ni vivyo hivyo.
Common sense is not common to all ndiyo sababu zinaletwa sheria Ku fill the gap ambalo common sense imeshindwa.
Unaelewa ?
 
Wapi nimeandika moral laws sio absolute Bali ni relative ? Acha kugeuza hoja zako kuniwekea Mimi.

Unaposema incest ilikuwa si dhambi then but it is now, unamaanisha dhambi ni relative na si absolute.

Ndiyo maana nakazania kukuambia ukajifunze falsafa ya dini kidogo tu. Mwenzangu hutaki unabisha.

Ningekuwa naamini kuhusu relativity kwenyw morals ningekuuliza kuhusu mahali ambako binadamu hutumia binadamu wengine Kama kitoweo na kuwa na hotel ambazo menu zao ni pamoja na kitoweo hicho ?
Unaamua kutotumia akili ili kujipa hoja zisizona mashiko.

Hapa unaonyesha hujui hata nini maana ya absolutism na relativism.

Unajiandikia tu ili kubisha.

Go read and learn stuff. It is not too late.
 
Nakuuliza, sheria ya kukataza incest imekuja lini?

Je kabla ya hapo incest ilikuwa sawa?

Tunauliza maswali ili tupate majibu na kuongeza uelewa wetu.

Wewe unasema kuna mungu, jibu maswali yetu. Kama huna jibu sema huna na si kukasirika hovyo.

Kuhusu purpose and meaning, this is subjective. Kuna nihilists, hedonists, humanists etc etc.

But you wouldn't know sh!t because you live in a very tiny box.

Hii ni njia mojawapo ya kutafuta majibu.

Huna majibu unaleta porojo.

Sheria ndiyo inaanzisha kitu inaitwa Incest pasipo sheria wewe unajuaje kuwa kitu Fulani ni incest ? Mbona hujibu ?
Kabla ya sheria kuhusu incest hakuwezi kuwepo na tendo baya kadri ya sheria ya incest ambayo haikuwapo wakati huo.
Hakuna maswali ambayo sijawajibu. Nakupa pole Kama maajibu yangu hayakuridhishi.

nihilists, hedonists, humanists
Nipe Sifa kuntu zinazowatofautisha hao watu kwa kadri ya makundi hayo.

My box is very huge ! Wewe ndiye upo ndani ya kabox umefumgiwa unaendeshwa kwa remote. Jamaa wamekuachia ka upenyo ka "problem of evils" uhangaike nako.

Wasio na majibu ni wale wenye default position Mimi Nina majibu na nimeqkuwekea katika kila Uzi ninao nukuu.
 
We jamaa ni noma. Sheria ndiyo inaleta utambuzi wa kitu ukiitacho kuua. Pasipo sheria sijui unapata wapi kosa liitwalo kuua. Na mingine ni vivyo hivyo.

Absolutism inasema kitendo fulani ni dhambi, pawepo au pasiwepo na sheria. Hivyo swala la uwepo wa sheria ni irrelevant.

Mfano, kuua ni dhambi pawepo na sheria ya kukataza kuua or not.

Ndiyo maana nakuuliza, kabla ya amri za mungu, kuua, kuzini, kuabudu miungu wengine ilikuwa ni dhambi au la?

Hujibu hili swali kwa sababu litaonyesha jinsi gani akili yako ilivyo finyu.

On the other hand, relativisim inasema dhambi ni subjective kutegemeana na mahali na muda husika. Unaposema dhambi ni subjective una-reduce dhambi to a mere nothing.

Najua itakuchukua muda kuelewa but I am doing my best.

Common sense is not common to all ndiyo sababu zinaletwa sheria Ku fill the gap ambalo common sense imeshindwa.
Unaelewa ?

This is what I have been saying. Kwamba kuna watu mpaka uwaandikie usikojoe hapa ndiyo wanaelewa kukojoa hapa si sawa -- case on point -- YOU.
 
Kitendo cha kufanya mapenzi na ndugu yako wa damu kilikuwepo au hakikuwepo?

Kama kilikuwepo, je kilikuwa ni dhambi au la?

Ni lini kitendo hichi kiliacha kuwa dhambi? Ni lini sheria ilikuja ya kusema kitendo hichi si sawa?

