Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Mkuu Kahtaan,
Naelewa ndugu CHAMVIGA na Bilal bin Rabah wametingwa na majukumu ya kila siku! Kuna Maswali niliuliza hapo nyuma pamoja na ndugu Juve2012 Km utaweza kutujibu tusaidie au Km hutoweza tuendelee kua na subira mpaka pale Bilal bin Rabah au CHAMVIGA watakapopata nafasi!
Thx!