Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
kwa kweli nazichukia kupita maelezo hizi dini,hasa hizi dini za zilizoletwa na watu weupe na miafrika ilivyo mijinga ikaingia kichwa kichwa matokeo yake leo hii imekuwa kama mi-zombie vile..!!

dini unazozipenda ni dini zilizoletwa na watu wa rangi gani?
Na nini maana ya kuletwa?
 
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi
waliokuwa katika vijiji vya Handeni.

Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki
na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.

Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete.

Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.

Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha
ya risasi.

Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana waliokuwa
wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.

Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga
baada ya kukutwa porini.

Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.

Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga
kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni
Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari
pasi na sababu.

Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari
Guledi
na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku
Galawa
kupata ukweli zikagonga mwamba.

Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika
masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa
Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''

Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh
Chanmbuso.

Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na
maadamano yoyote.

Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari
za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.

Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.

Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga
aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an
zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha
ugaidi.

Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.

PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.
mkuu Mohamed Said unachojaribu kusema hakikubaliki ktk jamii na ni hatari kwa ustawi wa taifa letu huo ni uchochezi zahiri unaoweza kuamsha chuki za kidini na machafuko yake hayawezi kukuacha salama wewe na jamaa zako na taifa kwa ujumla hebu jaribu kuheshimu misingi ya amani na utulivu acha kutoa mada za kichochezi.
 
Last edited by a moderator:
Ugaidi ni neno baya ambalo Makafiri (wakiristo) wa mataifa ya Ulaya na Amerika wamelipachika na kuwabandika waislam ulimwenguni kwa kuwachukia tu., lakini kama utafanya tathmini ya mataifa yanayovunja haki za binadamu kuuwa watu ulimwenguni Marekani ni No.1, wameuwa kwa mabomu kule iraq, Afghanista, Pakistan na saivi wanaitaka Syria na Irani, wao vita yao siku zote ni against nchi za kiislam ulimwenguni mawazo yao na fikra zao kuutokomeza usialm usiende mbele jambalo ambalo haliwezekani.,
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Ndani ya waislamu wapo wanafiki ambao wanauangusha uislamu,mtoa mada umezungumzia jambo hili kwa ukweli na ufasaha,mimi mwenyewe niko tanga ukweli ndio huu.hapa kulikua na chuki tu dhidi ya uislamu,hata Rc mwenyewe wa tanga hakutenda haki,najua uzi huu utaondolewa mapema na wengi watakaochangia kwa chuki watakua ndo walewale wenye chuki na uislamu.hivi serikali inawajua magaidi? Hapa kilichofanyika ni kuwasambaratisha waislamu tu hakuna kingine.
 
Haitwi ossama. Bali ni SHEIKH OSAMA MWANA WA LADEN!
Ametingisha mataifa zaidi ya 50 ya makafiri!
Kawarudisha makafiri kwenye body bags kwa maalfu!
Ni one man army! Wamepiga kila kona ya afghanistan na Pakistan kwa zaidi ya miaka zaidi ya 10 na ziada lkn wapi!
Kwa hio unapotaka jina lake MPE HESHIMA yake!

Muziki wa Makafiri si mliuona?Shekh Ossama aligeuzwa chakula cha Samaki fasta.Chezea Dunia ya Wastaarabu weye.
 
mkuu Mohamed Said unachojaribu kusema hakikubaliki ktk jamii na ni hatari kwa ustawi wa taifa letu huo ni uchochezi zahiri unaoweza kuamsha chuki za kidini na machafuko yake hayawezi kukuacha salama wewe na jamaa zako na taifa kwa ujumla hebu jaribu kuheshimu misingi ya amani na utulivu acha kutoa mada za kichochezi.

Chuki inaletwa na hao wanao wauwa na kuwanyanyasa waislamu kutokana na imani yao.
Ingefaa sana kama wewe ungepeleka ushauri huu serikalini. Kule ambako MFUMO KRISTO UMETAWALA!
Na kwa uwezo wa Mungu iko siku dhulma tunayofanyiwa na hao makafir itabaki kuwa ni historia tu!
We yangelikukuta haya sidhani kama ingesema ulioandika hapo juu!
Lkn hao maskini hawakuhusu ndio sababu ukaita ni uzi wa chuki!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo kama haya hayana maaana kabisa
sisi tunasaka pesa na kusoma sana hatuko bize kuangalia dini wakati dini zimeletwa na watu kwa hiyo sina muda wa kujadili vitu hivyo
nikianza kujadili watu wanapiga hatua mara uanze kulaumu ooo fulani kasoma sana na amepewa cheo kikubwa sasa upewe cheo wakati hujafika vigezo vya kupewa
ndio maana mazungu yanatuzidi majitu yanapiga hatua huku watu wakijadili udini
 
Ugaidi ni neno baya ambalo Makafiri (wakiristo) wa mataifa ya Ulaya na Amerika wamelipachika na kuwabandika waislam ulimwenguni kwa kuwachukia tu., lakini kama utafanya tathmini ya mataifa yanayovunja haki za binadamu kuuwa watu ulimwenguni Marekani ni No.1, wameuwa kwa mabomu kule iraq, Afghanista, Pakistan na saivi wanaitaka Syria na Irani, wao vita yao siku zote ni against nchi za kiislam ulimwenguni mawazo yao na fikra zao kuutokomeza usialm usiende mbele jambalo ambalo haliwezekani.,

Mwenye Nguvu mpishe.Huoni hata Tanzania wenye Pesa wanavyopeta?
 
