Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Porojo loote utumbo mtupu.huyu masawe juzi tena ati amekamata waislam wakiwa na mapanga chupa petrol msikitini wanapanga kuripua wakati huu wa holidsys!!! Basi huyu masawe ndio muongo hajui hata tanga wanavokaa watu wa dini bila ya bugudha kati kati yao leo yeye anataka kuwagombanisha
Katika mada kuu kuna sheikh chambuso huyu ni kiongozi wa waislam mjini tanga .hakai kilindi alifika bombo hospital kuajulia mahabusu masawe akamrrisha akamatwe .
Sasa jiulize huyu masawe kuwasingixia katumwa na kikwete
sijakataa mkuu, sheria za kadhi zipo, na jaji mkuu othman yupo, na sheria za jeshi na mahakama chini ya IGP mwema zipo, na JK anaweza kuondoa watendaji mizigo serikalini kama alivyowango'a mawaziri. just ask your self why they don't do it concurrently?
way foward: nadhani huyu shekh aliyeonewa akamwone shekh kikwete na shekh othman chande walijadili hili na shekh igp mwema ili massawe atiwe adhabu kali.:sleepy:
 
sijakataa mkuu, sheria za kadhi zipo, na jaji mkuu othman yupo, na sheria za jeshi na mahakama chini ya IGP mwema zipo, na JK anaweza kuondoa watendaji mizigo serikalini kama alivyowango'a mawaziri. just ask your self why they don't do it concurrently?
way foward: nadhani huyu shekh aliyeonewa akamwone shekh kikwete na shekh othman chande walijadili hili na shekh igp mwema ili massawe atiwe adhabu kali.:sleepy:


Mkuu Mimi naangalia hoja zako na jinsi unavyopata majibu!
 
Nguvu za Makafiri haishindi nguvu za Allah ndo mana wamejaribu kuchoma moto quran walisahau kama Quran imo ndani ya vifua vya waislamu., uislam upo ndani ya damu za waislam na utaendelea kuwepo Mungu ameahidi kuulinda.,

Allah hawezi kushindana na Mungu wa kweli(YEHOVA) ndio maana Makundi ya Kigaidi kama Al quida,Al shababu,Boko Haram n.k.yanaishi kwa kujificha na Hofu kuu.
 
Kijana usiombee tukafika huko, hapa inatolewa indhari kwa wenye macho wajionee, wenye masikio wasikie. Usifikiri hapa panafanyika mzaha. Ujuwe ni damu ya ndugu zetu iliyomwagwa na ujuwe ni ndugu zetu waliobambikiwa kesi.

Hivi huko vijijini kuna ugaidi upi? tunaomba mtufahamishe. Au neno ugaidi ni kisingizio cha kutuulia ndugu zetu, kutuchomea Qur'an yetu na kutuchomea misikiti yetu? kwa lipi haswa tulilowakosea?
Mwenye Nguvu huwa haongei sana(Wakristo).Debe tupu ndilo linalopiga kelele nyingi.Umeshatathmini nguvu za kivita mlizonazo?.Vikundi kama Boko Haram,Al Quaida,Al Shabaab na Hezbolla ni Kipimo dhaifu sana.
 
We unashabikia ukristo masikini hata hujui kama ukristo umebakia jina lkn falsafa ishabadilishwa zamani na wanaoumiliki. Au unafikiri kila wanachofanya wazungu wanafanya kwa sababu ya ukristo? Poor you

Mbona hueleweki?.Nimekwambia Sera zote zinazotawala Dunia ni za Kikristo.Jaribu kufikiri inakuwaje Rais na Makamu wake,Rais wa Zanzibar na Makamu wake wawili jumla watano wote ni waislamu lakini bado waislamu mnalalamika kunyanyaswa na Wakristo?.Bila kusoma na kuelimika(sio kupeana vyeo vya upendeleo)mtaendelea kuwa wanyonge Milele.
 
Nadhan wanasoma aya ndani ya quruan inayosema wake zenu ni kama konde zenu muwaingilie mpendavyo....ndio maana sunan ibin majah na sahihi bhohari zinasema kama wanaume wameamua kuingiliana kinyume na maumbile wakikamatwa wapewe adhabu lakin mke wa kiislam kumwingilia kinyume cha maumbile ni ruksa
 
Mkuu Mimi naangalia hoja zako na jinsi unavyopata majibu!

