Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Kuna dereva boda wana vipato vizuri tu. Yupo mmoja ana wateja wake wa alfajiri anaamka saa tisa alfajiri saa tatu kamaliza kazi kila siku anakusanya elfu 60. Ni msafi na life yake ukiambiwa ni dereva boda unaweza kataa.
 
Hakuna ugumu wa ndoa hapo. Ni kwamba, dereva wa boda boda anatumia ujuzi na uzoefu wa kuendesha boda boda kwenye kupeleka moto!!
 
Point ya nguvu sana hii, hakuna jirani/mtu anayemtakia mema mwenzake siku hz, ujirani mwema ilikuwa enz hzo kwa sasa ni unafik mtupu.
 
Kazi gani ambayo sio risk kwa muolewaji?
wanakufa marais ambao kila wanachotia mdomoni lazima kikaguliwe, wako na persona dr 24/7, halafu mtu anasema et kuna kazi ni risk kwa muolewaji, juz tumemzika dr na masters yake hapa, tena kaacha mwanamke mbichi kabisa, watu badala ya kumlilia marehemu walikuwa wanamlilia aliyeachwa.
 
Balaa Mzee Tapeli Lema aliwaita Boda Wana laana

Noma sana
 
Mbona boda boda inalipa sana. Kuna jamaa walianzia walianzia boda boda za mikataba, leo hii wanamiliki boda si chini ya 6 wamewapa watu mikataba. Hesabu yake kwa siku anakusanya 60,000.

Hawa jamaa msiwadharau ndio wenye maisha yasiyo na stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…