MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Katikati ya nyumba na nyumba nimeweka paa..kitu na box! Huku lazima uwe mbunifu...
Tutazitaka hela zetu n?
Hamna mkuu....mimi wananiita M-Sure nipo nao karibu, nachangia kwenye mechi zaowananikubali sana.Kama unafanya hivyo basi ni lazima unalala kwenye gari wewe!
Watoto wa kule hawachelewi kugeuza gari lako chuma chakavu.
Kibaya zaidi wakikuona unamiliki mkoko ndiyo watakupiga kabari kabisa!
Duh..sihitaji yeyote kati yao hao...
Ndio maana sihitaji wa mbali...hapa jirani wakisikia tu nimefungua mlango wanaanza kupita pita mara waombe chupa za maji ya Kilimanjaro kifupi ni kushika mkono na kuingia ndani!AAisee huku sitokiTeh teh!
Huahitaji wakati huko Mtogoleni ndiyo chimbo zao ???
πππ
Hamna mkuu....mimi wananiita M-Sure nipo nao karibu, nachangia kwenye mechi zaowananikubali sana.
Ndio maana sihitaji wa mbali...hapa jirani wakisikia tu nimefungua mlango wanaanza kupita pita mara waombe chupa za maji ya Kilimanjaro kifupi ni kushika mkono na kuingia ndani!AAisee huku sitoki
Mfano ww una nini ufanyiziwe??Uswazi kuna wivu sana ,ukionekana umewashinda kitu ni lazima wakufanyizie!
Ukiwa mtu wao hawakusumbui...hudhuria misiba,mtoto kuchezwa,vigodoro hapo lazima wakukubali...
Kamanda unataka ukavamie hadi kwenye 300,000/=?Unaishi mtaa gani tuje
Mfano ww una nini ufanyiziwe??
Hela ya bundle unakula ganji hela uliyotumwa sokoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umejiroga dogo[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah shalamba BAN kudadeeki.
Hii ndiyo inatakiwa kwa akili kama zako.
Na Aspirin anaalikwa?Jirani pitia kesho for lunch ukitoka church..