Kweli nimetendwa mie

Kweli nimetendwa mie

aaaah
kumbe sku ike nilikosa makubwa mweer!

uwe una nitag bhana mambo kama yakiwa yana noga huko
wahenga kama mie tunahitajika tuone
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kabisa aiseee yan mhenga kama
Ww kuyakosa n kosa kubwa sana
Yan hata ngefaanishtakiwe. Kwa
Ww kutokuwepo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kabisa aiseee yan mhenga kama
Ww kuyakosa n kosa kubwa sana
Yan hata ngefaanishtakiwe. Kwa
Ww kutokuwepo

[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ila usser inaonekana ulivuruga sana ndugu yangu hahaha
ujue mtakatifu mpaka sasa hajasahau hilo
 
Ule uzi umeniumiza sana ningekuwa mhehe sasa hivi mngekuwa mnaongea mengine. Sijui Inna hajui kuwa nampenda bado
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Cc inna

Naomba uokoe maisha ya mshkaji
Wang ivuga yapo hatarin

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Naagiza ninachopenda muhudumu atakuja hapo muda si mrefu nikuite shemela au kaka au mkuu jaman
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mhhh hapa cjui ww umependa
Lip

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi

Kabla hujajiuwa acha hela ya sanda na jeneza kwanza.
 
Back
Top Bottom