Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

Huyu jamaa sitaki kabisa nikutane naye.
Kwa sababu ni kiazi sana.
Yani yeye anafurahia nikiumia. Kamjaza Inna maneno ya uongo ya kishambenga hadi sa hiv inna hanipendi tena.
Ila ngoja niongee na Paw tumpunzishe huyu jmaa usser hata kwa miez mitatu au masaa 24 kama halima mdee
Walaaah!!!!jarbu kuniweka lupango
Uonee nakuendea naijaa
Kule hata ndugu yako mshana
Afunge na kuomba kwa mwaka
Hawapat

Alaf inna yy anatakaga kwenda
Kulia,ww unampeleka kushoto
Unataka kumchanganya na
Madera yako unayookota wp cjui

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
uzuri wa mzee ndio uko hapo
sasa hahahaha
Haa haa ila akikaza kwa week 1 tu
Lazma,watu mtubu zambi zenu

Had RFA wameangukiwa,na mkazo
Co kitoto akikaza anakaza kweli

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
bro mi back bench nlisha hama sku hzi niko front kabsaa
Kwakweli nayaona matunda yaani itabidi nianze kufuatilia nyendo zako.
Ukitoa unyayo mi nafuata nyuma
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asee ule uzi kumbe ulikuwa mtam hivi ngoja nika utafute

[emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Baadh ya comment zlishafutwa
Kule aisee kutoka page ya 13
Zmebak page 5 tu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom