Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni dini hii ilianza kwa ushauri wa mganga wa kienyeji, kitabu cha maisha ya muhamad uk.7. tatizo lilianzia hapa. unategemea nini matokeo ya wafuasi wake kama si kuwa na hakili za kiganga ganga?. nauliza tu.

Watu tuna zungumzia kuuliwa wananchi bila ya sababu wanawake kuwa raped watoto kutekwa na mapolisi kuchoma moto nyumba na kuangamiza kijiji kizima
Wewe unaleta ujinga. Lakini hawa waislam unao wadharau sio wajinga siku wakisema sasa bas hapo ndio njia kurudi ulikotoka hutaiona..
 
Waislamu wa wapi wanafanyiwa Ushenzi?.Kama ni Tanzania siamini kama Serikali ya CCM inaweza kuyafanya haya.Jengeni vyuo watu waelimike.[/QUOTE
ukiona mtu anavaa tineti na yeye ni mwanaume ogopa sana hii mikitu, imekalia kulalamika tu na kujazana ujinga. kila sehemu ya dunia yenye mauaji yapo majitu haya.badilikeni ndg zangu mkifuata mambo ya Osama Mungu atawachinjia baharini.
 
kwanini walijitenga na jamii, au uisilamu unaagiza hivyo, mbona wewe hauko polini? nauliza tu.

Nani aliokudanganya kuwa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande vimejitenga na jamii? vijiji vipo huko miaka na miaka, leo useme vimejitenga na jamii? Mbona tunaona makanisa yako maporini hakuna hata kijiji lakini hatusikii kuwa limechomwa moto kwa kujitenga na jamii? Misikiti kwanini ichomwe moto?
 
Tatizo ni dini hii ilianza kwa ushauri wa mganga wa kienyeji, kitabu cha maisha ya muhamad uk.7. tatizo lilianzia hapa. unategemea nini matokeo ya wafuasi wake kama si kuwa na hakili za kiganga ganga?. nauliza tu.

Hizo ndio sababu zako za kwenda kuwaua na kuwachomea moto misikiti yao? hizo ndio sababu zako za kwenda kuwabaka? hizo ndio sababu zako za kuwachukia?

Ikiwa watu wenyewe ni kama wewe, kuna kila sababu ya Waislaam kusikia haya maneno yako na kuelewa kwanini wanauliwa, kwanini wanabakwa, kwanini wananyanyaswa.

Natumai na wengine wengi wanakusoma humu na hilo ndio jibu tosha kwa swali lililoulizwa.

Kwa hakika hakuna ugaidi unaopigwa vita Tanzania, hii ni dhahiri tunapigwa vita Waislaam.

Tunawakumbusha tu hakuna jeshi duniani linaloweza kuuzuwia Uislaam hata yaungane yote. Wameshindwa kina Mao, Stalin, Bush na vikaragosi vyao, mtaweza nyinyi?
 
It is well stated, kwamba ni vita dhidi ya ugaidi. Mtoa mada uko so biased. Na people like you ndo mnaospoil peace.
 
Kuna mambo kama haya hayana maaana kabisa
sisi tunasaka pesa na kusoma sana hatuko bize kuangalia dini wakati dini zimeletwa na watu kwa hiyo sina muda wa kujadili vitu hivyo
nikianza kujadili watu wanapiga hatua mara uanze kulaumu ooo fulani kasoma sana na amepewa cheo kikubwa sasa upewe cheo wakati hujafika vigezo vya kupewa
ndio maana mazungu yanatuzidi majitu yanapiga hatua huku watu wakijadili udini

Kwa hiyo kwa akili yako ya kisomi watu na mataifa yaliyo endelea ni yale yasiyo na dini?
 
Ebu tutolee mada za kipumbavu na kichochezi...vita dhidi ya uislamu ina tija gani!?Kwa maisha ya sasa watu wameoana,wanaurafiki na ndugu bila kujali tofauti za dini.Mpuuzi mkubwa wewe!
 
Miezi michache
iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa
katika vijiji vya Handeni.

Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika
mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.

Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya
Mrisho Kikwete.

Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji
vimeteketezwa.

Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya
risasi.

Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana
waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na
askari.

Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga
baada ya kukutwa porini.

Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.

Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa
Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa
porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande
walioshambuliwa na askari pasi na sababu.

Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor
Omari Guledi
na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa
Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.

Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja
katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha
kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''

Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh
Chanmbuso.

Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na
maadamano yoyote.

Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na
habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina,
Dibungo na Lwande.

Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji
vilivyoshambuliwa.

Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti
maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na
kuchomwa moto, Qur'an zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam
zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.

Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.

PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.

Mleta uzi ebu toa elimu hapa: UGAIDI NI NINI?
 
Mods futa huu uzi umeletwa na Gaidi MS..
Mods asifute ila mtuache nyie Wakristu ili sie Waislam tufundishane maana inaonekana chuki ya mtu binafsi inatumika kidini. Nani haoni kuwa sie Waislam ndio tunanufaika na bado tunazidi kulalama. Angalia ndugu zetu wa Zenji wanavyonufaika na huu muungano lakini wale siasa khali wanayao. Ukweli utabaki ukweli dini ni kitu cha kimapokeo mtu anaweza iacha hii akajiunga na nyingine. Huyu ndugu yangu MS ana yake ila anatafuta mgongo wa dini ili akalipize. Nitatoa hoja zangu baadaye
 
sijaona alieongea la maana hapo. nilifikiri tangu haya yaanze kuna mtu ambae ameshawahi kufikiri ni kwanini na akaja na HOJA yenye kuelimisha na kutoa suggestion. lakini mmeonesha udhaifu mkubwa san. kiakili na kila kitu.
 
It is well stated, kwamba ni vita dhidi ya ugaidi. Mtoa mada uko so biased. Na people like you ndo mnaospoil peace.

Tuoneshe huo ugaidi uko wapi? kutamka tu ugaidi ni rahisi sana. Huo ugaidi uko wapi? wamefanya nini hawa watu mpaka waambiwe wamefanya ugaidi?

Na gaidi hukumu yake ni kuchomwa moto msikiti> na gaidi hukumu yake ni kubakwa?
 
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.

Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.

Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.

Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya risasi.

Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.

Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga baada ya kukutwa porini.

Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.

Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari pasi na sababu.

Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.

Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''

Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh Chanmbuso.

Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na maadamano yoyote.

Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.

Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.

Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.

Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.

PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.

Tofauti yake ni nini?
 
Mleta mada MS ni gaidi..

Kwa tafsiri halisi ya ugaidi na maana ya ugaid je, unaweza kufanyika Handeni ?
Lengo ni nini la hao Magaidi ?
Bila shaka, ndio maana yule hakimu kule Igunga akaifutilia mbali ile kesi ya Ugaidi.
Wachangiaji wa Kigalatia na Wakorintho, wengi wenu mmekosa hekima na wala hamuoni hatari iliyopo, bali ni kuropoka tiu na kejeli.
 
Nasikia nchi za kislam ndo zinatengeneza madawa ya kulevya!!hata hapa bongo sheikh anakula milungi!!

We mlokole! Madawa ya kulevya hayatengenezwi!!
Yanalimwa!

Na wewe sio hayo tu uliyoskia!

Umesahau kuwa uliskia mungu wako alipigwa na viumbe wake mpaka akafa,
Halafu akafufuliwa na mungu mwingine ambae alikuwa ndani ya yule aliyekufa!!!!😕😕😕

mbona hilo.hujaliandika hapa?

Mbulula wahedi.

Milungi my foot!
 
dini unazozipenda ni dini zilizoletwa na watu wa rangi gani?
Na nini maana ya kuletwa?
Dini ambayo kwangu mimi kama mwafrika ina mantiki ni ile ambayo ukirudi nyuma vizazi vitano hadi saba iliyokuwa wakiiabudu,yaani hao bau na bibi zetu kabla hawajavamiwa na hawa mashetani na mijitu mikatili ya kiarabu na wazungu..ile ndio dini iliyotambua uafrika wetu. kwa ufupi tu kama kuna vitu ambavyo vimechangia kutufanya watu weusi tuwe ma-zombie ni hizi dini, hizi dini mnazoziabudu ndio zinazotufanaya tuchukiane, tuuane wenyewe kwa wenyewe eti kisa dini yangu ni bora kuliko yako,yule anamuita mwenzake kafir na majina mengine ya ajabu ajabu kisa tu dini ya muarabu au mzungu?
 
Mods futa huu uzi umeletwa na Gaidi MS..

We akili kuambiwa. Mtoto wa kufikia. Unafahamu maana ya gaidi wewe?

Au huko kulelewa bila kumjua baba ndiko kunako kusababisha uropoke ovyo!

Tunafahamu matatizo ya kuzaliwa na mzazi mmoja bila kumtambua baba. Lkn hayo mbona ni ya kawaida tu kwa wagalatia??

Tatizo linakuja pale mama anapokuwa muuza pombe ya kienyeji na mmoja wa wateja bahati mbaya akawa ndie sababu ya wewe kuzaliwa halafu MAISHA YAKO YOTE UKAKULIA KWA MUUZA NGONGO!
Ukionjeshwa hio gongo toka mchanga kabisa!!

Hapo tedo lzm uonewe huruma!

Manake sio maadili tu ndio utakuwa huna!
La hasha!
Wewe kuanzia maadili. Afya. Elimu. Fikra huru. Mpaka usafi wa mwili wako pia itakuwa ni matatizo!

Na bahati mbaya zaidi umri ndio umeshakutupa mkono!

Sasa kaa mkao wa kula. Wacha watu wapate elimu.
Na wewe mwambie mama tabia ya kuonjesha gongo watoto wachanga sio nzuri!
Gongo ina athari kubwa sana kwa watoto wachanga hasa kwenye ubongo!

Cc mkupule
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu,
Umepanua uwanja wa majadiliano.

Hapa mimi nimeleta taarifa za watu ambao hata gazeti la siku hawasomi.
Watu wa vijijini ambao hawajamdhuru mti yoyote wala hawajui ugaidi ni kitu gani.

Nina uwezo wa kjadili hayo na kwa kweli nimepata kutoa mada ya ugaidi katika
Afrika Mashariki Chuo Kikuu cha Ibadan.

Lakini hapa si mahala pake.

Mkuu niseme kitu kimoja Labda haujanielewa vizuri! Hiyo post uliyoquote nilikua naongezea hoja ktk Swali alilouliza ndugu pale juu Kuhusu makundi km Alqaeda na mengine ndio hayo nilipopendekeza tujua harakati zao kwanza! Lakini Kwa matukio ya yaliyotokea Ktk hivyo vijiji vya Tanga Kua ni ugaidi nisingependa kujadili Kwasababu ktk hii nchi yetu hii Dhana Ugaidi haijakaa vizuri! Kwahiyo binafsi siwezi jadili juu ya Hilo!

Nitoe tu pole zangu Kwa Hao waliokutwa na Hiyo kadhia na niseme tu Kua Mungu Atakuja kumlipa kila mmoja!
 
SOMENI HII HAPA MPATE KUIJUA HII DINI

HOW ISLAM AND MUSLIMS CAN SPREAD Source: Copied from (percentages source CIA: The World Fact Book (2007)). Here's a layout of how Islam takes over countries. Print this out and keep it to refer to as the Muslims population grows here so you will know the changes that are going to take place. It will happen here. Islam is not a religion nor is it a cult. It is a complete system. Islam has religious, legal, political, economic and military components. Islamization occurs when there are sufficient Muslims in a country to agitate for their so-called ‘religious rights.' When politically correct and culturally diverse societies agree to ‘the reasonable' Muslim demands for their ‘religious rights,' they also get the other components under the table. Here's how it works
As long as the Muslim population remains around 1% of any given country they will be regarded as a peace-loving minority and not as a threat to anyone. In fact, they may be featured in articles and films, stereotyped for their colorful uniqueness:

United States - Muslim 1.0% Australia - Muslim 1.5% Canada - Muslim 1.9% China - Muslim 1%-2% Italy - Muslim 1.5% Norway - Muslim 1.8%
At 2% and 3% they begin to proselytize from other ethnic minorities and disaffected groups with major recruiting from the jails and among street gangs: Denmark - Muslim 2% Germany - Muslim 3.7% United Kingdom - Muslim 2.7% Spain - Muslim 4% Thailand - Muslim 4.6%

From 5% on they exercise an inordinate influence in proportion to their percentage of the population. They will push for the introduction of halal (clean by Islamic standards) food, thereby securing food preparation jobs for Muslims. They will increase pressure on supermarket chains to feature it on their shelves - along with threats for failure to comply. (United States).
France - Muslim 8% Philippines - Muslim 5% Sweden - Muslim 5% Switzerland - Muslim 4.3% The Netherlands - Muslim 5.5% Trinidad &Tobago - Muslim 5.8%

At this point, they will work to get the ruling government to allow them to rule themselves under Sharia, the Islamic Law. The ultimate goal of Islam is to convert the world & to establish Sharia law over the entire world.
When Muslims reach 10% of the population, they will increase lawlessness as a means of complaint about their conditions (Paris –car-burnings). Any non-Muslim action that offends Islam will result in uprisings and threats (Amsterdam – Mohammed cartoons).
Guyana - Muslim 10% India - Muslim 13.4% Israel - Muslim 16% Kenya - Muslim 10% Russia - Muslim 10-15%
After reaching 20% expect hair-trigger rioting, jihad militia formations, sporadic killings and church and synagogue burning: Ethiopia - Muslim 32.8% At 40% you will find widespread massacres, chronic terror attacks and ongoing militia warfare:

Bosnia - Muslim 40% Chad - Muslim 53.1% Lebanon - Muslim 59.7% From 60% you may expect unfettered persecution of non-believers and other religions, sporadic ethnic cleansing (genocide), use of Sharia Law as a weapon and Jizya, the tax placed on infidels: Albania - Muslim 70% Malaysia - Muslim 60.4% Qatar - Muslim 77.5% Sudan - Muslim 70%
After 80% expect State run ethnic cleansing and genocide: Bangladesh - Muslim 83% Egypt - Muslim 90% Gaza - Muslim 98.7% Indonesia - Muslim 86.1% Iran - Muslim 98% Iraq - Muslim 97% Jordan - Muslim 92% Morocco - Muslim 98.7% Pakistan - Muslim 97% Palestine - Muslim 99% Syria - Muslim 90% Tajikistan - Muslim 90% Turkey - Muslim 99.8% United Arab Emirates - Muslim 96%
100% will usher in the peace of ‘Dar-es-Salaam' - the Islamic House of Peace - there's (supposed) to be peace because everybody is a Muslim: we know however that this isn't true is it...? Afghanistan - Muslim 100% Saudi Arabia - Muslim 100% Somalia - Muslim 100% Yemen - Muslim 99.9% HIYO NDIO DINI YA ‘AMANI'
 
Mbunge mkristo hatowasaidia.na hili tayizo jengine la waislam bado tunaendelea kuwachagua hawa !! Lazima tubadilike iwe fundisho sehemu za waislam kuwa na mbunge mkristo hatawasaidia hata siku moja


Mkuu Nafikiri hili sio dhumuni la Mleta mada Alafu Kwa Jambo kubwa km Hili ni vema kutoa hoja zanye maana na si kutugawa watanzania! Ulicho kiandika si sahihi kabisa na Mleta mada ktk bandiko lake wala hajawagusia kabisa wakristo!

Sasa Ukisema maeneo yenye waislam wasiwachague wakristo Kwani Hao wakristo ndio waliokwenda kuwapiga Hao Watu ktk hivyo vijiji?

Tusipandikize chuki dhidi ya Imani nyingine! Tujadili Kwa kuleta usawa na umoja wetu!

Mimi naamini tukio Hilo litakuja kuwaumbua Wote waliohusika km Oparesheni tokomeza ilivyo waondoa Mawaziri!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom