Kweli Simba ni next level

Unateseka ukiwa umejificha wapi? Uvunguni mwa kitanda, au juu ya dari hapo nyumbani kwenu?
 
Vipi kombe la Kisinda na RS Berkane yake mmeshalipokea hapo jangwani ? Maana nasikia nyie ndiyo wenye furaha zaidi kuliko hata Mashabiki wa Berkane wenyewe.
Hapo ndo ujue ile kauli ya manara ni ya kweli kwasababu konde boy kashinda champion's league na al ahly hakuna mwana simba aliyepiga kelele ila yanga kashinda Berkene furaha ipo jangwani.
 
Lolote linaloweza kutokea labda za simba kuroga tu ila sio ubingwa maana mwaka huu viporo hakuna litatokea nn?
 
Umekosa cha kuandika, andika angalau ata ubingwa wa timu yenu ya wanawake lakini utumbo uliotapika apo umekuvua nguo, Labda next level za uchawi
 
Umekosa cha kuandika, andika angalau ata ubingwa wa timu yenu ya wanawake lakini utumbo uliotapika apo umekuvua nguo, Labda next level za uchawi
Malalamiko fc mnaenda lini ikulu kukutana na mama samia tupe ratiba mzee au mmehairisha ziara yenu.
 
Kwenye unext level mwingine ni kuwasha moto wa uchawi uwanjani.
 
Huko ndo usiseme kabisa
CAF champion's league final huwezi kufika bila kumtoa simba.
Al ahly
Kaizer chief
Orlando pirates
Berkene

Sio lazima ukubali mwaka huu na ww unashiriki tutakuona.
Nyie fainali hamzitaki? itabidi CAF waanzishe kombe la robo fainali.
 
Basi kwa maneno haya farijianeni
 
Magoli alofungwa kipa wa Simba, angekuwa Yanga amecheza na timu nyingine angeshinda yale magoli, Simba wangesema huyo kipa kapewa bahasha.
 
Wewe kweli umebemendwa
Kwa jina lingine tunakuita akili kisoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…