Siwezi kuendelea kujaza serve kwa kuchemsha mawe.
Soma biblia haijaacha kitu. Tangu mwanzo wa ulimwengu na nyakati , tangu kuumbwa kwa binadam na kuendelea kuongezeka kwa wanadamu, tangu binadamu alipokuwa anatumia mimea hadi kupewa prescription ya nini ale na nini asile
Na alipopewa prescription ya namna ya kuhusiana binadamu na binadamu hadi koo na koo.
Tumaitwa binaadam kwa kuwa sote tumetoka shina la Adamu

Sio kila swali unatakiwa iulize mengine wewe Kama binadam unawajibika kutafuta majibu.
Tambua tofauti ya sheria za kimaumbile za dunia na sheria za kimahudiano za binadamu na Mungu.
Maana kwa akili za kiatheist huchelewi kulinganisha Laws of Gravity za Newton na Usiue ya Musa.
 
Sheria ndiyo inaanzisha kitu inaitwa Incest pasipo sheria wewe unajuaje kuwa kitu Fulani ni incest ? Mbona hujibu ? Kabla ya sheria kuhusu incest hakuwezi kuwepo na tendo baya kadri ya sheria ya incest ambayo haikuwapo wakati huo.
Hakuna maswali ambayo sijawajibu. Nakupa pole Kama maajibu yangu hayakuridhishi.

Soma hapo juu nilivyokujibu na nitarudia tena kukujibu.

Sheria ina-dictate whether "kitendo" fulani ni kibaya au la.

Kabla ya uwepo wa sheria, haimaanisha "kitendo" husika hakikuwepo.

Incest ilikuwepo kabla ya sheria. Kitendo cha watu kufanya mapenzi na ndugu wa damu kilikuwepo. Si sawa kusema sheria ndiyo inaanzisha incest. Kitendo cha incest ni independent na sheria.

Umeelewa?

nihilists, hedonists, humanists
Nipe Sifa kuntu zinazowatofautisha hao watu kwa kadri ya makundi hayo.

Kasome ujue nini maana ya vitu hivyo.

Kuuliza nini inatofautisha kijani, nyekundu na manjano ni kuonyesha jinsi gani hujui.

My box is very huge ! Wewe ndiye upo ndani ya kabox umefumgiwa unaendeshwa kwa remote. Jamaa wamekuachia ka upenyo ka "problem of evils" uhangaike nako.

Religious zealots are closed minded. You happen to be one. Hutaki kujifunza, unapiga kelele tu.

Wasio na majibu ni wale wenye default position Mimi Nina majibu na nimeqkuwekea katika kila Uzi ninao nukuu.

Sasa kama una majibu mbona unalalamika tunapouliza maswali?
Kiranga mpaka sasa hujamjibu swali lake, leave alone maswali mengine mnayoyakimbia.

Mfano nimekuuliza, Je kabla ya amri kumi za mungu kushushwa, kuua, kudharau wazazi, kuabudu miungu wengine ilikuwa ni sawa? Hujajibu. Hapa unasema umejibu kila kitu.

Si mnafundishwa kuwa wakweli nyie? Sasa uongo wa nini.
 
Last edited by a moderator:
Siwezi kuendelea kujaza serve kwa kuchemsha mawe.
Soma biblia haijaacha kitu. Tangu mwanzo wa ulimwengu na nyakati , tangu kuumbwa kwa binadam na kuendelea kuongezeka kwa wanadamu, tangu binadamu alipokuwa anatumia mimea hadi kupewa prescription ya nini ale na nini asile
Na alipopewa prescription ya namna ya kuhusiana binadamu na binadamu hadi koo na koo.
Tumaitwa binaadam kwa kuwa sote tumetoka shina la Adamu

Hebu rudia kusoma ulichoandika. Ni wapi umetoa jibu la swali "Ni lini na wapi katika biblia ambapo binadamu amekatazwa kujamiana na ndugu yake wa damu?" Hujajibu.

Sio kila swali unatakiwa iulize mengine wewe Kama binadam unawajibika kutafuta majibu.

Hii ni njia mojawapo ya mimi kutafuta majibu. Swali dogo sana nilitegemea utakuwa na jibu kumbe huna.

Tambua tofauti ya sheria za kimaumbile za dunia na sheria za kimahudiano za binadamu na Mungu.
Maana kwa akili za kiatheist huchelewi kulinganisha Laws of Gravity za Newton na Usiue ya Musa.

