Kweli Ukikua Utaacha.....

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
 
Hiyo huwa inatokea sana mkuu: Tatizo kubwa ni kupata hela katika umri mdogo aisee!
Kwanza ukitoka kazini unajifikiria mara mbili-mbili hivi unarudi nyumbani kufanya nini ???
Hapo unajikuta una kauvivu kakupika ndiyo kabisaaaaa! Unaweza jikuta unatumia hela nyingi sana kwa wiki kwenye ujinga!

Ila ukishaoa hii yote huisha yenyewe.
Unajikuta unarudi saa kumi na mbili kamili za jioni na unatunza sana hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…