crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
Wakoloni gani?
Huo utekelezaji wewe umeuona wapi?
Uko wapi ushahidi?
Kwanini unawataja kama waislam na sio watanzania?
Kwanini wasipewe?
Kwanini hutaji yale maandamano ya kule Arusha?
Na kwanini jeshi lisiende hapo msimbazi?
Kwanini wasipewe?
Ukweli ni upi?
Kwa kipimo gani vyombo vya habari vimetangaza kwa ushabiki wa kidini?
Kwa ushahidi gani?
Bunge lilikataa kwa ushahidi gani?
Kwanini unayataja hayo maeneo kuwa ni ya waislam na siyo watanzania?
Ni ya waislam kivipi?Yalinunuliwa na msikiti?
Hakuna watu wa imani nyingine wanaoishi hayo maeneo?
Hakuna watu wasiokuwa na dini wanaoishi maeneo hayo?
Upendeleo upi?
Kwa ushahidi gani?
Unazungumzia katiba gani?
Nijuavyo mimi katiba iliyopo ni ile ya zamani ambayo tuko kwenye mchakato wa kuifanyia marekebisho,kama unasema haina matatizo utakuwa wewe ni kiumbe mpya kabisa chini ya jua na nchi hii kwa sababu Watanzania wenzako wanaiona haifai ndio maana iko kwenye mchakato wa kufanyiwa marekebisho wewe unasema haina matatizo
Kama unaizungumzia rasimu utakuwa umejichanganya vibaya sana kwani bado haijawa katiba bali ni rasimu
Liko wapi?
Umetumia kipimo gani kuligundua hilo tatizo?
Hao kama wapo watakuwa wanafanya kosa kisheria na wanatakiwa kushtakiwa
Kama una ushahidi wa madai yako ulete hapa
Kama huna hapa sio mahali pa kuzungumzia ndoto na mtazamo wako binafsi
Mada ni kubwa kivipi?
Ni kwanini unadhani watu wanaojadili haya wanakuwa wanataka usawa na sio kinyume chake?
Uko wapi ushahidi wa haya madai yako?
Kama kuna hisia hilo ni tatizo la wenye hisia
Mtu anaweza kuhisi amebadilika jinsia,je ni halali tuchukulie hisia zake serious?
Mbona unaleta vituko?
Kama mtu amevuta bangi zake huko na akaja na kukuambia kuwa anaona ndani mwako kuna sisimizi wakubwa kama ng'ombe wanatembea ukutani mwako utamuona kuwa anasema kweli na atakuwa sahihi?
Tangu lini tukajadili hisia zisizokuwa na ushahidi hapa?
Ni mara ngapi watu wameandamana na kupigwa na polisi?
Mbona hujataja hayo maandamano mengine?
Au sio ya waislam?
Kuna watu walifukiwa huko Kahama kwenye utawala wa Mkapa mbona huwasemi hao?
Au kwasababu sio waislam?
Kuna usawa gani hapo unaouongelea wewe?
Tafuta kitabu mwembeyanga killings cha prf. Hamza utapa ushahidi wa hayo unayo uliza au pia tafuta kitabu cha mtoa mada juu ya maisha ya Abduleahid sykes kuna kila kitu in details utaupata humo