Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
HABRUHI YA NIPASHE KUTOKA KWA MAJERUHI NA MASHUHUDA ILIKUA KAMA IFIATAVO...

25th October 13
Wananchi waasi

Lulu George
Askari mgambo wa kijiji cha Lwande Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Salum Mgonje, ameuawa kwa kucharangwa mapanga na Mkuu wa Kituo cha Polisi cha wilayani hapa, Inspekta Lusekelo Edward, kujeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi baada ya kuibuka vurugu kubwa kijijini hapo.

Vurugu hizo zinadaiwa kusababishwa na kundi la watu ambao walikuwa wakipinga kitendo cha mwenzao kulipishwa ushuru wa ununuzi wa hiliki na serikali ya kijiji.
Kufuatia vurugu hizo, askari kadhaa wakiongozwa na Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kilindi, Inspekta Edward, walikwenda katika kijiji hicho kwa lengo la kuwakamata watu waliohusika na mauaji ya askari mgambo, na ndipo alipopigwa risasi tumboni na mkononi.

Inspekta Edward akizungumza na NIPASHE jana katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo, alikolazwa kwa matibabu, alisema alipigwa risasi alipofika katika Msikiti wa Answaar Suna uliopo kwenye eneo la Kibirashi wilayani Kilindi muda mfupi baada ya kuwatangazia watu hao ambao baadhi yao wanadaiwa kuwa waumini wa msikiti huo kuwa wako chini ya ulinzi.

Alisema chanzo cha tukio hilo ni kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 22, mwaka huu saa 6:00 mchana, baada ya waumini hao kutakiwa kulipa ushuru wa mazao waliyonunua, lakini waligoma na kusema kuwa ni kinyume cha sheria za dini yao.

Alisema kutokana na hali hiyo, watu hao walianzisha vurugu na kusababisha kifo cha mgambo huyo kwa kumshambulia kwa mapanga.
Hali hiyo iliwalazimisha polisi kuwakamata viongozi wao wawili na kusababisha wengine kuandamana kupinga hatua hiyo.

“Baada ya vurugu hizo ambazo zilisababisha kifo cha mgambo, ndipo tulipoamua kuwafuata waumini hawa kwenye msikiti wao, tulipofika pale walikuwa wakitoka na ndipo tulipowatangazia kuwa wapo chini ya ulinzi. Cha kushangaza walirudi na bunduki mkononi na kuanza kuwafyatulia askari risasi ovyo,” alisema Edward.

Alisema pamoja na kushambuliwa na waumini hao, hadi kufikia juzi watu watatu walikuwa wamekamatwa na kwamba msako unaendelea.

Mkuu wa Wilaya ya Kilindi, Selemani Liwowa, alisema chanzo cha mapigano hayo ni mfanyabiashara mmoja ambaye jina lake halijafahamika, mkazi wa kijiji cha Lulago, Kata ya Lwande alipokwenda kijiji cha Lwande kununua hiliki na kukaidi kulipa ushuru wa mazao.

Alifafanua kuwa mfanyabiashara huyo baada ya kukataa kulipa ushuru huo, ndipo askari mgambo (marehemu), alipokwenda kumtia msukosuko ili alipe kama taratibu na sheria za kijiji zinavyoelekeza.

Liwowa alisema baada ya kutokea mabishano makubwa baina ya mgambo na wafanyabiashara, ndipo wenzake walipoingilia suala hilo kwa kuanza kumshambulia kwa mapanga mgambo huyo hadi kusababisha kifo chake.

Aliongeza kuwa taarifa za mauaji ya mgambo zilipofika kituo cha polisi, ilimlazimu Mkuu wa Kituo kuongoza kikosi cha askari kilichokwenda kijiji cha Lwande kwa ajili ya kuwasaka waliohusika na mauaji hayo na ndipo lilipojitokeza kundi la watu wenye silaha na kuanzisha mapigano dhidi ya askari hao.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa polisi inaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo halisi cha vurugu hizo.

Kamanda Ndaki alisema kundi hilo lilianzisha vurugu baada ya kuona wenzao wamekamatwa na kukimbilia msituni na kwamba msako mkali unaendelea ili kuwatia nguvuni.

“Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Constatine Massawe, yupo eneo la tukio kwa ajili ya kuona hali halisi ilivyo na operesheni maalum ya kuwasaka watu hao imeanza kutekelezwa,” alisema Kamanda Ndaki.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo, Dk. Jumanne Karia, alisema majeruhi huyo, Mkuu wa Kituo cha Polisi alipokelewa hospitalini hapo juzi saa 10:30 usiku akitokea wilayani Kilindi.

Dk. Kariya alisema hali yake kwa sasa inaanza kuimarika na kwamba utaratibu wa kumwondoa risasi moja iliyopo tumboni unaendelea.

Tukio hilo limetokea Kilindi wakati kukiwa na taarifa za tukio linalofanana na hilo kutokea katika Wilaya ya Lushoto ambako Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani humo (OCCID), Ufoo Maanga, alicharangwa mapanga na wananchi baada ya askari kwenda kumkamata mtuhumiwa wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Viti, Kata ya Shume wilayani Lushoto.

NIPASHE

Utaona vurugu hizi ni kama ilivo tajwa katika habari hiii. LAKINI pia usome habari kama ilivomkariri juu polisi majeruhi ni kuwa baada ya vurugu zile za wafanya biashara walikwenda msikitini !!!!! kuwataka waumini wajisaliimishe...
tuseme ukweli polisi walivurunda na kukitia adabu kijiji kizima na wanawake na watoto ...na ili kuficha ouvu wao basi wakatangaza wanapambana na magaidi wapo msikitini na lashabaab.....
waislam ndio wamekua punching bag na kichaka cha uovu

lakini kuna masuala tujiulize kuhusu hili:

  • kwanini polisi walizuia waandishi kufika kule kujua kinachoendelea?
  • masheikh wa mJINI Tanga walipopata taarifa hizi walikutana na kutaka kwenda kujua kina cho jiri lakini hawakukubaliwa
  • sheikh chambuso na wenzake wanao kaa mjini Tanga walifika kuwaona majeruhi hospital kwa nini wakamatwe na kusingiziwa?
  • kwa nini waislam wa Tanga mjini kwa muda wa wiki mbili walikua wakizingirwa siku za ijumaa misikitini?
  • polisi walikua wanaficha nini?
kuna haja ya kuunda tume huru kulifanyia uchunguzi jambo hili....

Kwa hii Taarifa km ni kweli jinsi ilivyo kuna vitu vingi vya kuangalia hapa na Kwa pande zote!
(1) kukataa kulipa ushuru uliopangwa kisheria na mamlaka Kwa kusingizia dini Hilo tuliangalie!

(2)kumua mgambo aliekua anatekeleza majukumu yake nalo pia tuliangalie!

(3)kitendo Cha kuwatafuta watuhumiwa Wa mauaji ya mgambo ambao huenda Polisi walipata habari Kua huenda walijificha msikitini nalo pia la kuangalia!

(4)kujeruhiwa Kwa Askari Polisi Kwa risasi na Watu nalopia la kuangalia!

Kuna vitu vingi vya kuangalia ktk hili Labda tuombe Msaada Wa wanasheria kuja kutusaidia ktk hili!
Mimi Naona niishie hapa!
 
Kumbe mmepewa Nyenzo za kujikomboa,kwa nini hamzitumii?Lianzisheni ili mtutawale.Ila kumbukeni wenzenu akina AL QUIDA,BOKO HARAM,AL SHABAB,HEZBOLLAH n.k.wanataabika.
Mkuu makundi yanafadhiliwa na CIA! Waulize Wakenya watakueleza ukweli nani alivamia ile shopping mall ...Jaribu kufanya kauchunguzi kadogo badala ya kuaminishwa kila unachokiona na kusikia... AIPAC wanamiliki CNN, BBC, ABC, SKY NEWS AL JAZEERA na vyombo vingi vya habari. Kila taarifa unayoisikia lazima imekuwa-manipulated ... wanatulisha trash na kutu-project watakako...
 
yehova is nothing but a murderous pagan god,he was a cold blooded killer and it is all well documented in the bible.

unafahamu kilichomkuta Muhammad mara ya kwanza alipohubiri uislam Mecca?akakimbilia Medina na kujipanga na kurudi tena Mecca,wale ambao hawakukubaliana nae aliwafanya nini in the name of Allah?Unafahamu uislam uliangusha vipi Byzantine empire na most of northern Africa ilispread vipi hii dini?Ile vita ya Mecca kuwalazimisha waarabu wapagani waliosalia kujiunga na uislam tutakosea tukiita "cold blooded war" kwa kuzingatia tafsiri zako za mambo?sio wewe ambaye jana ulitoa link kuhusu Jihad Allah akiwaeleza waislam ku-slay oppressors na transgressors?si sharia za kiislam zinazotoa hukumu za kupiga watu mawe hadi kuwaua kwa makosa ya uzinzi,uuaji etc?sasa nikikuiga wewe na hii falsafa yako ya "cold blood" nitakosea kusema Allah ni mkatili kwa vile anaamrisha watu kuua wale wanaotumia uhuru wao kujichagulia njia zao wenyewe?mie nimeamua kufanya ngono na dadako nyie mnatupiga mawe hadi kufa kisa hatujaoana,hii sio cold blood(kwa mujibu wa tafsiri yako)?kama tukitafsiri mambo hivyo utakavyo elungata,hakuna Mungu atasimama si Yehova wa biblia wala Allah wa quran.Sikubaliani nawe tafsiri hiyo inaondoa mamlaka ya hukumu kwa Mungu kitu ambacho ni very dangerous kwa dini zote.Hallel(shetani) alianza hivi hivi kuhoji mamlaka ya Mungu katika kutiisha viumbe wake,akaachwa awe huru na kuasi.Leo hii tuko hapa tunaugua matendo ya kuuana,kuchomeana moto nyumba,kutumia madaraka vibaya kwa sababu ile ile ya kiumbe kutaka kuwa huru absolutely na kuutumia uhuru wake vile anavyojisikia hata kwa kuviolate uhuru wa kiumbe mwingine.Kama viumbe tupo wengi na kila mmoja anahitaji kutunzwa sawa na mwingine,then hakuna kitu kinaitwa absolute freedom zaidi ya limited freedom and that is what we call love,na kama kuna viumbe duniani then kuna muumbaji,who are you to question him on how he judge and manipulate his creation?after all ningependa ujue tu kuwa most of nations which Israel slaughtered were full of nephillim hybrids!that's why huko nyuma kwenye mjadala fulani niliwahi kukukatalia kuwa hawa wapalestina wa leo hawahusiani na wala sio biological descendants wa mataifa yaliyokaa palestina enzi hizo kama wafilisti.Anyway,mie naomba ufuate ushauri wa Ntuzu.Tuangalie mtiririko wa majadiliano ya Ntuzu na Bilal bin Rabah wote tujifunze kitu.Hata huyu mzee aliyeanzisha huu uzi huwa ana lugha za kistaarabu sana lakini watu wanaposhindwa kumwelewa hoja zake wanaishia kumtukana na wale wanaosapoti hoja zake hukashifu wale wanaopingana naye na hapo ndipo vurugu huanza mpaka mtoa mada kakaa kimya hajui aendelee vipi.Huwa tunaharibu mijadala mizuri kwa kuzipa nafasi hisia zetu badala ya akili zetu na kushindwa kujua approach nzuri kwenye mijadala ya aina hii.
 
Hii umeitoa wapi?

Lakini kibaya zaidi haieleweki

HiviWar maana yake nini?
Political violence ni kitu gani?

Nimekuuliza hayo maswali kwa kuwa umeweka hiyo kitu yako halafu umeandika kufuatia rangi za kwenye mduara wako kuwa "Killed by Christian" "Killed by Muslims"!

Inawezekanaje jambo liwe political halafu wakati huohuo liwe la kidini?

Umeshasahau mada? au hujaisoma post #1 ?
 
Malalamishi yameahaanza sasa.FUNZENI UPENDO NA KEMEENI UBAGUZI ILI ROHO MBAYA IONDOKE MIOYONI MWA HAO WANAOJIITA WANAHARAKATI WA KIISLAM.
 
Tofauti na wafuasi wa dini zingine waislaam wengi hua tayari kutetea lolote linalofanywa na watu chini ya bendera ya uislaam. Ni vigumu kukuta muislaam akiwapinga watu wa dini yake wenye harakati za kuvunja amani ya nchi eti tu kwa kuwa wamevaa kanzu/vilemba na kufuga midevu.
Si kweli kwamba ati waislamu tunatetea kila jambo hata ovu walifanyalo waislamu kisa tu ni wa imani yetu. Kinachowafanya nyinyi muone tunatetea ni kwakuwa sisi tunahoji sababu za waislamu kuingia katika vita au kuua hovyo wasiokuwa waislamu. Ndio haya tuyasemayo na aliyoyaleta mzee MS yaani propaganda. Waislamu wanaingia katika matendo ya ulipuaji na kuuwa hata watoto, wakinamama na wazee na hata wale ambao hawajahusika katika uovu waliofanyiwa waislamu kwakuwa imewabidi kufanya hivyo. Tizama uovu wanaofanyiwa watoto,wanawake na waislamu wote kwa ujumla pale Somalia na majeshi ya kigeni na yale yaliopo nchini mule ambao ni vibaraka wa Amerika na washirika wake. Hivi mtoto miaka mitano anayeshuhudia mzazi wake akiuliwa kikatili unadhani atakuwa na mentality gani? Je baadae nae akienda kuua ndugu za yule aliyemuua mzazi wake tukambandika jina la ugaidi ni sawa? Je mimi nikihoji au kuwa upande wake ndio nionekane mimi natetea uislamu?
 
unafahamu kilichomkuta Muhammad mara ya kwanza alipohubiri uislam Mecca?akakimbilia Medina na kujipanga na kurudi tena Mecca,wale ambao hawakukubaliana nae aliwafanya nini in the name of Allah?Unafahamu uislam uliangusha vipi Byzantine empire na most of northern Africa ilispread vipi hii dini?Ile vita ya Mecca kuwalazimisha waarabu wapagani waliosalia kujiunga na uislam tutakosea tukiita "cold blooded war" kwa kuzingatia tafsiri zako za mambo?sio wewe ambaye jana ulitoa link kuhusu Jihad Allah akiwaeleza waislam ku-slay oppressors na transgressors?si sharia za kiislam zinazotoa hukumu za kupiga watu mawe hadi kuwaua kwa makosa ya uzinzi,uuaji etc?sasa nikikuiga wewe na hii falsafa yako ya "cold blood" nitakosea kusema Allah ni mkatili kwa vile anaamrisha watu kuua wale wanaotumia uhuru wao kujichagulia njia zao wenyewe?mie nimeamua kufanya ngono na dadako nyie mnatupiga mawe hadi kufa kisa hatujaoana,hii sio cold blood(kwa mujibu wa tafsiri yako)?kama tukitafsiri mambo hivyo utakavyo elungata,hakuna Mungu atasimama si Yehova wa biblia wala Allah wa quran.Sikubaliani nawe tafsiri hiyo inaondoa mamlaka ya hukumu kwa Mungu kitu ambacho ni very dangerous kwa dini zote.Hallel(shetani) alianza hivi hivi kuhoji mamlaka ya Mungu katika kutiisha viumbe wake,akaachwa awe huru na kuasi.Leo hii tuko hapa tunaugua matendo ya kuuana,kuchomeana moto nyumba,kutumia madaraka vibaya kwa sababu ile ile ya kiumbe kutaka kuwa huru absolutely na kuutumia uhuru wake vile anavyojisikia hata kwa kuviolate uhuru wa kiumbe mwingine.Kama viumbe tupo wengi na kila mmoja anahitaji kutunzwa sawa na mwingine,then hakuna kitu kinaitwa absolute freedom zaidi ya limited freedom and that is what we call love,na kama kuna viumbe duniani then kuna muumbaji,who are you to question him on how he judge and manipulate his creation?after all ningependa ujue tu kuwa most of nations which Israel slaughtered were full of nephillim hybrids!that's why huko nyuma kwenye mjadala fulani niliwahi kukukatalia kuwa hawa wapalestina wa leo hawahusiani na wala sio biological descendants wa mataifa yaliyokaa palestina enzi hizo kama wafilisti.Anyway,mie naomba ufuate ushauri wa Ntuzu.Tuangalie mtiririko wa majadiliano ya Ntuzu na Bilal bin Rabah wote tujifunze kitu.Hata huyu mzee aliyeanzisha huu uzi huwa ana lugha za kistaarabu sana lakini watu wanaposhindwa kumwelewa hoja zake wanaishia kumtukana na wale wanaosapoti hoja zake hukashifu wale wanaopingana naye na hapo ndipo vurugu huanza mpaka mtoa mada kakaa kimya hajui aendelee vipi.Huwa tunaharibu mijadala mizuri kwa kuzipa nafasi hisia zetu badala ya akili zetu na kushindwa kujua approach nzuri kwenye mijadala ya aina hii.

Mkuu thx Kwa hoja zako Nzuri!
Unajua Jana nilivyofatilia zile links za Mkuu Elungata zilinichanganya Na sikuweza kutoa hoja yeyote ktk Hilo! Maana nasubiri vitu halisi Kutoka Kwa ndugu Bilal bin Rabah na Maalim CHAMVIGA na Kwa Muislam yeyote Yule atakae jisikia kutuelimisha juu ya maswali tuliyouliza!

Mkuu shida iliyopo ni dharau ktk pande zote mbili Kwa wakrsto na Kwa waislam kila upande ukiona wenyewe bora na Kua wengine Hawajui kitu! Na ndio maana unaono mivutano namna hii!

Mkuu mmoja ameleta Taarifa ya gazeti la Nipashe nazani hii itasaidia kuweka sawa hili Jambo na pia Mzee Mohamed Said usipotee sn ktk mjadala huu Kwani Tunaitaji mchango wako Wa mawazo sn!

Turudi kwenye mada!

Asante!
 
Ushenzi kama huu wakifanyiwa Waislam huwa hakuna tatizo, sasa hivi ukitaka kuwapiga Waislam wewe weka tag ya ugaidi unaruhusiwa hata kuwaua.

Cha kusikitisha Rais ni mwislamu mwenzetu Alhaji Kikwete.

Haya makristo kweli kiboko.
 
Swala hapa kama hiyo ilikua ni uhalifu kwanini wakauita ni ugaidi na kwanini waka initiate collective punishment kwa raia na kuchoma moto nyumba?.
Kwanini wakazuia waandishi wa habari kuingia na kucover matukio?
 
unafahamu kilichomkuta Muhammad mara ya kwanza alipohubiri uislam Mecca?akakimbilia Medina na kujipanga na kurudi tena Mecca,wale ambao hawakukubaliana nae aliwafanya nini in the name of Allah?Unafahamu uislam uliangusha vipi Byzantine empire na most of northern Africa ilispread vipi hii dini?Ile vita ya Mecca kuwalazimisha waarabu wapagani waliosalia kujiunga na uislam tutakosea tukiita "cold blooded war" kwa kuzingatia tafsiri zako za mambo?sio wewe ambaye jana ulitoa link kuhusu Jihad Allah akiwaeleza waislam ku-slay oppressors na transgressors?si sharia za kiislam zinazotoa hukumu za kupiga watu mawe hadi kuwaua kwa makosa ya uzinzi,uuaji etc?sasa nikikuiga wewe na hii falsafa yako ya "cold blood" nitakosea kusema Allah ni mkatili kwa vile anaamrisha watu kuua wale wanaotumia uhuru wao kujichagulia njia zao wenyewe?mie nimeamua kufanya ngono na dadako nyie mnatupiga mawe hadi kufa kisa hatujaoana,hii sio cold blood(kwa mujibu wa tafsiri yako)?kama tukitafsiri mambo hivyo utakavyo elungata,hakuna Mungu atasimama si Yehova wa biblia wala Allah wa quran.Sikubaliani nawe tafsiri hiyo inaondoa mamlaka ya hukumu kwa Mungu kitu ambacho ni very dangerous kwa dini zote.Hallel(shetani) alianza hivi hivi kuhoji mamlaka ya Mungu katika kutiisha viumbe wake,akaachwa awe huru na kuasi.Leo hii tuko hapa tunaugua matendo ya kuuana,kuchomeana moto nyumba,kutumia madaraka vibaya kwa sababu ile ile ya kiumbe kutaka kuwa huru absolutely na kuutumia uhuru wake vile anavyojisikia hata kwa kuviolate uhuru wa kiumbe mwingine.Kama viumbe tupo wengi na kila mmoja anahitaji kutunzwa sawa na mwingine,then hakuna kitu kinaitwa absolute freedom zaidi ya limited freedom and that is what we call love,na kama kuna viumbe duniani then kuna muumbaji,who are you to question him on how he judge and manipulate his creation?after all ningependa ujue tu kuwa most of nations which Israel slaughtered were full of nephillim hybrids!that's why huko nyuma kwenye mjadala fulani niliwahi kukukatalia kuwa hawa wapalestina wa leo hawahusiani na wala sio biological descendants wa mataifa yaliyokaa palestina enzi hizo kama wafilisti.Anyway,mie naomba ufuate ushauri wa Ntuzu.Tuangalie mtiririko wa majadiliano ya Ntuzu na Bilal bin Rabah wote tujifunze kitu.Hata huyu mzee aliyeanzisha huu uzi huwa ana lugha za kistaarabu sana lakini watu wanaposhindwa kumwelewa hoja zake wanaishia kumtukana na wale wanaosapoti hoja zake hukashifu wale wanaopingana naye na hapo ndipo vurugu huanza mpaka mtoa mada kakaa kimya hajui aendelee vipi.Huwa tunaharibu mijadala mizuri kwa kuzipa nafasi hisia zetu badala ya akili zetu na kushindwa kujua approach nzuri kwenye mijadala ya aina hii.
Mhe. Heri ya sikukuu, Mbona umekuja na kashfa na kupayuka maneno yasiyo na ukweli..ilimradi ukejeli imani za wenzio, Sasa jifunze machache tu:-

"The only real wisdom is knowing you know nothing" Socrates

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammad and requested his protection.

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammed and requested his protection.
He responded by granting them a charter of rights, which I reproduce below in its entirety. St. Catherine's Monastery is located at the foot of Mt. Sinai and is the world's oldest monastery.

It possesses a huge collection of Christian manuscripts, second only to the Vatican, and is a world heritage site. It also boasts the oldest collection of Christian icons. It is a treasure house of Christian history that has remained safe for 1400 years under Muslim protection.

The Promise to St. Catherine:

"This is a message from Muhammad ibn Abdullah, as a covenant to those who adopt Christianity, near and far, we are with them.

Verily I, the servants, the helpers, and my followers defend them, because Christians are my citizens; and by God! I hold out against anything that displeases them.

No compulsion is to be on them. Neither are their judges to be removed from their jobs nor their monks from their monasteries. No one is to destroy a house of their religion, to damage it, or to carry anything from it to the Muslims' houses.

Should anyone take any of these, he would spoil God's covenant and disobey His Prophet. Verily, they are my allies and have my secure charter against all that they hate.

No one is to force them to travel or to oblige them to fight. The Muslims are to fight for them. If a female Christian is married to a Muslim, it is not to take place without her approval. She is not to be prevented from visiting her church to pray. Their churches are to be respected. They are neither to be prevented from repairing them nor the sacredness of their covenants.

No one of the nation (Muslims) is to disobey the covenant till the Last Day (end of the world).
"
 
Swala hapa kama hiyo ilikua ni uhalifu kwanini wakauita ni ugaidi na kwanini waka initiate collective punishment kwa raia na kuchoma moto nyumba?.
Kwanini wakazuia waandishi wa habari kuingia na kucover matukio?

Mkuu Hebu pitia Taarifa ya gazeti ya Nipashe aliyoleta Mkuu Bopwa then uitolee maoni yako Alafu tutakuja kufika na ktk haya maswali unayouliza!
 
Tofauti na wafuasi wa dini zingine waislaam wengi hua tayari kutetea lolote linalofanywa na watu chini ya bendera ya uislaam. Ni vigumu kukuta muislaam akiwapinga watu wa dini yake wenye harakati za kuvunja amani ya nchi eti tu kwa kuwa wamevaa kanzu/vilemba na kufuga midevu.
Samahani mkuu usemalo ni UONGOOO!...

"The only real wisdom is knowing you know nothing" Socrates

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammad and requested his protection.

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammed and requested his protection.
He responded by granting them a charter of rights, which I reproduce below in its entirety. St. Catherine's Monastery is located at the foot of Mt. Sinai and is the world's oldest monastery.

It possesses a huge collection of Christian manuscripts, second only to the Vatican, and is a world heritage site. It also boasts the oldest collection of Christian icons. It is a treasure house of Christian history that has remained safe for 1400 years under Muslim protection.

The Promise to St. Catherine:

"This is a message from Muhammad ibn Abdullah, as a covenant to those who adopt Christianity, near and far, we are with them.

Verily I, the servants, the helpers, and my followers defend them, because Christians are my citizens; and by God! I hold out against anything that displeases them.

No compulsion is to be on them. Neither are their judges to be removed from their jobs nor their monks from their monasteries. No one is to destroy a house of their religion, to damage it, or to carry anything from it to the Muslims' houses.

Should anyone take any of these, he would spoil God's covenant and disobey His Prophet. Verily, they are my allies and have my secure charter against all that they hate.

No one is to force them to travel or to oblige them to fight. The Muslims are to fight for them. If a female Christian is married to a Muslim, it is not to take place without her approval. She is not to be prevented from visiting her church to pray. Their churches are to be respected. They are neither to be prevented from repairing them nor the sacredness of their covenants.

No one of the nation (Muslims) is to disobey the covenant till the Last Day (end of the world).
"
 
Muisilamu na MuUmini wa kweli huthamini uhai wa binaAdamu wote na viumbe vyote na kuheshimu MANKIND..... japo kuwa zipo proparganda za kupakiziana.
 
Uislamu Unasemaje Juu ya Ugaidi?

Uislamu, Dini ya rehma, hauruhusu ugaidi. Katika Qur-aan, Mwenyezi Mungu Amesema: "Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu Huwapenda wafanyao uadilifu." (Qur-aan, 60:8)

Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwakataza askari dhidi ya kuwaua wanawake na watoto,[90]na alikuwa akiwashauri: ((...Msisaliti, msizidishe sana, msimwue mtoto mchanga.))"[91]

Alisema pia: ((Mwenye kumuua mtu aliye katika mkataba na Waislamu, hataipata harufu ya Peponi, ingawa harufu yake hupatikana mpaka katika umbali wa mwendo wa miaka arubaini.))[92]

Kadhalika, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kutoa adhabu ya moto.[93]

Kuna wakati aliorodhesha dhambi ya kuua kuwa ya pili miongoni mwa madhambi makubwa,[94]
hata akatahadharisha hilo juu ya Siku ya Hukumu, ((Kesi za mwanzo kuhukumiwa baina ya watu ka tika Siku ya Hukumu zitakuwa ni zile za umwagaji damu.95))[96]

Waislamu huhimizwa hata kuwa wakarimu kwa wanyama na wamekatazwa kuwadhuru. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alisema siku moja: ((Mwanamke aliadhibiwa kwa sababu alimweka paka kifungoni mpaka akafa. Kwa minajili hii, aliangamiziwa Motoni. Wakati alipomweka kifungoni, hakumpatia paka chakula wala kinywaji, wala hakumwacha huru ale wadudu wa ardhini.)) [97]

Pia alisema kuwa kuna mtu alimpatia kinywaji mbwa aliyekuwa na kiu kikali, hivyo Mwenyezi Mungu Alimsamehe madhambi yake, kwa kitendo hiki. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliulizwa: "Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu! Je, sisi hulipwa kutokana na ukarimu wetu kwa wanyama?" Alijibu: ((Kuna malipo kwa ukarimu kwa kila mnyama hai au mwanaadamu.)) [98]

Zaidi ya hayo, wakati wa kuchinja mnyama kwa ajili ya chakula, Waislamu wameamrishwa kufanya hivyo katika namna inayopelekea hofu ndogo na mateso madogo sana kwa mnyama, kadiri itakavyowezekana. Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Mnapomchinja mnyama, fanyeni katika njia iliyo bora zaidi. Mchinjaji akinoe kisu chake kwa ajili ya kupunguza mateso ya mnyama.))[99]

