tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,755
- 764
mkuu Mohamed Said unachojaribu kusema hakikubaliki ktk jamii na ni hatari kwa ustawi wa taifa letu huo ni uchochezi zahiri unaoweza kuamsha chuki za kidini na machafuko yake hayawezi kukuacha salama wewe na jamaa zako na taifa kwa ujumla hebu jaribu kuheshimu misingi ya amani na utulivu acha kutoa mada za kichochezi.
kulalamika hakutoondoa ukweli wa mambo yalivyo kuwa.
Labda kama unataarifa tofauti na hizo zilizotolewa mohammed,
maana halisi ya uchochezi ni kuongeza maneno ili kuongeza hamasa upande fulani,na kutia uoga upande mwingine.
nashindwa kujua kwani OPERATIO TOKOMEZA wabunge wameshinikiza mawaziri kujiuzu lakini kwenye hili wanajitia pamba masikioni.
Last edited by a moderator: