Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Haita kusidia unachotakiwa kufnya ni kuthibitisha kweli mungu wako yupo

Kwangu mimi itanisaidia sana lakini nashangaa mnaogopa kueleza hili jambo. Ujue ktk yale mambo yote ambayo hufanya watu kuamini uwepo wa mungu sioni mkitowa majibu yenye kuonesha kuwa hayo mambo hayafanyi kuwe na uwepo wa mungu,pili sioni ushahidi hasa wenye kuonesha kuwa hakuna mungu. Hivyo lazima kutakuwa na kitu kilichokufanya hadi ukaishia kuwa atheist lakini si kwa hoja kama hizo mnazozileta hapa ndiyo zilizokufanya kuacha imani yako.
 
Failure to plan is planning to fail.

Mungu kuumba dunia ambayo kukosea kunawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao kukosea hakuwezekani ni kupnga watu wakosee.

Kama angekuwa Software Architect halafu anapewa project ya ku design software, halafu anatengeneza bugs intentionally kwenye hiyo software wakati ana uwezo wa kutengeneza software isiyo na bugs, akigunduliwa anafukuzwa kazi kwa malicious incompetence.

Mtu akitumia hiyo software na kukidhi conditions za ku trigger hiyo bug, atakuwa ame trigger hiho bug kwa sababu imewekwa na huyo architect, bika ya huyo architect kuweka hiyo bug huyo mtu asingeweza ku trigger hiyo bug.

Same story kwa mungu. Kwa nini aumbe ulimwengu wenye mawaa kama aliweza kuumba uimwengu usio na mawaa?

Sasa kwa nini tuwe na higher standards kwa Software Architects sasio na ujuzi wote, uwezo wote wala upendo wote kuliko standards zetu kwa mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Utawala wa Mungu sio wa kutumia nguvu(kulazimisha) ni utawala uliosimama. Kumbukumbu la torari 30:19 inasema...

"Nazishuhudia mbingu na nchi juu yenu leo,kua nimekuwekea mbele yako uzima na mauti,baraka na laana,basi chagua uzima ili uwe hai wewe na uzao wako"

Mungu ametuumba watu huru wenye utashi. Kila ufanyalo ni matokeo ya hiari yako. Hawezi kukulazimisha kumuamini au kumchagua yeye lakini anaweza kukushawishi umuamini na ndiomaana uamuzi wa mwisho unabaki kwako. Amekwambia uchague uzima na mauti,baraka na laana mwisho akamalizia chagua uzima.

Binadamu natural ameumbwa na uoga, kuogopa hasara/hatari na hupenda furaha.
 
Ikiwà Mungu amewaachia wanadamu uamuzi wa kuchagua mema na mabaya(freewill) iweje sasa atabiri kutokea kwa watakaompinga na watakao hukumiwa adhabu ya milele.Huko si kuuingilia uhuru aliompa mwanadamu.
 
Kutabiri ni kuingilia uhuru wa kuchagua kwa maana ipi?
 
Kwanini shetani anamzidi nguvu katika kikiendesha kiumbe chake alichokiambua (mwanadamu)

Hata wanadamu wanazidiana nguvu kuendeshana mfano rais ni binaadamu lakini anamuru majeshi yakaue watu tayari kashawaendesha watu tofauti na mungu
 
Kutabiri ni kuingilia uhuru wa kuchagua kwa maana ipi?

Katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana utakuta Mungu anatabiri kutokea kwa wapinga kristo na(na utabiri wa Mungu lazima utimie)Sasa hao wapinga kristo wanaotabiriwa hapo si bado hata hawakufanya uamuzi wa kwao wenyewe ?

Kama binadamu wenyewe ndio tunaofanya uamuzi wa kumtumikia au kutomtumikia Mungu si angeatuachia sisi wenyewe tu iweje atutabirie tena
 
Kutabiri maana yake nini?
 
Kutabiri ni kutoa bayana ya mambo /matukio yatakayojiri au kutukia katika wakati fulani ujao

KAMA NIMEKOSEA MAANA YA KUTABIRI BASI UNAWEZA KUNISAHIHISHA
 
Katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana utakuta Mungu anatabiri kutokea kwa wapinga kristo na(na utabiri wa Mungu lazima utimie)Sasa hao wapinga kristo wanaotabiriwa hapo si bado hata hawakufanya uamuzi wa kwao wenyewe ?

Kama binadamu wenyewe ndio tunaofanya uamuzi wa kumtumikia au kutomtumikia Mungu si angeatuachia sisi wenyewe tu iweje atutabirie tena

Ndio nikawa nasema kila siku.
Wapinga Mungu wote wameusoma Ukristo tu ndio wakapata Kasoro kibao za kujenga hoja zao.
Wale Atheist waliousoma UISLAMU kwa dhati karibu wote Wamesilimu na Kuamini MUNGU.

Nakushauri na wewe uusome UISLAMU KWA HAKI utapata majibu yako yote.
 
Kwenye Uislamu nako si wanafundisha kwamba Mungu anaujua mwisho kabla ya mwanzo.Au nasema uongo
 
Kwa hivyo basi kuna watu alishajua kuwa watatumikia adhabu ya milele kabla hata hajawaumba.Na kama ni hivyo upendo wake uko wapi?

Kumbe na wewe Mazikujhon unajiulizaga haya maswali? Mbona sasa unautetea ukristo.
 
Ndio nikawa nasema kila siku.
Wapinga Mungu wote wameusoma Ukristo tu ndio wakapata Kasoro kibao za kujenga hoja zao.
Wale Atheist waliousoma UISLAMU kwa dhati karibu wote Wamesilimu na Kuamini MUNGU.

Nakushauri na wewe uusome UISLAMU KWA HAKI utapata majibu yako yote.
huna sababu ya kutetea uwepo wa Mungu kwa kuuponda Ukristo, unaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu wa kujenga hoja.
 
Mimi ni mkristo sikatai na nilishawahi kuutetea ukristo.Ila kila nikitafakari haya maswali huwa ninapata wasiwasi na hizi sifa tunazompa huyu Mungu wetu.

Umenena vyema, maana hata mimi nilikuwaga mkristo. kutokana na haya maswali nikaona kama sisi Ndio tuliomuumba Mungu kwenye akili zetu.
Hebu jiulize kama shetani yupo atakuwa na dhambi gani wakati Mungu anamuumba alijua kabisa ikifika tarehe fulani atamuasi.
Lakini akamuumba tu! Na kadhalika sisi vivyohivyo kabla ya kuzaliwa anajua kuwa mimi nitampinga. Je? Huyu Mungu burudani yake ni mateso yetu au.
 
Back
Top Bottom