Daah, ngoja nianze kimoja kimoja kwanza, nikiacha vyote nahisi nitachanganyikiwa kama sio kupata msongo wa mawazo..Anza kupunguza na bia. Utanishukuru siku moja.
Maana hizo bia ipo siku zitakushawishi ujipongeze kwa kununua malaya mmoja kwa kuushida uraibu wa kununua malaya
Pambana mzee, inawezekana, nimeamoni hilo, tafuta hobby nyingine tu.., hata bia fresh tuBrother hii kitu inayo itwa mbususuuu nisipo itafuta siku tatu,akili inakuwa haipo sawasawa
Nafikiria niweke jiko ndani lkn kwa hali hii tutawezana kweli
Hiyo ada unamlipia nani!?Inafika wakati ada hadi nikunjwe shati
Vipi mkuu, jamaa yangu mmoja ananiambia hapo musoma unaweza kula pisi kali sana kwa bei chee.Anza kupunguza na bia. Utanishukuru siku moja.
Maana hizo bia ipo siku zitakushawishi ujipongeze kwa kununua malaya mmoja kwa kuushida uraibu wa kununua malaya
Labda ila mm sijawai jaribu kununua japo nasikia gorofani na majita road kuna bar moja huwezi wakosa.vipi mkuu,jamaa yangu mmoja ananiambia hapo musoma unaweza kula pisi kali sana kwa bei chee.
Daah, ngoja nianze kimoja kimoja kwanza, nikiacha vyote nahisi nitachanganyikiwa kama sio kupata msongo wa mawazo..