Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Acha dharau maisha yanabadilika bidii ya kazi ndio inatakiwa
 
Back
Top Bottom