Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.


kulalamika hakutoondoa ukweli wa mambo yalivyo kuwa.
Labda kama unataarifa tofauti na hizo zilizotolewa mohammed,
maana halisi ya uchochezi ni kuongeza maneno ili kuongeza hamasa upande fulani,na kutia uoga upande mwingine.

nashindwa kujua kwani OPERATIO TOKOMEZA wabunge wameshinikiza mawaziri kujiuzu lakini kwenye hili wanajitia pamba masikioni.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kwamba mimi ni muislam naona uzi huu haupo kihalisia. Hakuna haja ya kuhalalisha ufedhuli kwa kupitia mgongo wa Uislam. Chiku namfahamu asingelikubali kama mwislam angalikuwa anaonewa. Jamani ndugu zangu tuache kutumia dini kwa manufaa yetu binafsi. Wakristu hawatuonei ila sie ni inferiority complex zinazotuangusha. Karibu Njinjo
 
huu ni uchochezi mkubwa usiovumilika
 

Usihukumu Kabla hujahukumiwa!kafili Ndio kusema ww mtakatifu sana au?
 
Kuna kakikundi kadogo ka kiislam kanakopanda mbegu ya waislam kuonewa, mfumo kristu Tanzania na wanafanikiwa kupata waamini wengi. Lakini kuna waislam wengi wanaoijua historia ya dini yao wanamsimamo wao. Imefikia point hata jambazi akiuwawa km amevaa kanzu au barakashia wengi watadai kauwawa sababu ni mwislamu. Gazeti la Jamhuri wali report habari hii vizuri sana baada ya uchunguzi uliohusisha mkuu wa mkoa na RPC wa Tanga. Thread km hizi zina incite vurugu tu na ndo malengo ya hao wanaovaa push Pedo. This is a naked fact mtukane mfanyeje!
 
Jamani nashindwa kuelewa Watz wenzangu!
CHADEMA inasemekana ni Chama Cha kikristo
Na hii serikali inalaumiwa Kua ni serikali ya mfumo kristo!
Hapa ndipo mnaponichanganya.....! Anyway nikiachana na hayo mambo ya siasa na nirudi kwenye mambo ya kiimani!

Jamani ndugu zangu waislamu hii Dhana ya ugaidi ni Dhana ya Muasi dhidi ya ibada ya kweli! Na huu ni mwanzo tu na ktk hili Kwa yule anaemwabudu Mungu Wa kweli hatopona dhidi ya uasi vinginevyo akajifiche mapolini Au kuteswa mpaka kufa Na akiona Mungu hafai basi aukubari uasi! Na katika Hili ata wakristo wale Wa kweli wanaomwabudu Mungu Wa kweli hawatopona ata wale waislam wanaomwamini Mungu kweli lazima wapitie mateso!

Vitabu Au Unabii Wa siku za mwisho Uko wazi kabisa! Someni vitabu na si kulaumu upande fulani! Itafikia hatua Watu watashindwa kununua wala kuuza na wengine kwenda kujificha! Haya yote yatatokea ndio ule mwisho ufike!

Na hili Jambo litasukumwa na USA na ulaya Na wataitawala Dunia na kupitisha sheria zao na mambo Yao!

Mimi ni mkristo nalijua hili km litanikuta nikiwa hai lazima kuteseka Au kujificha! Au kumsujudia MUASI!
 

Lazima mpigwe tena bado,eti wakristo makafiri hao ni watakatifu wa mungu,peleken ugaidi wenu huko Tanzania ni nchi ya aman mnataka kuiharibu kwa kusingizia et mnaonewa...
 
Siku waislamu watakapopinga makundi kama boko haram, alshababu na wengineo mtaonekana dini yenu haina mafungamano na ugaidi.
Acheni kujilipua kwa jina la allah
 
Ushenzi kama huu wakifanyiwa Waislam huwa hakuna tatizo, sasa hivi ukitaka kuwapiga Waislam wewe weka tag ya ugaidi unaruhusiwa hata kuwaua.
lakini mkuu hiki alichoandika mohamed unakiamini?
 
huu ni uchochezi mkubwa usiovumilika


sisi tunaoingia kwenye jukwaa hili tunapenda kupata habari za uhakika, sasa kama utaishia kulalamika bila kuleta taarifa inayopinga hii haito saidia na watu watakao kusikiliza wote hawastahili kuwepo kwenye hili baraza la home of great thinker.

na niseme kwamba wewe unaweza ukawa ndio mchoche kwa ku reflect in wrong aspect habari iliopo.
 
Kuna Uzi Wa THE BIG SHOW unazungumzia Jambo km hii ila wenyewe Uko kimataifa!

Lakini ni vema kusoma maandiko na kujua Yale yatakayotokea hapo badae, na vitabu viko wazi kabisa tena si kulaumiana Au upande Fulani kulaumu upande Fulani!
 
mkuu mimi sielewi dhana ya mfumo kristo....faida zake na jinsi unavyofanya kazi je chiku galawa ni mwislamu jee anaweza kufanyia dhulma waislamu wenzie?
 
Ushenzi kama huu wakifanyiwa Waislam huwa hakuna tatizo, sasa hivi ukitaka kuwapiga Waislam wewe weka tag ya ugaidi unaruhusiwa hata kuwaua.

Kwa hiyo magaidi yaachwe yatambe tu yatakavyo? Huko Iraq magaidi yameua Wakristo yamechoka mpaka yanauana menyewe kwa menyewe misikitini! Once a terorist always a terorist!
 

Mkuu Kahtaan na Mohamed Said ninge waomba tuangalie maandiko kwanza kabla ya kutupia lawama upande mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…