Mkuu ntuzu huyu 2013 ni katka wale WALOKOLE!!
Sasa hivi atauharibu huu uzi!
That's why mimi huwa sipendi kujibizana nae.
 
Last edited by a moderator:
Dhanna mbovu !! hawapendelei 3rd world kuchipuka kimaendeleo!!
images
 
Nadhan wanasoma aya ndani ya quruan inayosema wake zenu ni kama konde zenu muwaingilie mpendavyo....ndio maana sunan ibin majah na sahihi bhohari zinasema kama wanaume wameamua kuingiliana kinyume na maumbile wakikamatwa wapewe adhabu lakin mke wa kiislam kumwingilia kinyume cha maumbile ni ruksa

Hivi wewe kitimoto hayo mafundisho umeyapata wapi? au ni ukilema wa akili unakusumbua usitafsiri aya kishabiki dogo tuliza mshono.
 
Mwenye Nguvu huwa haongei sana(Wakristo).Debe tupu ndilo linalopiga kelele nyingi.Umeshatathmini nguvu za kivita mlizonazo?.Vikundi kama Boko Haram,Al Quaida,Al Shabaab na Hezbolla ni Kipimo dhaifu sana.

Farudume,
Wala hayo si ya kuombea.

Temea mate chini Allah atuepushe na vita baina yetu.
Inaelekea huna ujuzi katika vita.

Hili ni soma linalojitosheleza.
Vita ya sampuli yetu havipimwi kwa nguvu na uwezo wa silaha.

Vita hivi hupiganwa na hata na kisu cha jikoni kile cha kukatia vitunguu.
Vita hivi hupiganwa na njiti ya kibiriti na kikopo cha mafuta ya taa.

Yule wa Manzese Uzuri huona wale wa Mbezi Beach na majumba yao mazuri
wapo kule na magari yao mazuri wako kule kwa kuwa yeye kadhulumiwa.

Chukua picha ya umma ule wa Manzese Uzuri, Buguruni kwa Mnyamani unavamia
Masaki, Mbezi Beach na kwengine...

Soma historia...utaelewa.
Walojalia hili wanalifahamu ndo maana tunatahadharisha tuiogope dhulma kwani
dhulma huangamiza jamii nzima.
 
Hivi niija na kukuambia kuwa nimekhadithiwa kuwa kuna kijana amezaliwa na mabawa na macho matano na mkia
Would you believe me?

Eiyer,
Nakujibu kwa kuwa nataka uijue haki.

Usifanye mzaha katika mambo kama haya.
Andika kwa nia ya kujenga.

Nami nikujibu kwa nia ya kutengeneza.
Hili ni jukumu letu kuiepusha nchi yetu na hii shari.
 
Farudume,
Wala hayo si ya kuombea.

Temea mate chini Allah atuepushe na vita baina yetu.
Inaelekea huna ujuzi katika vita.

Hili ni soma linalojitosheleza.
Vita ya sampuli yetu havipimwi kwa nguvu na uwezo wa silaha.

Vita hivi hupiganwa na hata na kisu cha jikoni kile cha kukatia vitunguu.
Vita hivi hupiganwa na njiti ya kibiriti na kikopo cha mafuta ya taa.

Yule wa Manzese Uzuri huona wale wa Mbezi Beach na majumba yao mazuri
wapo kule na magari yao mazuri wako kule kwa kuwa yeye kadhulumiwa.

Chukua picha ya umma ule wa Manzese Uzuri, Buguruni kwa Mnyamani unavamia
Masaki, Mbezi Beach na kwengine...

Soma historia...utaelewa.
Walojalia hili wanalifahamu ndo maana tunatahadharisha tuiogope dhulma kwani
dhulma huangamiza jamii nzima.


Mkuu umepotea sn!
Naomba na wewe umpokee Yesu Mkuu!
 
