Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Eeh bwanahahaha
harafu rafiki ulipotea kitambo kumbe ulikuwa una diskas serikali ya viwanda!!
hahaha
Sasa nazunguka zunguka leo nakuta unaliliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh bwanahahaha
harafu rafiki ulipotea kitambo kumbe ulikuwa una diskas serikali ya viwanda!!
hahaha
Huyu twende naye taratibu mwisho ataelewa tu
Walaaah!!!!jarbu kuniweka lupango
Weee nawee hadi nimeona aibu ulivyoniuliza.Kitu gani hiyo bamdogo basi utaniambia nikalale
ukiona mtu yeyote ambaye aitwi GeaSa ntajuaje kama Iceman 3d hajafanya yake?
Duh sasa usiponiona mimi kule unadhani kuna nani mwingine? Yaani Jestikilla hapa mi hapajukwaa pendwa la wahenga mbona sijakuona labda huko siasani unakosema ndio mnajadiliana na king of social media?
Naogopa bana ni nini lakiniSikukimbizi bwana chungulia kuleee...
Ushauri wako nauzingatia ngoja nianzeIle kitu haiachi alama acha hizo
[emoji3][emoji3][emoji3] Nakupenda Tantaw na we jaman [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nilikua nasubiria hilo jibu, kama mtu anayesubiria m-pesa..!!!
Haa haa ila akikaza kwa week 1 tuuzuri wa mzee ndio uko hapo
sasa hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeh bwana
Sasa nazunguka zunguka leo nakuta unaliliwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee nawee hadi nimeona aibu ulivyoniuliza.
Hayo mambo ya kumuuliza dady yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naombeni wiki mbili za maandalizi jamani, uzito wa huu mdomo/ vidole/ tigo pesa siyo wa kawaidaukiona mtu yeyote ambaye aitwi Gea
wewe endela tuu usjali
[emoji15] ustake kuniambia[emoji134] [emoji134] Ukhuty soooooo
Kwakweli nayaona matunda yaani itabidi nianze kufuatilia nyendo zako.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bro mi back bench nlisha hama sku hzi niko front kabsaa
Bamdogo lakini si nimeuliza tu jaman ili nijue tu kwani ni kitu ganiHayo mambo ya kumuuliza dady yako
Hapana nimekuitia aje kwa kisambaa[emoji15] ustake kuniambia
Unashusha choz
[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asee ule uzi kumbe ulikuwa mtam hivi ngoja nika utafute
[emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3] Nakupenda Tantaw na we jaman [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]