Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Soma hapo juu nilivyokujibu na nitarudia tena kukujibu.
Sheria ina-dictate whether "kitendo" fulani ni kibaya au la.
Kabla ya uwepo wa sheria, haimaanisha "kitendo" husika hakikuwepo.
Incest ilikuwepo kabla ya sheria. Kitendo cha watu kufanya mapenzi na ndugu wa damu kilikuwepo. Si sawa kusema sheria ndiyo inaanzisha incest. Kitendo cha incest ni independent na sheria.
Umeelewa?
Kasome ujue nini maana ya vitu hivyo.
Kuuliza nini inatofautisha kijani, nyekundu na manjano ni kuonyesha jinsi gani hujui.
Religious zealots are closed minded. You happen to be one. Hutaki kujifunza, unapiga kelele tu.
Sasa kama una majibu mbona unalalamika tunapouliza maswali?
Kiranga mpaka sasa hujamjibu swali lake, leave alone maswali mengine mnayoyakimbia.
Mfano nimekuuliza, Je kabla ya amri kumi za mungu kushushwa, kuua, kudharau wazazi, kuabudu miungu wengine ilikuwa ni sawa? Hujajibu. Hapa unasema umejibu kila kitu.
Si mnafundishwa kuwa wakweli nyie? Sasa uongo wa nini.
Kama sheria ndiyo indiketa ya kitendo kibaya , kabla ya sheria ulitumia nini kuona ubaya wa kitendo hicho ? Kitendo kinakuwepo lakini hakina alama ya kukitambulisha ubaya wake.
Kuwepo kwa kitendo na Sifa za kuwa kibaya ni vitu viwili tofauti.
Kitendo cha kuhusiana ndugu wa damu hakikuwa Incest kabla ya sharia iliyotambua kuwa kitendo hicho ni incest kuwepo. Wana wa kike na wana wa kiume wa Adamu hawakuwa wanatemda dhambi kuzaa watoto. Yule aliyeweka mechanism ya wao kuweza kuzaa hakuwa ameweka mipaka ya ndugu wa damu kwanza.
Kitendo cha kuhusiana wana wa Adam wa kike na wakiume hakijawahi kuitwa au kuwa incest. Toa ushahidi.
Hakukuwa hata na hekima ya kutambuana Kama kaka na dada ni ujinga wa hali ya juu kuimgiza incest zama ambazo hata kaka na dada hazikuwa terms za kuwarifaa watoto wa kike na wa kiume. Kiranga ametafuta uvungu kajichomeka na viroja vyake vya kipu.uzi huyo achana naye labda akajadili na walevi wa gongo ambao hawajielewi. Mwenyewe ameathiriwa na kariri.
Kabla ya sheria kuhusu kuua ni kwa namna gani kuuwa kunakuwa Kosa au dhambi ? Mbona hutaki kuelewa. Pasipo sheria urarumia nini kutambua kwamba kitu Fulani ni kosa ?
Niambie namna ninavyoweza kutambua kwamba kuua ni kosa pasipo sheria
Hayo ya kudharau wazazi, kuabudu miungu yote unatakiwa uniambie namna ambayo waweza kutambua kuwa kosa pasipo prescription.
Nani muongo na kaongopa nini ? Majibu haya haya nimekujibu post za nyuma tatzio.ni wewe tu.
Last edited by a moderator: