kwa kweli nazichukia kupita maelezo hizi dini,hasa hizi dini za zilizoletwa na watu weupe na miafrika ilivyo mijinga ikaingia kichwa kichwa matokeo yake leo hii imekuwa kama mi-zombie vile..!!
mkuu Mohamed Said unachojaribu kusema hakikubaliki ktk jamii na ni hatari kwa ustawi wa taifa letu huo ni uchochezi zahiri unaoweza kuamsha chuki za kidini na machafuko yake hayawezi kukuacha salama wewe na jamaa zako na taifa kwa ujumla hebu jaribu kuheshimu misingi ya amani na utulivu acha kutoa mada za kichochezi.Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi
waliokuwa katika vijiji vya Handeni.
Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki
na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.
Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete.
Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.
Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha
ya risasi.
Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana waliokuwa
wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.
Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga
baada ya kukutwa porini.
Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.
Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga
kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni
Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari
pasi na sababu.
Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari
Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku
Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.
Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika
masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa
Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''
Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh
Chanmbuso.
Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na
maadamano yoyote.
Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari
za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.
Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.
Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga
aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an
zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha
ugaidi.
Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.
PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.
Haitwi ossama. Bali ni SHEIKH OSAMA MWANA WA LADEN!
Ametingisha mataifa zaidi ya 50 ya makafiri!
Kawarudisha makafiri kwenye body bags kwa maalfu!
Ni one man army! Wamepiga kila kona ya afghanistan na Pakistan kwa zaidi ya miaka zaidi ya 10 na ziada lkn wapi!
Kwa hio unapotaka jina lake MPE HESHIMA yake!
mkuu Mohamed Said unachojaribu kusema hakikubaliki ktk jamii na ni hatari kwa ustawi wa taifa letu huo ni uchochezi zahiri unaoweza kuamsha chuki za kidini na machafuko yake hayawezi kukuacha salama wewe na jamaa zako na taifa kwa ujumla hebu jaribu kuheshimu misingi ya amani na utulivu acha kutoa mada za kichochezi.
Ugaidi ni neno baya ambalo Makafiri (wakiristo) wa mataifa ya Ulaya na Amerika wamelipachika na kuwabandika waislam ulimwenguni kwa kuwachukia tu., lakini kama utafanya tathmini ya mataifa yanayovunja haki za binadamu kuuwa watu ulimwenguni Marekani ni No.1, wameuwa kwa mabomu kule iraq, Afghanista, Pakistan na saivi wanaitaka Syria na Irani, wao vita yao siku zote ni against nchi za kiislam ulimwenguni mawazo yao na fikra zao kuutokomeza usialm usiende mbele jambalo ambalo haliwezekani.,
Dini zote zinaxohubiri kwamba kuna moto baada ya kufa zinahubiri ugaidi.
napenda sana twende kwa vituo jee... waweza bainisha huo mfumo kristo unafanyaje kazi?? na je unanufaika na nini juu ya mateso dhidi ya waislamu? na je hayo mateso ni yapi na dhulma ni ipi? jamani dini ni kitu hatari ambacho kinaweza kutuvuruga na kuharibu timetable zetu tuwe makini na yale tunayojaribu kuchochea katika jamii.Chuki inaletwa na hao wanao wauwa na kuwanyanyasa waislamu kutokana na imani yao.
Ingefaa sana kama wewe ungepeleka ushauri huu serikalini. Kule ambako MFUMO KRISTO UMETAWALA!
Na kwa uwezo wa Mungu iko siku dhulma tunayofanyiwa na hao makafir itabaki kuwa ni historia tu!
We yangelikukuta haya sidhani kama ingesema ulioandika hapo juu!
Lkn hao maskini hawakuhusu ndio sababu ukaita ni uzi wa chuki!
Chuki inaletwa na hao wanao wauwa na kuwanyanyasa waislamu kutokana na imani yao.
Ingefaa sana kama wewe ungepeleka ushauri huu serikalini. Kule ambako MFUMO KRISTO UMETAWALA!
Na kwa uwezo wa Mungu iko siku dhulma tunayofanyiwa na hao makafir itabaki kuwa ni historia tu!
We yangelikukuta haya sidhani kama ingesema ulioandika hapo juu!
Lkn hao maskini hawakuhusu ndio sababu ukaita ni uzi wa chuki!
Hiyo ni imani ya non believers
mkuu jaribu kuepuka mashindano.....maelewano huleta suluhu twende taratibu na kwa vituo tueleweshane taratibu acha maneno ya ushabiki unatibua mamboMFUMO KRISTO ndio unaotawala Dunia.Ukisikia Adhabu ya Kifo iondolewe ujue ni Kampeni za Kuendeleza Mfumo Kristo,Ukisikia Serikali inatambua Ndoa ya Mke Mmoja kwa ajili ya huduma kwa Mfanyakazi ujue ndio Mfumo wenyewe.Hii kitu haikwepeki labda uhamie Sayari ya Mars ambayo wakristo ndio Pekee waliokwishafika huko.
MFUMO KRISTO ndio unaotawala Dunia.Ukisikia Adhabu ya Kifo iondolewe ujue ni Kampeni za Kuendeleza Mfumo Kristo,Ukisikia Serikali inatambua Ndoa ya Mke Mmoja kwa ajili ya huduma kwa Mfanyakazi ujue ndio Mfumo wenyewe.Hii kitu haikwepeki labda uhamie Sayari ya Mars ambayo wakristo ndio Pekee waliokwishafika huko.
ni waafrika na waarabu hufia dini lakini sijapata kuona wazungu wakifanya hivi na huwa najiuliza kwanini?"Imani ya nonbelievers" is an oxymoron.
mkuu madawa ya kulevya husambazwa na ukristo?? mbona hoja yangu ya awali hujajibu?Mbona ndoa za jinsia moja hujataja. Na usambazaji wa madawa ya kulevya?