RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!