Hizo ndio sababu zako za kwenda kuwaua na kuwachomea moto misikiti yao? hizo ndio sababu zako za kwenda kuwabaka? hizo ndio sababu zako za kuwachukia?
Ikiwa watu wenyewe ni kama wewe, kuna kila sababu ya Waislaam kusikia haya maneno yako na kuelewa kwanini wanauliwa, kwanini wanabakwa, kwanini wananyanyaswa.
Natumai na wengine wengi wanakusoma humu na hilo ndio jibu tosha kwa swali lililoulizwa.
Kwa hakika hakuna ugaidi unaopigwa vita Tanzania, hii ni dhahiri tunapigwa vita Waislaam.
Tunawakumbusha tu hakuna jeshi duniani linaloweza kuuzuwia Uislaam hata yaungane yote. Wameshindwa kina Mao, Stalin, Bush na vikaragosi vyao, mtaweza nyinyi?
FaizaFoxy haya maswali kama nikweli kwanini wenzetu watuuwe
1. J. M Kikwete
2. Said Mwema
3. Shamsi Vuai nahodha
4. Ghali bilali nk
a) Nikweli hawa wenzetu wanaweza kutuangamiza bila sabubu za msingi? hawa wanambaguwa nani?
b) Nani alitoa amri na nani alidhia kitendo hicho? je wakuu hawa wanasemaje au ndio mfumo kristo?
Nawasikitikia sana wanamtwara kwa mateso na manyanyaso waliyoyapata kwa kutetea haki zao
FaizaFoxy natambua kilio chako kwa uharamia unaofanywa na serikali yetu ya ccm.
a) Niwewe FaizaFoxy unaeshinda kutwa kucha hapa mtandaaoni kutetea serikali hihi dhalimu ya ccm au si wewe?
b) Unamlalamikia nani alhali anaesimamia serikali inayotesa na kuuwa watanzania wenzetu nchi nzima ni Alhaj kikwete?
c) Haya manyanyaso sio kwa waislam tu bali kwa watanzania walio wengine, Arusha, Mbeya, Songea, morogoro nk Taifa.
Jamaani hili sio swala la itikadi za dini CCM na Serikali yake imeshindwa kutekeleza sera za utawalabora tuungane kuitowa madarakani