pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Za weekend wadau wa soka,
Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.
Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.
Ila bingwa anaongoza kwa kulalamika kuliko team nyingine zote katika ligi kuu kila siku anakuja na jambo jipya hii yote ni kutokujiamini kama kweli msimu huu ndio bingwa mtarajiwa.
Simba ni next level kwasababu zifuatazo:
1. Mwanzoni kabisa mwa league team ziliahidiwa zikiifunga simba watapewa million 10 na zikitoa ndroo million 5 ila simba ilikaa kimya.
2. Manara kuichafua brand ya simba kwa tuhuma nzito pindi inapocheza na wapinzani wake kimataifa simba ilikaa kimya.
3. Manara kumuandama na kumdhalilisha muwekezaji wa simba MO kwenye mitandao ya kijamii ila sio simba wala MO waliokuwa wanajibu au kuongea lolote kuhusu hilo.
4. Mashabiki wa yanga kwenda airport kuwapokea wapinzani wa simba wanapokuja kucheza Tanzania na kuwaambia taarifa ambazo sio za kweli kuhusu simba ila simba iliamua kukaa kimya na hili.
5. Manara alivujisha jezi za simba kabla hazijazinduliwa kwa mashabiki na kudai GSM pia wanatengeneza jezi za simba na baada ya ku post kwenye ukurasa wake wa Instagram ila simba wakafunika kombe.
6. Ukame kwa wachezaji wa simba walikaa mda mrefu bila kufunga goli akiwemo John boko aliyeanza kufunga siku za karibuni ila sio boko wala simba waliolalamika au kumtuhumu mtu kuhusu ukame huo.
Ila Yanga kitu kidogo tu wameshindwa kuvumilia walishatishia kwenda Ikulu kwa Mama Samia na juzi wamemshtaki Babra TFF bila kusahau wazee wa Yanga wakimtaka aliyebadilishana jezi na Mayele airudishe akikaidi kitu kizito kitamkuta.
Kwa hayo nihitimishe tu kwa kusema Simba ni Next Level na Yanga ni Mlalamishi FC.