Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Umenena vyema, maana hata mimi nilikuwaga mkristo. kutokana na haya maswali nikaona kama sisi Ndio tuliomuumba Mungu kwenye akili zetu.
Hebu jiulize kama shetani yupo atakuwa na dhambi gani wakati Mungu anamuumba alijua kabisa ikifika tarehe fulani atamuasi.
Lakini akamuumba tu! Na kadhalika sisi vivyohivyo kabla ya kuzaliwa anajua kuwa mimi nitampinga. Je? Huyu Mungu burudani yake ni mateso yetu au.

Halafu cha kushangaza sasa ilikuwa kila nikihoji hivyo wazazi wakawa wananiambia siwezi kuhoji mambo ya Mungu wakati tayari uwezo wa kuhoji ametupa.
 
Ushahidi wenye kuthibitisha kuwa kweli hakuna Mungu hadi sasa hakuna,mmebaki tu mara mungu hana upendo mara hana uwezo wote sijui kwanini kaumba ulimwengu una maovu? Lakini hamtoi ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu.

Yapi yaliyokuwa yanakufanya useme mungu yupo kabla haujawa atheist?

Cdhani kama hata wewe unaweza kuthibitisha uwepo wake
 
Halafu cha kushangaza sasa ilikuwa kila nikihoji hivyo wazazi wakawa wananiambia siwezi kuhoji mambo ya Mungu wakati tayari uwezo wa kuhoji ametupa.

Mm niliwahoji Kwa utaratibu wakashindwa kunijibu wakaniambia nisihoji maandiko eti Kwa sababu ni dhambi
 
Mungu ni muweza wa yote ndio,na hata nyie atheist tayar anaijua kesho yenu.Alishajua hapo kabla kuwa mtakuja kupitia hii 'stage' alaf mtamrudia tena.

Muda ukifika utarudi tu kwake.
 
huna sababu ya kutetea uwepo wa Mungu kwa kuuponda Ukristo, unaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu wa kujenga hoja.

Wakristo hawaabudu Mungu.
Bali wanaabudu picha ya Mzungu na sanamu yake.
 
Ni bora uamini Mungu yupo ili hata ukienda ukamkosa haina shida, kuliko kuamini hayupo halafu uende ukamkute itakuwa balaa
 
Wakristo hawaabudu Mungu.
Bali wanaabudu picha ya Mzungu na sanamu yake.

Umesha sema 'wakristo' kumbe hao ni watu wa Kristo sio wa mtu mwingine na watamwabudu Yeye ambae ni Kristo. Huyo mzungu unaesema yuko kichwani mwako katika wrong conception ya uelewa wako.suala lako ni uelewa ulio wrong. Hata mapepo yanajua Neno Kristo, ebu jaribu kuyaambia uone yanavyo muogopa. You have been formed with a wrong formation may be and more you can continue to be so if not accept the reality take care.
 
Zaburi 14:1 mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna mungu. .

Kwani hiyo zaburi siiliandikwa na mtu kama mimi na wewe? Kwa taarifa yako wewe ndio MPUMBAVU kwa kuamini tu pasipokuuliza.

Ndio maana wengine wamelawitiwa kwa kufata mkumbo kama wewe, kisa tu maandiko yamewaathiri kisaikolojia hata kujijua hamtaki.
 
Wakristo hawaabudu Mungu.
Bali wanaabudu picha ya Mzungu na sanamu yake.

Nyie mnaabudu nini? Sibora wao wanaabudu wanachokiona kuliko ninyi mnaoabudu msichokijua? Majibu yako tu yanaonyesha jinsi ulivyoathirika na maandiko ya waarabu.
 
Mwanao tu nyumbani akikosea huwa unaheshimu maamuzi yake au unamrekebisha kabla hajaharibikiwa?

anatumia njia nyingi sana kuwaonka watu wasipotee. afurahii mtu mbaya asipotee katika ubaya.
tofauti na wanyama, ametuumba na uhuru wa kuchagua. ukikomaa sana ukaacha mahusia yake hawezi kukuforce kama robot mkuu.
 
Anasema! Kabla ya kuzaliwa nalikujua, na nilujua njia zako zote.

Hapo anamaanisha kwamba kabla ya kukomaa hadi uache mahusia yake alijua hata kabla hujazaliwa.
Je? UPENDO WAKE MKUU uko wapi??. Maana hapo inaonekana yeye ndio anatuumbia huo ukomavu, kiburi, na machukizo mengine yote alafu akatuadhibu eti!

Huyu Mungu yupo au ni hadithi tu za wanadamu?.
 
Mungu yupo, ila sisi ndi hatumuelewi na opportunist wanatumia hiyo gap kuingiza mafundisho hayo ya kutokuwapo kwa Mungu.

Ulipaswa kujiuliza mswali zaidi ya hapo,
Kwa nini aumbe dunia akijua ataichoma moto?
Kwa nini amauche shetani aje atudanganye asingemuua mojakwa moja na maraika zake?
kwa nini aruhsu watu kama wewe muendelee kuongezeka?
kwa nini aruhusu vita majanga na matatizo?

Mungu hawezi kuacha kufanya chochote eti kwa sababu kitakuja kuwa na madhara. Ni kweli anajua mwanzo na mwisho, Alipojua mwanadamu ataanguka katika dhami aliandaa mpango wa wokovu kabla hata ya kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu.

Mungu yupo kaka. Na anatupenda wote ha wewe pia. ila kuwa makini moyo wako usije ukashupaa na kukakamaa ukashindwa kuamini ukapotea kabisa. Hata kama watu watachomwa moto hatawasahau.

GOD EXISTS
 
Kwani hiyo zaburi siiliandikwa na mtu kama mimi na wewe? Kwa taarifa yako wewe ndio MPUMBAVU kwa kuamini tu pasipokuuliza.

Ndio maana wengine wamelawitiwa kwa kufata mkumbo kama wewe, kisa tu maandiko yamewaathiri kisaikolojia hata kujijua hamtaki.

Ayubu 38
1 Ndipo Bwana akamjibu
Ayubu katika upepo wa
kisulisuli, na kusema,
2 Ni nani huyu atiaye
mashauri giza Kwa
maneno yasiyo na
maarifa?
3 Basi jifunge viuno
kama mwanamume,
Maana nitakuuliza neno,
nawe niambie.
4 Ulikuwa wapi
nilipoiweka misingi ya
nchi? Haya! Sema, kama
ukiwa na ufahamu.
5 Ni nani aliyeamrisha
vipimo vyake, kama
ukijua? Au ni nani
aliyenyosha kamba juu
yake?
6 Misingi yake ilikazwa
juu ya kitu gani? Au ni
nani aliyeliweka jiwe lake
la pembeni,
7 Hapo nyota za asubuhi
zilipoimba pamoja, Na
wana wote wa Mungu
walipopiga kelele kwa
furaha?
8 Au ni nani aliyeifunga
bahari kwa milango,
Hapo ilipofurika kana
kwamba imetoka
tumboni.
9 Nilipolifanya wingu
kuwa vazi lake, Na giza
zito kuwa nguo ya
kuifungia,
10 Nikaiagiza amri
yangu; Nikaiwekea
makomeo na milango,
11 Nikasema, Utafika
mpaka hapa, lakini
hutapita, Na hapa
mawimbi yako
yanyetayo yatazuiliwa?
12 Je! Umeiamuru
asubuhi tangu siku zako
zilipoanza? Umeyajulisha
mapambazuko mahali
pake?
13 Yapate kuishika
miisho ya nchi, Waovu
wakung'utwe wakawe
mbali nayo?
14 Hubadilika mfano wa
udongo chini ya muhuri,
Vitu vyote vinatokea
kama mavazi.
15 Na waovu nuru yao
huzuiliwa isiwafikie, Na
mkono ulioinuka
huvunjika.
16 Je! Umeziingia
chemchemi za bahari, Au
umetembea mahali pa
siri pa vilindi?
17 Je! Umefunuliwa
malango ya mauti, Au
umeyaona malango ya
kuzimu?
18 Umeyafahamu
mapana ya dunia? Haya!
Sema, ikiwa unayajua
hayo yote.
19 Iko wapi njia ya
kuyafikia makao ya nuru?
Na giza pia, mahali pake
ni wapi?
20 Upate kuipeleka hata
mpaka wake, Upate
kuelewa na mapito ya
kuiendea nyumba yake?
 
MNAODAI MUNGU HAYUPO. . .JIBUNI HAYA MASWALI

Ayubu 38
1 Ndipo Bwana akamjibu
Ayubu katika upepo wa
kisulisuli, na kusema,
2 Ni nani huyu atiaye
mashauri giza Kwa
maneno yasiyo na
maarifa?
3 Basi jifunge viuno
kama mwanamume,
Maana nitakuuliza neno,
nawe niambie.
4 Ulikuwa wapi
nilipoiweka misingi ya
nchi? Haya! Sema, kama
ukiwa na ufahamu.
5 Ni nani aliyeamrisha
vipimo vyake, kama
ukijua? Au ni nani
aliyenyosha kamba juu
yake?
6 Misingi yake ilikazwa
juu ya kitu gani? Au ni
nani aliyeliweka jiwe lake
la pembeni,
7 Hapo nyota za asubuhi
zilipoimba pamoja, Na
wana wote wa Mungu
walipopiga kelele kwa
furaha?
8 Au ni nani aliyeifunga
bahari kwa milango,
Hapo ilipofurika kana
kwamba imetoka
tumboni.
9 Nilipolifanya wingu
kuwa vazi lake, Na giza
zito kuwa nguo ya
kuifungia,
10 Nikaiagiza amri
yangu; Nikaiwekea
makomeo na milango,
11 Nikasema, Utafika
mpaka hapa, lakini
hutapita, Na hapa
mawimbi yako
yanyetayo yatazuiliwa?
12 Je! Umeiamuru
asubuhi tangu siku zako
zilipoanza? Umeyajulisha
mapambazuko mahali
pake?
13 Yapate kuishika
miisho ya nchi, Waovu
wakung'utwe wakawe
mbali nayo?
14 Hubadilika mfano wa
udongo chini ya muhuri,
Vitu vyote vinatokea
kama mavazi.
15 Na waovu nuru yao
huzuiliwa isiwafikie, Na
mkono ulioinuka
huvunjika.
16 Je! Umeziingia
chemchemi za bahari, Au
umetembea mahali pa
siri pa vilindi?
17 Je! Umefunuliwa
malango ya mauti, Au
umeyaona malango ya
kuzimu?
18 Umeyafahamu
mapana ya dunia? Haya!
Sema, ikiwa unayajua
hayo yote.
19 Iko wapi njia ya
kuyafikia makao ya nuru?
Na giza pia, mahali pake
ni wapi?
20 Upate kuipeleka hata
mpaka wake, Upate
kuelewa na mapito ya
kuiendea nyumba yake?
 
Mungu yupo, ila sisi ndi hatumuelewi na opportunist wanatumia hiyo gap kuingiza mafundisho hayo ya kutokuwapo kwa Mungu.

Ulipaswa kujiuliza mswali zaidi ya hapo,
Kwa nini aumbe dunia akijua ataichoma moto?
Kwa nini amauche shetani aje atudanganye asingemuua mojakwa moja na maraika zake?
kwa nini aruhsu watu kama wewe muendelee kuongezeka?
kwa nini aruhusu vita majanga na matatizo?

Mungu hawezi kuacha kufanya chochote eti kwa sababu kitakuja kuwa na madhara. Ni kweli anajua mwanzo na mwisho, Alipojua mwanadamu ataanguka katika dhami aliandaa mpango wa wokovu kabla hata ya kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu.

Mungu yupo kaka. Na anatupenda wote ha wewe pia. ila kuwa makini moyo wako usije ukashupaa na kukakamaa ukashindwa kuamini ukapotea kabisa. Hata kama watu watachomwa moto hatawasahau.

GOD EXISTS

Nashukuru kwa mchango wako kaka, ila unanipeleka kiimani zaidi. Swali ni je? Kwanini afanye ivo wakati ana upendo wote na uwezo wote?
 
Nashukuru kwa mchango wako kaka, ila unanipeleka kiimani zaidi. Swali ni je? Kwanini afanye ivo wakati ana upendo wote na uwezo wote?

Kuna maswali mengine Binaadamu hawezi kuyajibu hata awe na elimu namna gani.

Kabla ya kuuliza kazi za Mungu na maamuzi yake hebu jiulize swali ambalo liko karibu yako.

Jiulize KIFO ni NINI?

Kwanini kila kiumbe kilicho hai LAZIMA KIFE?
Au iulize hio Sayansi KIFO ni KITU GANI HASA?
Ukiweza kupata jibu hili Tutaendelea na Darasa.

Hao wanasayansi mnaotegemea watatoa majibu kwa kila kitu wamejaribu Kutafsiri Maana ya kifo zaidi ya Tafsiri 200! Na hakuna mmoja akakubaliana na mwenzake kwa tafsiri hizo.

Sasa huwezi kujaribu kutafuta majibu yanayo mhusu MUNGU asie Onekana Wakati kuna mambo MENGI mno unayo yaona lkn MAJIBU huna.

Nasubiri jibu niendelee na Darasa.

Ahsanta.
 
Kifo ni nini?

Kifo ni neno la kiswahili lililokubaliwa kutumiwa na jamii likimaanisha pale mwili unapofeli kwa kwa njia zote, hali hiyo tunaita kifo.

Kwanini kila kiumbe kife?

Viumba/viumbe vyote vinakufa kutokana na kuzeeka.
Au kwa tafsiri nyingine tunakufa/vinakufa kutokana na muda/wakati, kwa maana hiyo wakati ukisimama na vitu vinabaki vilevile pasipo kubadilika, na kama wakati ukirudi nyuma basi hata waliokufa watakuwa tena kuwa hai kwa utaratubu maalum.

Au iulize hiyo hiyo sayansi kifo ni nini hasa?

Swali hili nimeshakujibu.
Alafu ukumbuke kuwa kwa kukosa majibu ya baadhi ya maswali kusiwe kigezo cha kusema mungu yupo! Huko ni kutokutaka kufikiria na kujiwekea mpaka, maana naona wewe uoga wako ndio mungu wako.
 
Back
Top Bottom