Chuki inaletwa na hao wanao wauwa na kuwanyanyasa waislamu kutokana na imani yao.
Ingefaa sana kama wewe ungepeleka ushauri huu serikalini. Kule ambako MFUMO KRISTO UMETAWALA!
Na kwa uwezo wa Mungu iko siku dhulma tunayofanyiwa na hao makafir itabaki kuwa ni historia tu!
We yangelikukuta haya sidhani kama ingesema ulioandika hapo juu!
Lkn hao maskini hawakuhusu ndio sababu ukaita ni uzi wa chuki!
napenda sana twende kwa vituo jee... waweza bainisha huo mfumo kristo unafanyaje kazi?? na je unanufaika na nini juu ya mateso dhidi ya waislamu? na je hayo mateso ni yapi na dhulma ni ipi? jamani dini ni kitu hatari ambacho kinaweza kutuvuruga na kuharibu timetable zetu tuwe makini na yale tunayojaribu kuchochea katika jamii.
 
Chuki inaletwa na hao wanao wauwa na kuwanyanyasa waislamu kutokana na imani yao.
Ingefaa sana kama wewe ungepeleka ushauri huu serikalini. Kule ambako MFUMO KRISTO UMETAWALA!
Na kwa uwezo wa Mungu iko siku dhulma tunayofanyiwa na hao makafir itabaki kuwa ni historia tu!
We yangelikukuta haya sidhani kama ingesema ulioandika hapo juu!
Lkn hao maskini hawakuhusu ndio sababu ukaita ni uzi wa chuki!

MFUMO KRISTO ndio unaotawala Dunia.Ukisikia Adhabu ya Kifo iondolewe ujue ni Kampeni za Kuendeleza Mfumo Kristo,Ukisikia Serikali inatambua Ndoa ya Mke Mmoja kwa ajili ya huduma kwa Mfanyakazi ujue ndio Mfumo wenyewe.Hii kitu haikwepeki labda uhamie Sayari ya Mars ambayo wakristo ndio Pekee waliokwishafika huko.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
dini zote zimeletwa na meli, zita tunyanyasa sana watu weusi.....
 
MFUMO KRISTO ndio unaotawala Dunia.Ukisikia Adhabu ya Kifo iondolewe ujue ni Kampeni za Kuendeleza Mfumo Kristo,Ukisikia Serikali inatambua Ndoa ya Mke Mmoja kwa ajili ya huduma kwa Mfanyakazi ujue ndio Mfumo wenyewe.Hii kitu haikwepeki labda uhamie Sayari ya Mars ambayo wakristo ndio Pekee waliokwishafika huko.
mkuu jaribu kuepuka mashindano.....maelewano huleta suluhu twende taratibu na kwa vituo tueleweshane taratibu acha maneno ya ushabiki unatibua mambo
 
MFUMO KRISTO ndio unaotawala Dunia.Ukisikia Adhabu ya Kifo iondolewe ujue ni Kampeni za Kuendeleza Mfumo Kristo,Ukisikia Serikali inatambua Ndoa ya Mke Mmoja kwa ajili ya huduma kwa Mfanyakazi ujue ndio Mfumo wenyewe.Hii kitu haikwepeki labda uhamie Sayari ya Mars ambayo wakristo ndio Pekee waliokwishafika huko.

Mbona ndoa za jinsia moja hujataja. Na usambazaji wa madawa ya kulevya?
Na unyanyasaji wa maskini kupitia kanisa!?
Na kutawala nchi za wanyonge toka miaka 1900 iliyopita mpaka leo kwa kisingizio cha kueneza neno la bwana?
Kusambaza maradhi duniani ili kudhibiti ingezeko la watu pia umesahau?

Usipende kuropoka bila kufikiri!
Serikali za kikafiri zina mwisho wake!
Hakuna dola iliokuwa inanyanyasa watu ikadumu milele!
Hata wayahudi wa wakati wa hitler hawakutegemea kuwa iko siku watakuwa na uwezo wa kunyanyasa wengine!

Mfumo kristo UTAKUFA KIFO KIBAYA SANA!
Time will tell galatians!
Time will tell!
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Huu uzi niliwahi kuuleta hapa ila sijui ulipotelea wapi...
Wanaumiza vichww vyao kuuangamiza uislam ila hilo halitawezekana, alieuleta uislam ndie huyo alieumba dunia na kila kitu na vyengine hatuvijui.. "sisi ndio tulioiteremsha hii quran na hakika sisi ndio tutakao ilinda" (quran)
 
Waislaaam mtabaki magaidi mungu hawatambui ndo maana nchi zenu zinanuka damu yenu wenyewe dini ya frimasonik bisnis waachie waarabu
 
Duuuh..We mzee bado upo.Nilifikiri upo lupango yakhe.Nani mtani jembe?Ndio habari ya mjini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom