Kweli nchi bado masikini .

John120

Senior Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
139
Reaction score
281
Miaka 60+toka nchi ipate Uhuru bado watu wanavuta ndege kwa mikono ? Inaskitisha sana yaani ni mara 100 wakoloni wangeendelea kuwepo hapa nchini.....hii ni aibu kubwa sana kwa nchi yenye umri mkubwa kama Tanzania.....

"Anyway ngoja tuendelee kung'atwa na nyuki maana walamba asali wapo kazini"
 
Sema Afrika bado maskini
Acha uzuzu mkuu,wewe sema Tanzania ni tatizo, SA wana mpaka helicopters za kufukuzia wezi kwenye freeways zake, Botswana, Namibia, Mauritius, wapo Safi mno, umasikini upo bongo na ni umasikini wenye upumbavu ndani yake, kila kituo cha police Botswana kina Divers wenye vifaa vya kisasa vya uokoaji, idara hii ya zimamoto itolewe jeshini na kuwekwa chini ya municipalities
 
Kiufupi mimi sioni haja ya kuwa na nchi kubwa na maendeleo duni bora hii nchi ikagawanywa mikoa ya kanda ya ziwa ikawa nchi kamili na ikawa na dola yake kuliko kuendelea na huu umasikini.
 
Na acha kudanganya. Hayo magari yanayoporwa na kuibiwa RSA mbona hizo helicopter haziyafikuzii.
 
Wewe ulitaka wavute na nini?
Kuwa mzalendo na penda nchi yako wewe!

Mzee Shirimaa
 
Nchi sio masikini hii wanasiasa wana waaminisha hivyo.

Ila kimsingi vipaumbele ndio tatizo..mana kipaumbele kikuu cha serikali hii ni ufisadi wizi na kujineemesha viongozi bila kusahau ufahali wa kutembelea v8 na kulipana miposho mikubwa mikubwa pia kupambana na wapinzani..huko ndiko vipaumbele vya serikali hii viliko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inahitajika total mindset transformation ya uhakika. Watanzania wengi ni masikini wa fikra ingawa ni wasomi wengine PhD kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…