Kweli Simba ni next level

Kweli Simba ni next level

Za weekend wadau wa soka,

Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.

Ikiwa league inaelekea ukingoni huku yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.

Ila bingwa anaongoza kwa kulalamika kuliko team nyingine zote katika ligi kuu kila siku anakuja na jambo jipya hii yote ni kutokujiamini kama kweli msimu huu ndio bingwa mtarajiwa.

Simba ni next level kwasababu zifuatazo:–

1. Mwanzoni kabisa mwa league team ziliahidiwa zikiifunga simba watapewa million 10 na zikitoa ndroo million 5 ila simba ilikaa kimya.

2. Manara kuichafua brand ya simba kwa tuhuma nzito pindi inapocheza na wapinzani wake kimataifa simba ilikaa kimya.

3.Manara kumuandama na kumdhalilisha muwekezaji wa simba MO kwenye mitandao ya kijamii ila sio simba wala MO waliokuwa wanajibu au kuongea lolote kuhusu hilo.

4.Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wapinzani wa simba wanapokuja kucheza Tanzania na kuwaambia taarifa ambazo sio za kweli kuhusu simba ila simba iliamua kukaa kimya na hili.

5.Manara alivujisha jezi za simba kabla hazijazinduliwa kwa mashabiki na kudai GSM pia wanatengeneza jezi za simba na baada ya ku post kwenye ukurasa wake wa Instagram ila simba wakafunika kombe.

6.Ukame kwa wachezaji wa simba walikaa mda mrefu bila kufunga goli akiwemo John boko aliyeanza kufunga siku za karibuni ila sio boko wala simba waliolalamika au kumtuhumu mtu kuhusu ukame huo.

Ila yanga kitu kidogo tu wameshindwa kuvumilia walishatishia kwenda ikulu kwa mama samia na juzi wamemshtaki babra TFF bila kusahau wazee wa yanga wakimtaka aliyebadilishana jezi na mayele airudishe akikaidi kitu kizito kitamkuta.

Kwa hayo nihitimishe tu kwa kusema simba ni NEXT LEVEL na yanga ni MALALAMISHI FC.
Unateseka ukiwa umejificha wapi? Uvunguni mwa kitanda, au juu ya dari hapo nyumbani kwenu?
 
Vipi kombe la Kisinda na RS Berkane yake mmeshalipokea hapo jangwani ? Maana nasikia nyie ndiyo wenye furaha zaidi kuliko hata Mashabiki wa Berkane wenyewe.
Hapo ndo ujue ile kauli ya manara ni ya kweli kwasababu konde boy kashinda champion's league na al ahly hakuna mwana simba aliyepiga kelele ila yanga kashinda Berkene furaha ipo jangwani.
 
Lolote linaloweza kutokea labda za simba kuroga tu ila sio ubingwa maana mwaka huu viporo hakuna litatokea nn?
 
Za weekend wadau wa soka,

Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.

Ikiwa league inaelekea ukingoni huku yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.

Ila bingwa anaongoza kwa kulalamika kuliko team nyingine zote katika ligi kuu kila siku anakuja na jambo jipya hii yote ni kutokujiamini kama kweli msimu huu ndio bingwa mtarajiwa.

Simba ni next level kwasababu zifuatazo:–

1. Mwanzoni kabisa mwa league team ziliahidiwa zikiifunga simba watapewa million 10 na zikitoa ndroo million 5 ila simba ilikaa kimya.

2. Manara kuichafua brand ya simba kwa tuhuma nzito pindi inapocheza na wapinzani wake kimataifa simba ilikaa kimya.

3.Manara kumuandama na kumdhalilisha muwekezaji wa simba MO kwenye mitandao ya kijamii ila sio simba wala MO waliokuwa wanajibu au kuongea lolote kuhusu hilo.

4.Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wapinzani wa simba wanapokuja kucheza Tanzania na kuwaambia taarifa ambazo sio za kweli kuhusu simba ila simba iliamua kukaa kimya na hili.

5.Manara alivujisha jezi za simba kabla hazijazinduliwa kwa mashabiki na kudai GSM pia wanatengeneza jezi za simba na baada ya ku post kwenye ukurasa wake wa Instagram ila simba wakafunika kombe.

6.Ukame kwa wachezaji wa simba walikaa mda mrefu bila kufunga goli akiwemo John boko aliyeanza kufunga siku za karibuni ila sio boko wala simba waliolalamika au kumtuhumu mtu kuhusu ukame huo.

Ila yanga kitu kidogo tu wameshindwa kuvumilia walishatishia kwenda ikulu kwa mama samia na juzi wamemshtaki babra TFF bila kusahau wazee wa yanga wakimtaka aliyebadilishana jezi na mayele airudishe akikaidi kitu kizito kitamkuta.

Kwa hayo nihitimishe tu kwa kusema simba ni NEXT LEVEL na yanga ni MALALAMISHI FC.
Umekosa cha kuandika, andika angalau ata ubingwa wa timu yenu ya wanawake lakini utumbo uliotapika apo umekuvua nguo, Labda next level za uchawi
 
Malalamiko fc mnaenda lini ikulu kukutana na mama samia tupe ratiba mzee au mmehairisha ziara yenu.
 
Za weekend wadau wa soka,

Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.

Ikiwa league inaelekea ukingoni huku yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.

Ila bingwa anaongoza kwa kulalamika kuliko team nyingine zote katika ligi kuu kila siku anakuja na jambo jipya hii yote ni kutokujiamini kama kweli msimu huu ndio bingwa mtarajiwa.

Simba ni next level kwasababu zifuatazo:–

1. Mwanzoni kabisa mwa league team ziliahidiwa zikiifunga simba watapewa million 10 na zikitoa ndroo million 5 ila simba ilikaa kimya.

2. Manara kuichafua brand ya simba kwa tuhuma nzito pindi inapocheza na wapinzani wake kimataifa simba ilikaa kimya.

3.Manara kumuandama na kumdhalilisha muwekezaji wa simba MO kwenye mitandao ya kijamii ila sio simba wala MO waliokuwa wanajibu au kuongea lolote kuhusu hilo.

4.Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wapinzani wa simba wanapokuja kucheza Tanzania na kuwaambia taarifa ambazo sio za kweli kuhusu simba ila simba iliamua kukaa kimya na hili.

5.Manara alivujisha jezi za simba kabla hazijazinduliwa kwa mashabiki na kudai GSM pia wanatengeneza jezi za simba na baada ya ku post kwenye ukurasa wake wa Instagram ila simba wakafunika kombe.

6.Ukame kwa wachezaji wa simba walikaa mda mrefu bila kufunga goli akiwemo John boko aliyeanza kufunga siku za karibuni ila sio boko wala simba waliolalamika au kumtuhumu mtu kuhusu ukame huo.

Ila yanga kitu kidogo tu wameshindwa kuvumilia walishatishia kwenda ikulu kwa mama samia na juzi wamemshtaki babra TFF bila kusahau wazee wa yanga wakimtaka aliyebadilishana jezi na mayele airudishe akikaidi kitu kizito kitamkuta.

Kwa hayo nihitimishe tu kwa kusema simba ni NEXT LEVEL na yanga ni MALALAMISHI FC.
Kwenye unext level mwingine ni kuwasha moto wa uchawi uwanjani.
 
Huko ndo usiseme kabisa
CAF champion's league final huwezi kufika bila kumtoa simba.
Al ahly
Kaizer chief
Orlando pirates
Berkene

Sio lazima ukubali mwaka huu na ww unashiriki tutakuona.
Nyie fainali hamzitaki? itabidi CAF waanzishe kombe la robo fainali.
 
Za weekend wadau wa soka,

Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.

Ikiwa league inaelekea ukingoni huku yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.

Ila bingwa anaongoza kwa kulalamika kuliko team nyingine zote katika ligi kuu kila siku anakuja na jambo jipya hii yote ni kutokujiamini kama kweli msimu huu ndio bingwa mtarajiwa.

Simba ni next level kwasababu zifuatazo:–

1. Mwanzoni kabisa mwa league team ziliahidiwa zikiifunga simba watapewa million 10 na zikitoa ndroo million 5 ila simba ilikaa kimya.

2. Manara kuichafua brand ya simba kwa tuhuma nzito pindi inapocheza na wapinzani wake kimataifa simba ilikaa kimya.

3.Manara kumuandama na kumdhalilisha muwekezaji wa simba MO kwenye mitandao ya kijamii ila sio simba wala MO waliokuwa wanajibu au kuongea lolote kuhusu hilo.

4.Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wapinzani wa simba wanapokuja kucheza Tanzania na kuwaambia taarifa ambazo sio za kweli kuhusu simba ila simba iliamua kukaa kimya na hili.

5.Manara alivujisha jezi za simba kabla hazijazinduliwa kwa mashabiki na kudai GSM pia wanatengeneza jezi za simba na baada ya ku post kwenye ukurasa wake wa Instagram ila simba wakafunika kombe.

6.Ukame kwa wachezaji wa simba walikaa mda mrefu bila kufunga goli akiwemo John boko aliyeanza kufunga siku za karibuni ila sio boko wala simba waliolalamika au kumtuhumu mtu kuhusu ukame huo.

Ila yanga kitu kidogo tu wameshindwa kuvumilia walishatishia kwenda ikulu kwa mama samia na juzi wamemshtaki babra TFF bila kusahau wazee wa yanga wakimtaka aliyebadilishana jezi na mayele airudishe akikaidi kitu kizito kitamkuta.

Kwa hayo nihitimishe tu kwa kusema simba ni NEXT LEVEL na yanga ni MALALAMISHI FC.
Basi kwa maneno haya farijianeni
 
55a12ae01d150b3f307abb4afef568af.jpg
 
Magoli alofungwa kipa wa Simba, angekuwa Yanga amecheza na timu nyingine angeshinda yale magoli, Simba wangesema huyo kipa kapewa bahasha.
 
Za weekend wadau wa soka,

Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.

Ikiwa league inaelekea ukingoni huku yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.

Ila bingwa anaongoza kwa kulalamika kuliko team nyingine zote katika ligi kuu kila siku anakuja na jambo jipya hii yote ni kutokujiamini kama kweli msimu huu ndio bingwa mtarajiwa.

Simba ni next level kwasababu zifuatazo:–

1. Mwanzoni kabisa mwa league team ziliahidiwa zikiifunga simba watapewa million 10 na zikitoa ndroo million 5 ila simba ilikaa kimya.

2. Manara kuichafua brand ya simba kwa tuhuma nzito pindi inapocheza na wapinzani wake kimataifa simba ilikaa kimya.

3.Manara kumuandama na kumdhalilisha muwekezaji wa simba MO kwenye mitandao ya kijamii ila sio simba wala MO waliokuwa wanajibu au kuongea lolote kuhusu hilo.

4.Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wapinzani wa simba wanapokuja kucheza Tanzania na kuwaambia taarifa ambazo sio za kweli kuhusu simba ila simba iliamua kukaa kimya na hili.

5.Manara alivujisha jezi za simba kabla hazijazinduliwa kwa mashabiki na kudai GSM pia wanatengeneza jezi za simba na baada ya ku post kwenye ukurasa wake wa Instagram ila simba wakafunika kombe.

6.Ukame kwa wachezaji wa simba walikaa mda mrefu bila kufunga goli akiwemo John boko aliyeanza kufunga siku za karibuni ila sio boko wala simba waliolalamika au kumtuhumu mtu kuhusu ukame huo.

Ila yanga kitu kidogo tu wameshindwa kuvumilia walishatishia kwenda ikulu kwa mama samia na juzi wamemshtaki babra TFF bila kusahau wazee wa yanga wakimtaka aliyebadilishana jezi na mayele airudishe akikaidi kitu kizito kitamkuta.

Kwa hayo nihitimishe tu kwa kusema simba ni NEXT LEVEL na yanga ni MALALAMISHI FC.
Wewe kweli umebemendwa
Kwa jina lingine tunakuita akili kisoda
 
Back
Top Bottom