zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Mkuu CHAMVIGA Na Mohamedi Said km unakumbuka tangu hapo nyuma nilikua naepuka sn kuchangia juu ya tukio lilitokea huko Tanga Kwani nilihisi kuweza kukosea ktk kutoa maoni Yangu!
Sasa Mkuu Bopwa ameleta Taarifa ya Gazeti la Nipashe yenye habari Hiyo!
Nilichokua napendekeza Tujaribu kuiangalia hivyo ilivyo na Kwa uwezo wetu Mdogo Wa sheria tuone Hiyo dhuluma dhidi ya uislam! Na hayo mambo mengine km ugaidi etc!
Na pia msisahau kutolea majibu Yale tuliyouliza Kuhusu mafungu ndani ya Quraan yenye kufundisha kupigana mpk pale fitna imekwisha na kupambana kutetea haki ata km ni Kwa kuua!
Asante!
Hivi chadema wanapoingia mitaani na kufanya maandamano mpaka watu wanakufa na wanapojiita wapiganaji, huwa wanapigania nini?