Kweli nimetendwa mie

Bado ule mpango wako wa kuwa Inna na relato bado upo!??
 
Hahaha
Hivi kesi yenu toka kipindi kile sijui mwaka jana haijaishaga tu.

Cc usser
 
Huu mtindo wa kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la wakubwa unanikosesha wachumba.

Naombeni usajili jukwaa la kuhusiana na kujamiiana
hahaha
harafu rafiki ulipotea kitambo kumbe ulikuwa una diskas serikali ya viwanda!!
hahaha
 
Huu mtindo wa kushinda jukwaa la siasa na jukwaa la wakubwa unanikosesha wachumba.

Naombeni usajili jukwaa la kuhusiana na kujamiiana

jukwaa pendwa la wahenga mbona sijakuona labda huko siasani unakosema ndio mnajadiliana na king of social media?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asee ule uzi kumbe ulikuwa mtam hivi ngoja nika utafute

[emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…