Kutokana na mwangaza wa haya na mafundisho mengine ya Kiislamu, kitendo cha kuchochea khofu katika nyoyo za raia wasio na ulinzi, uharibifu wa majengo na mali, ulipuaji mabomu na kuwalemaza wanaume, wanawake na watoto wasio na hatia, yote haya yamekatazwa, tena ni matendo ya kuchukiza kwa mujibu wa Uislamu na Waislamu. Waislamu wanaifuata Dini ya amani, huruma na msamaha, na wengi hawahusiani na matukio ya vurugu ambayo baadhi yamehusishwa na Waislamu. Ikiwa Muislamu mmojawapo atajihusisha na kitendo cha kigaidi, mtu huyo atakuwa katika hatia ya kukiuka sheria za Uislamu.
[90]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1744, na Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 3015
[91]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1731, na At-Tirmidhiy, Na, 1408
[92]Imeandikwa katika Swahiyh Al-Bukhaariy, Na. 3166, na Ibn Majah, Na. 2686
[93]Iko ndani ya Abu Daawuud, Na. 2675
[94]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 6871, na Swahiyh Muslim Na. 88
[95]Hii inamaanisha kuua na kujeruhi
[96]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1678, na Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 6533
[97]Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 2422, na Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 2365
[98]Hadiyth hii ya Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) imeelezwa kwa kirefu hapo nyuma. Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 2244, na Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 2466
[99]Imeandikwa katika Swahiyh Muslim, Na. 1955 na At-Tirmidhiy, Na. 1409
 
Mhe. Heri ya sikukuu, Mbona umekuja na kashfa na kupayuka maneno yasiyo na ukweli..ilimradi ukejeli imani za wenzio, Sasa jifunze machache tu:-

"The only real wisdom is knowing you know nothing" Socrates

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammad and requested his protection.

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammed and requested his protection.
He responded by granting them a charter of rights, which I reproduce below in its entirety. St. Catherine's Monastery is located at the foot of Mt. Sinai and is the world's oldest monastery.

It possesses a huge collection of Christian manuscripts, second only to the Vatican, and is a world heritage site. It also boasts the oldest collection of Christian icons. It is a treasure house of Christian history that has remained safe for 1400 years under Muslim protection.

The Promise to St. Catherine:

"This is a message from Muhammad ibn Abdullah, as a covenant to those who adopt Christianity, near and far, we are with them.

Verily I, the servants, the helpers, and my followers defend them, because Christians are my citizens; and by God! I hold out against anything that displeases them.

No compulsion is to be on them. Neither are their judges to be removed from their jobs nor their monks from their monasteries. No one is to destroy a house of their religion, to damage it, or to carry anything from it to the Muslims' houses.

Should anyone take any of these, he would spoil God's covenant and disobey His Prophet. Verily, they are my allies and have my secure charter against all that they hate.

No one is to force them to travel or to oblige them to fight. The Muslims are to fight for them. If a female Christian is married to a Muslim, it is not to take place without her approval. She is not to be prevented from visiting her church to pray. Their churches are to be respected. They are neither to be prevented from repairing them nor the sacredness of their covenants.

No one of the nation (Muslims) is to disobey the covenant till the Last Day (end of the world).
"

They were commmanded not to harm the grass of the earth, or any green thing, or any tree, but only those men who do not have the seal of God on their foreheads!
Revelation 9:4

Mkuu Ebu linganisha hayo ulioandika na Hili andiko ndani ya Biblia! Hiyo ufunuo 9:1-12 Ina Unabii mzuri ambao Naona unashabiliana na Hicho ulichoandika!

Sasa maswali ya kujiuliza hapa ni nini maana ya nyasi na miti ya kijani na Muhuri Wa Mungu ni upi? Na kina nani Hao waliopewa amri?

Natamani kuongea juu ya hapa lkn Nahisi ntakwenda nje ya mada!
 
Mhe. Heri ya sikukuu, Mbona umekuja na kashfa na kupayuka maneno yasiyo na ukweli..ilimradi ukejeli imani za wenzio, Sasa jifunze machache tu:-

"The only real wisdom is knowing you know nothing" Socrates

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammad and requested his protection.

In 628 CE, a delegation from St. Catherine's Monastery came to Prophet Muhammed and requested his protection.
He responded by granting them a charter of rights, which I reproduce below in its entirety. St. Catherine's Monastery is located at the foot of Mt. Sinai and is the world's oldest monastery.

It possesses a huge collection of Christian manuscripts, second only to the Vatican, and is a world heritage site. It also boasts the oldest collection of Christian icons. It is a treasure house of Christian history that has remained safe for 1400 years under Muslim protection.

The Promise to St. Catherine:

"This is a message from Muhammad ibn Abdullah, as a covenant to those who adopt Christianity, near and far, we are with them.

Verily I, the servants, the helpers, and my followers defend them, because Christians are my citizens; and by God! I hold out against anything that displeases them.

No compulsion is to be on them. Neither are their judges to be removed from their jobs nor their monks from their monasteries. No one is to destroy a house of their religion, to damage it, or to carry anything from it to the Muslims' houses.

Should anyone take any of these, he would spoil God's covenant and disobey His Prophet. Verily, they are my allies and have my secure charter against all that they hate.

No one is to force them to travel or to oblige them to fight. The Muslims are to fight for them. If a female Christian is married to a Muslim, it is not to take place without her approval. She is not to be prevented from visiting her church to pray. Their churches are to be respected. They are neither to be prevented from repairing them nor the sacredness of their covenants.

No one of the nation (Muslims) is to disobey the covenant till the Last Day (end of the world).
"

mh!mkuu hebu fuatilia mtiririko wa post zangu uelewe kama mie na wewe tunapingana au tuko pamoja.Jaribu kufuatilia kile mtu anachosema na kuelewa.Nadhani huu ushauri ulipaswa kumpa elungata tena nashukuru atakuwa kashausoma.Umenisaidia sana aisee.
 
Umeshasahau mada? au hujaisoma post #1 ?

Hebu soma context ya swali ndugu
Nilichokuuliza nimekuuliza kutokana na ulichokiweka hapa

Angalia maelezo yangu yote kisha usome swali na ulielewwe!!!!
 
Naona mjadala umerudi mahala ulipopaswa sasa na sie wengine tusiopenda harsh language tunaweza kurudi jamvini .Shukrani kwako Ntuzu na huyu bwana anaitwa bin Rabah mmefanya kazi kubwa sana.Hapo juu ndugu yangu Ntuzu umenikumbusha swali langu mwanzoni kabisa nilimuuliza mzee Said naona anakula krismasi maana hajanijibu(natania tu),sasa sijui kama ndugu yetu bin Rabah na waislam wengineo humu mnaweza kutujibu mie na Ntuzu?Ntuzu ameuliza kama kuna harakati za kujitetea kwa kutumia nguvu zinazoruhusiwa na quran,bin Rabah ukamjibu vizuri tu kwamba zipo lakini kuna vigezo vya kuanzisha harakati hizo ili ziwe halali kwa mujibu wa quran,akauliza tena Ntuzu,akitaka umtajie hivyo vigezo,ndio na mie nakumbushia swali langu kwa mzee Said ambalo bin Rabah naomba uliongezee hapo kwenye swali la Ntuzu,nalo ni hili kwa kifupi,kuna fundisho lolote katika uislam linalomtaka muislam kuutangaza uislam wake kwa maneno na matendo ili upate kujulikana kwa usahihi kwa watu wote hata wale wasio waislam?kama lipo,je,waislam mnafanya nini ili kuhakikisha watu wanatofautisha uislam wa kweli na ule "wa kusingiziwa"?naongezea pia,tunawezaje kutofautisha harakati za haki za waislam na harakati za magaidi wanaotumia jina la uislam kufikia malengo yao mengine?hili ni tatizo kubwa sana ambalo linaukumba hata ukristo nyie wenyewe mnaona watu ni maaskofu wakubwa duniani lakini wanalawiti watoto,makanisa yanaruhusu ndoa za kishoga,hawa akina Cameron ni wakristo waanglikana wanakwenda kanisani na bado wanamwambia maskini wa kiafrika kwamba "hatukupi msaada hadi ukubali kuparamiana",na hii ni sera ya serikali zinazojinasibisha kuwa za kikristo,je biblia inaruhusu hayo?sasa mtu asiye mkristo tunamweleza nini ili atofautishe harakati za ukristo wa kweli na ule "wa kusingiziwa"?unaona hapo?si ndio hili tatizo hata kwa uislam pia isipokuwa tu huku ushoga kule ugaidi?tunazisafisha vipi dini zetu sisi wenyewe kwanza kabla ya wengine kutuambia la kufanya?sijui nimeeleweka?

Saafi sana.
Inafurahisha kukuta watu wenye akili na busara wakiweka jazba na ushabiki pembeni, wanabishana!
I love this. Tupasheni waungwana!
 
Mkuu CHAMVIGA Na Mohamedi Said km unakumbuka tangu hapo nyuma nilikua naepuka sn kuchangia juu ya tukio lilitokea huko Tanga Kwani nilihisi kuweza kukosea ktk kutoa maoni Yangu!

Sasa Mkuu Bopwa ameleta Taarifa ya Gazeti la Nipashe yenye habari Hiyo!

Nilichokua napendekeza Tujaribu kuiangalia hivyo ilivyo na Kwa uwezo wetu Mdogo Wa sheria tuone Hiyo dhuluma dhidi ya uislam! Na hayo mambo mengine km ugaidi etc!

Na pia msisahau kutolea majibu Yale tuliyouliza Kuhusu mafungu ndani ya Quraan yenye kufundisha kupigana mpk pale fitna imekwisha na kupambana kutetea haki ata km ni Kwa kuua!

Back
Top Bottom