Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.

Hivi chadema wanapoingia mitaani na kufanya maandamano mpaka watu wanakufa na wanapojiita wapiganaji, huwa wanapigania nini?
 
mh!mkuu hebu fuatilia mtiririko wa post zangu uelewe kama mie na wewe tunapingana au tuko pamoja.Jaribu kufuatilia kile mtu anachosema na kuelewa.Nadhani huu ushauri ulipaswa kumpa elungata tena nashukuru atakuwa kashausoma.Umenisaidia sana aisee.
Mpendwa Sisi hatuna ihtilafu kati yetu... Heshima za kibinaadamu zinakubalika kijamii, kwa kuwa Dini na Imani zote husisitiza maadili na utiifu kwa Muumba huyo Mmoja. Yaani wewe ukisali na mimi nikisali hayo ni yetu Binafsi.!!
Good Luck.
 
Hivi chadema wanapoingia mitaani na kufanya maandamano mpaka watu wanakufa na wanapojiita wapiganaji, huwa wanapigania nini?


Mkuu Sijui nikujibu nini Kwa hoja yako hii?!

Ebu km unaona nimekukwaza nisemahe bure!

Tujikite ktk mada huku tukitumia rejea ya Mkuu Bopwa ya gazeti la Nipashe ktk kuitambua Hiyo dhuluma!

Asante!
 
MwangaRuka..Mwadera Mkuu Sina shaka wa utata.... Mie Kama Muislamu na MuUmini wa haki kwa kila la utiifu kwa Mwenyeezzi Mungu nina kubali amri zake4 zote na maandishi yake bila kusita au kusuasua! Haswa alipotutukuza sie TUNAO-SUJUDU " SimaUhum fi-Wajuhuhem " ((yaani alama zao zipo kwenye vipaji vya usoni mwao hao ndiyo wacha Mungu))
Kwa hiyo Mha Mungu wa kweli ni mtenda mema kwenye UHAI na mkataza maovu.!!
Naikiri VITABU vyote hufundisha maelezo ya mema kati ya JAMII .. ! Na mbora kati yetu wanaAdamu ni Mcha Mungu.
Most wellcome kwenye Dini yenye Upeo wa kumjua MwenyeEezi na Misamaha kwa kila upendo na kusaidiana 24/7... jione mwenyewe. Good Luck
 
Mkuu Sijui nikujibu nini Kwa hoja yako hii?!

Ebu km unaona nimekukwaza nisemahe bure!

Tujikite ktk mada huku tukitumia rejea ya Mkuu Bopwa ya gazeti la Nipashe ktk kuitambua Hiyo dhuluma!

Asante!

Kwanini tusirejee na Post iliyoanzisha mada pia?
 

Gawiza nkoi!
Thx Kwa hoja yako lkn ungependa kuijua alama ya Mungu ktk mapaji ya uso?

Anyway! Tutakwenda nje ya mada! Lkn the seal of God in foreheads ni AMRI za Mungu!

Thx
 
Yaani muislamu akidai haki yake huitwa gaidi,lkn cha kushangaza hd sasa maana halisi ya ugaidi haijapatikana kila mmoja anasema kivyake,lkn poleni waislamu woote kwa madhila mnayoyapata mungu yu pamoja nanyi,hakika dhulma haidumu.
 

na kwa nini kuwe na mfanano wa matukio kilindi na Lushoto?je,huko Lushoto ilikuwa wananchi wote au wananchi waislam?kwa kweli kama ishu iko hivi alivyoileta Bopwe,hapa inabidi tuwe waangalifu!huenda kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia.Ni tukio linalohitaji uchunguzi kwa kweli ila kuna umuhimu sasa wa yale maswali yetu kujibiwa na bin Rabah.Nilivyoelewa mimi tukio la kumuua mgambo wakati akitekeleza wajibu wa kuzilinda sheria,pamoja na kushambuliwa na watu wenye silaha msikitini ni provocation iliyosababisha watumie nguvu.Sasa kama hii violent resistance waliipata kutoka kwa kundi moja la wananchi,ilibidi kulifuatilia kundi hilo na ndipo hapa maswali ya Ntuzu hapo juu yanapokuwa ya maana na kama hizo elements zipo basi huu ni ugaidi haijalishi jina gani limetumika kuupendezesha iwe waislam,iwe wananchi n.k cha msingi kabisa,twende kwenye root cause,je,huo ushuru wa hiliki ni utaratibu halali kisheria hapo?ni basis gani aliyepinga alizisimamia kama sababu ya kupinga?je,hizo sababu ni rational?
 
Kwanini tusirejee na Post iliyoanzisha mada pia?

Mkuu post iliyoanzisha mada haiko Balance, samahani Kwa Kusema hivyo! Na pia Kwa kutumia Hilo bandiko na Taarifa ya gazeti la Nipashe aliyo leta ndugu Bopwa! Tunaweza pata uhalisi Wa tukio na kuweza kuchangia!

Asante!
 
Mkuu Sijui nikujibu nini Kwa hoja yako hii?!

Ebu km unaona nimekukwaza nisemahe bure!

Tujikite ktk mada huku tukitumia rejea ya Mkuu Bopwa ya gazeti la Nipashe ktk kuitambua Hiyo dhuluma!

Asante!

Sioni ajabu kuwa huna la kunijibu.

Hukunikwaza hata chembe, labda mimi ndio nikuombe msamaha kwa kukuuliza swali ambalo huwezi kulijibu.

Nimekuelewa. Nimatumaini yangu na wengine wanaoupitia huu uzi wamekuelewa pia.
 


Mkuu! Bopwe ameleta Taarifa ya gazeti na chini Yake akaweka na maswali! Lkn Kwa Taarifa Hiyo ya Mkuu Bopwe ni lazima kuiangalia Kwa kina sn na Kwa pande zote mbili!

Kwa kuanzia mwanzo Wa habari Hiyo Kwa wanasheria wanajua kuchanganua vizuri kimoja baada ya kingine! Na ndio maana Mimi nikaomba ushauri Wa kisheria Kwa watalaamu juu ya Hilo! Na Labda Kwa kufanya hivyo twaweza pata kujua hii dhuluma!

Thx
 
Swala hapa kama hiyo ilikua ni uhalifu kwanini wakauita ni ugaidi na kwanini waka initiate collective punishment kwa raia na kuchoma moto nyumba?.
Kwanini wakazuia waandishi wa habari kuingia na kucover matukio?

hili nalo neno.pia niongezee na vyombo vya habari vilizuiwa kwa nia njema ya kutoendekeza na kusambaza roho ya machafuko au vilizuiwa kwa lazima?haya yoote wananchi tunahitaji majibu toka serikalini na kwa wahusika wenyewe.
 
Sioni ajabu kuwa huna la kunijibu.

Hukunikwaza hata chembe, labda mimi ndio nikuombe msamaha kwa kukuuliza swali ambalo huwezi kulijibu.

Nimekuelewa. Nimatumaini yangu na wengine wanaoupitia huu uzi wamekuelewa pia.

Thx na pa1 sn Mkuu!
 
Gawiza nkoi!
Thx Kwa hoja yako lkn ungependa kuijua alama ya Mungu ktk mapaji ya uso?

Anyway! Tutakwenda nje ya mada! Lkn the seal of God in foreheads ni AMRI za Mungu!

Thx
Wamolaa,
Ghawizza... wandugu Sisi WaUmini wa kiisilam tunatambulika kwa hadhi yakuwa kugusisha kipaji cha Uso chini ni Uhusiano na Mwenyeezi Mungu hivyo Moula-Karimu anatutambua vilivyo !! Na kwavile siye hungara kama vile hapa tuonavyp NYOTA zilizo angani Siye tumeridhia With RESPECT...
kwa wasiyefahamu.
waweejjah.
 
Mbona unakimbilia neno kodi haramu!!!!!, una uhakika kuwa huo ushuru ni ushuru haramu? au unasema kwa kuwa umejawa na hasira. Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Kilindi amekupa taarifa ambayo ni rasmi ya kututhibitishia hapa jukwaani JF kuwa Ile kodi ya Mazao iliyokuwa ikikusanywa na hao mgambo ni haramu. Can you prove it?

Vipi wale waliokufa Ulanga, Kilosa Kiteto una maoni gani?
 

Wabeja sn nkoi!

Tutajadili siku ingine! Turudi kwenye mada!
 

Mkuu nilipo ona Hiyo hoja ya Mkuu Crabat akisema kodi haramu nikataka kumjibu lkn nikaongopa mihemko ya kiitikadi nikaona niiache!

Ningependa nimuulize ndugu Crabat juu ya swala la kodi! Na nitangulize samahani km ntamkwaza mtu!

Kuna kitabu kinaitwa Islam and Terrorism. Hichi kitabu kuna sehemu Mwandishi anasema Hadithi za Mtume zinafundisha Kwa wale wakristo waliojenga makanisa ktk ardhi za waislam iliwapasa kulipa kodi na Hiyo kodi ilikua inawasaidia ktk Mapambano Yao ya Jihadi!

Sasa ningependa kumuuliza ndugu Crabat Kua Hichi kitu ni kweli kimo ndani ya Quraan?
Na kama kimo, kwanini Hizi kodi ziwe HARAMU Na si zile?

Narudia tena samahani Kwa yeyote Yule ntakae mkwaza! Km Hiki kitu sio sahihi na haimo ndani ya mafundisho ni vema mkaniweka sawa!

Thx!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…