Hakuna sehemu nimefanya huo mlinganisho.

Hizo ni hallucinations zako tu.
 
Unaposema incest ilikuwa si dhambi then but it is now, unamaanisha dhambi ni relative na si absolute.

Ndiyo maana nakazania kukuambia ukajifunze falsafa ya dini kidogo tu. Mwenzangu hutaki unabisha.

Hapa unaonyesha hujui hata nini maana ya absolutism na relativism.

Unajiandikia tu ili kubisha.

Go read and learn stuff. It is not too late.

Mungu alimuumba Adam na Eva wao ndiyo wazazi wa binadam wote. Walizaa watoto wa kiume na wakike. Kwa akili ya kiatheist Adam na Eva walikuwa wanafanya dhambi kwa kuwa Eva alikuwa amatokana na parts za Adam.
Sijui nikusaidieje maana tafakari zako hazitokani na asili ya mwanadamu Bali malundo UA wanadamu.
Mimi na wengi wa waamini Mungu tumaamini kupitia wana wa kiume na wa kike wa Adam ndipo ongezeko na koo za wanadamu zilipoibuka.
Ni kuongezeka kwa wanadamu kukatemgemlneza makundi ambayo ndiyo yanayoitwa ndugu wa damu. Na muda ikafika Mungu akaweka mwongozo wa namna ya kuhisiana binadam na binadamu mwingine na binadamu na mazingira yanayo wazunguka.
Wewe huelewi nini ?

Ungejifunza falsafa ungeamini kuanza kwa hekima pasipo hekima ?

Kajifunze wewe namna ya kutafakari kwa mpangilio ukihusianisha ma mazingira yaliyipo na siyo Yale unayoyaota au ungetamani yawepo.

Nasisitiza kukufundisha wewe na wana falsa ushwara wemzio. Neno dhambi hutanguliwa na sheria inayotambua uwepo wa hiyo dhambi.
 
Mungu alimuumba Adam na Eva wao ndiyo wazazi wa binadam wote.

Una ushahidi wa kuthibitisha Mungu kamuumba Adam na Eva?

Na nani kamuumba mungu?

Walizaa watoto wa kiume na wakike. Kwa akili ya kiatheist Adam na Eva walikuwa wanafanya dhambi kwa kuwa Eva alikuwa amatokana na parts za Adam.

Hao watoto wa kiume na kike waliitwa nani na walikua wangapi?

Can you draw a family tree inayokufikia wewe? This is funny.

Hao watoto wa kiume walizaa na nani according to the bible not according to you.

Go read the bible, na uje hapa useme hao watoto wa kiume walizaa na nani. Utakuta something different if you look at the bible. I dare you to go find this one out.

Sijui nikusaidieje maana tafakari zako hazitokani na asili ya mwanadamu Bali malundo UA wanadamu.
Mimi na wengi wa waamini Mungu tumaamini kupitia wana wa kiume na wa kike wa Adam ndipo ongezeko na koo za wanadamu zilipoibuka.

Una ruhusa ya kuamini chochote. Hukatazwi.

Imani hiyo haimaanishi kitu hicho ni kweli.

Ni kuongezeka kwa wanadamu kukatemgemlneza makundi ambayo ndiyo yanayoitwa ndugu wa damu. Na muda ikafika Mungu akaweka mwongozo wa namna ya kuhisiana binadam na binadamu mwingine na binadamu na mazingira yanayo wazunguka.

Huo muongozo uliekwa lini? Simple question. No answer.

Wewe huelewi nini ?

Sielewi ni lini mungu alieka muongozo wa kusema sasa binadamu humu ndani washatosha sasa kaka na dada wasifanye mapenzi ndiyo maana nakuuliza, huo muongozo uliekwa lini?

Pia sielewi ni jinsi gani dhambi inakuwa relative na kusema kwamba this is work of an intelligent designer.

Ungejifunza falsafa ungeamini kuanza kwa hekima pasipo hekima ?

Kajifunze wewe namna ya kutafakari kwa mpangilio ukihusianisha ma mazingira yaliyipo na siyo Yale unayoyaota au ungetamani yawepo.

Nasisitiza kukufundisha wewe na wana falsa ushwara wemzio. Neno dhambi hutanguliwa na sheria inayotambua uwepo wa hiyo dhambi.

Am out.
 
Back
Top Bottom