Rai za Mabwana:-
[h=1]I Admit it, I'm a Muslim Hater[/h]Reader comment on item: Terror & Denial [by Hadayat at LAX]
in response to reader comment: not good

Submitted by Habib (United States), Jul 4, 2007 at 08:55
I can't help being racist and full of hate towards muslims. I have no real excuse, such as a family member burning and dying in the world trade center, or a son or daughter busted open by an I.E.D. in Iraq. No, my loved-one didn't die in a plane that smashed into an open field in Pennsylvania on 9/11. My hatred comes from what I see, and don't see, from the muslim community.
From where I stand, I see a group of muslims claiming to be "moderates" who should be labeled muterates, for whenever any muslim extremists plot, plan or target non-muslims, you never hear a word of condemnation towards the extremists. By being quiet, you are condoning their behavior, just as the Americans and Germans did when the Jews were being roasted alive and gassed in showers. In silence, there is complicity, not condemnation.
Imams are preaching messages of hate. Muslims are being taught to hate non-muslims in schools. Muslims are being given blood money by muslim governments for their martyred children who blow themselves up in acts of hate and aggression against non-muslims. Muslims are even killing other muslims because they argue whether they are sons of Ali or sons of Abu. That's equivalent to Christians arguing over being the sons of Adam or Noah. We are all sons and daughters of God, although somewhere along the line, muslims began to believe that there prophet was greater than our prophet, Jesus and literally, all hell broke loose. Like Jesus, Mohammed was persecuted for his beliefs, but he never died for them the way Jesus did. Anyway, religion has always been the great divider among people, fostering disagreements that fester into extremism.
And today, nowhere is extremism more apparent than in the muslim world. In spite of the torture, murder, death and destruction being inflicted on non-muslims worldwide, moderate muslims have their hands over their eyes, and refuse to see that a large segment of their society is ruining the notion that most muslims seek to live in peace. These moderates refuse to hear the cries of their own children being blown to bits by I.E.D.'s meant for non-muslims in the streets of terror in the Middle East. AND MOST IMPORTANTLY, MODERATES REFUSE TO SPEAK OUT AGAINST ALL THIS SUFFERING.
Nothing will change until muslims begin to change other muslims through teaching instead of preaching hate. Stop funding charities that are sponsoring terrorists. Mohammed said to give to the poor, but research where you money is actually going. By giving to terrorists organizations, you are terroists yourselves. Speak out about individuals in your communities, Imams and others, who are spreading messages of hate against non-muslims.
When Americans and other non-muslim people being to see that moderate muslims speaking out against acts of terrorism in the world and especially here in America, then perhaps more of us will see muslims in a new light of acceptance. Until then, the world we are leaving our children is not a safe place and things will only get worse.

Note: Opinions expressed in comments are those of the authors alone and not necessarily those of Daniel Pipes. Original writing only, please. Comments are screened and in some cases edited before posting. Reasoned disagreement is welcome but not comments that are scurrilous, off-topic, commercial, disparaging religions, or otherwise inappropriate. For complete regulations, see the "Guidelines for Reader Comments".
 
toa data kuthibitisha mkuu, dont just be a professional criticizer..

Mwigulu muislamu? Nape ni muislamu? Sasa kama hapo tu umeweza kudanganya watu laivu nani unadhani atakuamini utakapo andika mambo tusio na uelewa nayo.
 
Mkuu Naomba umpokee Yesu!

Mkuu sisi hatumkatai Yesu na kwa taarifa yako muislamu yoyote anaye mpinga Yesu(USA) a.s huyo sio muislamu.

Tofauti inakuja kwenye kumtukuza(ghuluu) kwamba Yesu ni mungu/mwana wa mungu hapo ndio shida ipo.
 
Kama dini za waarabu hazikubaliani na ugaidi angalia matukio yakigaidi yote duniani yanafanywa na nani kama sio waarabu, pia ukiona kila siku dini yako ndio inapingwa kila kona ya dunia ujue inakasoro lazima, kingine tukio la westgate majuzi tu hapa magaidi walikua waislamu na ushahidi upo......angalia kinachoendelea syria leo, waarabu wanauana wao kwa wao wakiamini ukiua mtu unapata swawabu, Mungu gani anataka uue watu wasio na hatia alaf akupokee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom