Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mmmmmh!! Basi usioe. Ukaege hivyo hivyo. Sio lazima you know!!Sawa dada nimekusikia...ila nahisi nikioa nitaanza ku-stay out late...dont ask me why
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh!! Basi usioe. Ukaege hivyo hivyo. Sio lazima you know!!Sawa dada nimekusikia...ila nahisi nikioa nitaanza ku-stay out late...dont ask me why
Dogo ukikua utaacha...Apo nimekuonyesha view ya nilipo dogo
Sijakuonyesha B.O.T ninayotumia[emoji13] [emoji13] na mtindizz unaonicheezea sharub
Mwambie mwenzako apige picha hiyo 300k tuone kama hajajinyea hapa[emoji90] [emoji16] [emoji13] [emoji13]
Ni kweli kabisa, sasa una mpango gani?Kuna umri ukifika kunakuwa hamna jipya. Hii haihusu walioruka stages....
Apo nimekuonyesha view ya nilipo dogo
Sijakuonyesha B.O.T ninayotumia[emoji13] [emoji13] na mtindizz unaonicheezea sharub
Mwambie mwenzako apige picha hiyo 300k tuone kama hajajinyea hapa[emoji90] [emoji16] [emoji13] [emoji13]
Cha kukujutisha!! Nimefurahi kuona kaka yangu amekua. Ila huu usiku wa manane unafanya nini humu?Mweeeh najutaaaaaaa kuandika hivi!
Ha ha ha ha ha miduara haijawahi kumuacha mtu salama! Umenikumbusha mbali sana kuna mtu alinifanyia fujo kwenye mduara balaa! Halafu ilijuwa house party...
Cha kukujutisha!! Nimefurahi kuona kaka yangu amekua. Ila huu usiku wa manane unafanya nini humu?
House parties balaa...tulikuwa tunafanya almost everyweekend,siku hio wakaalikwa watoto wageni wakali balaa. Mduara ukaanza hio mida mibovu tisa tisa usiku, mimi nimekaa kwenye sofa sitaki kuingia dimbani!Hahaha nikupe story,
Nakumbuka wakati niko chuo kulikuwa na hizi house party kwa sana!
Sasa kuna siku nikajichanganya nikaenda kwenye kisherehe cha demu anaitwa Nonkhlaklha ni Mndebele wa Botswana.
Mzuri balaaaaaaaaaaaaa! Ile nimetimba kumbe huwa wanafanya sherehe za kimila bwana, mlikuwa na Wasouth, Lesotho, Waswazi, jamaa wanaendana sana. Ile night kali imeendelea na pombe kichwani wakaanza kucheza bwana, kumbe mizkuka ikiwapanda huwa wanavua Top zao na Bra zote wanabaki watupu kama ilivyo kwa King-Mswati,.......Daaah siku ile jamani walibaki na vichupi tu,....wenyewe wanaona kawaida.....Wana wengine MIPIRITI inataka kuchana suruali... ahahahahahahahaaaa
Ile Sinema ya Mswati niliona live bwana bila chenga!
Story za humu mnanikuza.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahahaaaa!! Mimi dada yako hivyo sio mbaya.Duh una maswali kama mama yangu mdogo..
Wifi yuko wapi na yule cha pombe mwenzio?Mimi ndiyo mida yangu hii......
House parties balaa...tulikuwa tunafanya almost everyweekend,siku hio wakaalikwa watoto wageni wakali balaa. Mduara ukaanza hio mida mibovu tisa tisa usiku, mimi nimekaa kwenye sofa sitaki kuingia dimbani!
Basi kwenye wale wageni mmoja wapo kavaa kipenzi linen white very tight figure kama Kim K akachomoka kwenye mstari akaja kunikalia akaanza kukatika! Aisee nilienda winga.....
Mara moja moja sio mbayaHahahahaha, umeona sasa ???
Mimi Parties ndiyo maana huwa sizipendagi kabisa!
Kuna sista moja alilewa akafanya hivyo na njemba moja lihaya na kibaya ni mke wa mtu sasa video wana wakarekodi.
Ile video kama ingevuja ndiyo ungekuwa mwisho wa ile ndoa.....
I don't do parties.....I just sleep at home....
Wifi yuko wapi na yule cha pombe mwenzio?
Mara moja moja sio mbaya
Ha ha ha zile ni sehemu hatarishi...nilikuwa na rafiki yangu mmoja kakulia Canada alikuwa ananisumbua kweli twende uswazi...! Anakwambia huko watu ndio wako realHahahaha, unadhani huwa siendi ???
Lakini siyo sehemu extreme kama zile za vigodoro na miduara bwana!
Wale wanaweza kukuletea ngwengwe tu....