Kweli Ukikua Utaacha.....

Apo nimekuonyesha view ya nilipo dogo

Sijakuonyesha B.O.T ninayotumia[emoji13] [emoji13] na mtindizz unaonicheezea sharub

Mwambie mwenzako apige picha hiyo 300k tuone kama hajajinyea hapa[emoji90] [emoji16] [emoji13] [emoji13]
Dogo ukikua utaacha...
 
Apo nimekuonyesha view ya nilipo dogo

Sijakuonyesha B.O.T ninayotumia[emoji13] [emoji13] na mtindizz unaonicheezea sharub

Mwambie mwenzako apige picha hiyo 300k tuone kama hajajinyea hapa[emoji90] [emoji16] [emoji13] [emoji13]

Wacha maneno weka picha tuone basi!
😀😀😀😀😀
 
Story za humu mnanikuza.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ha ha ha ha ha miduara haijawahi kumuacha mtu salama! Umenikumbusha mbali sana kuna mtu alinifanyia fujo kwenye mduara balaa! Halafu ilijuwa house party...

Hahaha nikupe story,
Nakumbuka wakati niko chuo kulikuwa na hizi house party kwa sana!
Sasa kuna siku nikajichanganya nikaenda kwenye kisherehe cha demu anaitwa Nonkhlaklha ni Mndebele wa Botswana.

Mzuri balaaaaaaaaaaaaa! Ile nimetimba kumbe huwa wanafanya sherehe za kimila bwana, mlikuwa na Wasouth, Lesotho, Waswazi, jamaa wanaendana sana. Ile night kali imeendelea na pombe kichwani wakaanza kucheza bwana, kumbe mizkuka ikiwapanda huwa wanavua Top zao na Bra zote wanabaki watupu kama ilivyo kwa King-Mswati,.......Daaah siku ile jamani walibaki na vichupi tu,....wenyewe wanaona kawaida.....Wana wengine MIPIRITI inataka kuchana suruali... ahahahahahahahaaaa

Ile Sinema ya Mswati niliona live bwana bila chenga!
 
House parties balaa...tulikuwa tunafanya almost everyweekend,siku hio wakaalikwa watoto wageni wakali balaa. Mduara ukaanza hio mida mibovu tisa tisa usiku, mimi nimekaa kwenye sofa sitaki kuingia dimbani!
Basi kwenye wale wageni mmoja wapo kavaa kipenzi linen white very tight figure kama Kim K akachomoka kwenye mstari akaja kunikalia akaanza kukatika! Aisee nilienda winga.....
 

Hahahahaha, umeona sasa ???
Mimi Parties ndiyo maana huwa sizipendagi kabisa!
Kuna sista moja alilewa akafanya hivyo na njemba moja lihaya na kibaya ni mke wa mtu sasa video wana wakarekodi.
Ile video kama ingevuja ndiyo ungekuwa mwisho wa ile ndoa.....
I don't do parties.....I just sleep at home....
 
Mara moja moja sio mbaya
 
Hahahaha, unadhani huwa siendi ???
Lakini siyo sehemu extreme kama zile za vigodoro na miduara bwana!
Wale wanaweza kukuletea ngwengwe tu....
Ha ha ha zile ni sehemu hatarishi...nilikuwa na rafiki yangu mmoja kakulia Canada alikuwa ananisumbua kweli twende uswazi...! Anakwambia huko watu ndio wako real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…