Exorcist
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,235
- 1,268
Kwakweli siamini kama wiki ya pili hii inakatika eti sijanunua malaya kabisa, si mtandaoni wala sio Sinza, naona kwangu ni mafanikio makubwa sana katika safari yangu ya kuushinda huu Uraibu.
Kwa sasa najitajihidi kujiburudisha kwa muziki au bia au vyote kwa pamoja, ila malaya hapana, huo ndio uamuzi nilioufanya baada ya kuona napoteza pesa nyingi mno, bora ninywe bia tu nijue moja.
Inafika wakati ada hadi nikunjwe shati, wakati hiyo pesa naichezea kwa outing 2 au 3 tu.