Kweli umalaya ni gharama

Kweli umalaya ni gharama

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,415
Hebu tuongee ""in minimalist ways......""

Unakutana na mtoto mzuri ana D tatu, Toto jeupeee, miguu ya bia Kifupi TOTO LIMEUMBIKA.

Kichwa cha chini kinakuongoza na unaona uombe namba.
Siku zinapita unaomba game...

Unapewa chance ya kuchakata from morning until night.
Hakuna kulala, kila mtu akalale kwake.
Na playing ground isiwe kwako au kwake.

Sasa hebu cheki hii bajeti japo ""in minimalist way"

1. Guest room = 15,000/=
2. Nauli ya kumleta na kumrudisha = 20,000/=
3. Chakula whole day = 30,000/=
4. Asante kwa game = 30,000/=
5. Other Sunk Cost..!! = 20,000/=
TOTAL = 115,000/=

Yaani mwamba umetumia laki na ushee sababu ya mbunye tu??
Yaani unaamka asubuhi kufika usiku unarudi ghetto kulala umechoma laki na ushee kise eti mbunyee tu.
Hii nyama tu ambayo hata ukipewa uondoki nayo...!!!!

Point sio kwamba sijui pesa ndogo tuu, au sijui kula ujana ila point ni
"HIVI KWELI HIZI MBUNYE ZINA LINGANA NA HIZI PESA TUNAZOCHOMA?"
Mbona pesa nyingi na service yenyewe ni "KUTOA MATE TU MAZITO BASI?"

Mabaharia hata kama unahonga buku hebu jaribu ku SAVE hela zotee unazohonga kwa mwaka kwenye financial institution yoyote halafu mwisho wa mwaka nenda bank kacheki THE SAVED AMOUNT, yaani unaweza nunua hata BOEING...!!

kuna mwaka nilifanya hivyo nikakuta BONUS AACCOUNT (saved amount) ina nunua ofisi ya HAZINA YA serikali ya CCM..!!!

Ila tatizo sasa usipohonga na ukiwa bahiri ""NANI ATAKUPA MBUNYE MJINI HAPA?"

Hapa ndipo linapokuja swala la OPPORTUNITY COST.

Hongereni sana madada woteee ambao tunashare nao cost tukienda kufanyana.

HIVI NI KWELI...
Kwamba first figure ka Huck simu ya mchepuko akakuta mnyia wa Mbozi ambae alimteua yeye ana kula vyombo?
Jamaa kwa hasiraa KAMTUMBUA.

just image first figure anamiliki mchepuko kama ule, kweli DUNIA HAINA HAKI, kuna watu WANAFAIDI DUNIANI HAPA.

#YNWA
 
Point ya kila mtu akalale kwake nimeielewa,
Mambo ya Hussain machozi hatutaki,
Naona unaogopa kumpeleka ghetto, ili usije kufanyiwe surprise attack? 😂😂
 
Sijaelewa kwanini mpaka sasa hivi hakuna aliyekanusha kwamba hizo gharam zilizopigwa siyo applicable kwa wote.

Tukiwa serious tukauliza wanawake 10 na wanaume 10 waelezee experience yao ya guest, shukrani, chakula n.k nafikiri watakaokaribia nusu na robo ya hii gharama hawatazidi 4.

Hizi gharama ni unrealistic in every way like huwezi kumlipa 30K na kumhudumia chakula na nauli and probably ukaishia kwenye K tu wakati for the same amount minus kula na nauli na hizo gharama nyingine unakuta kuna binti mwenye sifa kama hizo anajitangaza anakuuzia K na ndogo.
 
Kichwa na point umemaliza hapo chini, kule juuu ulikuwa unatuandaa tuu, kimsingi hata ungekuwa ww usingekubali mtu umempa cheo anajeuka anakula mchepuko wako na tena ulishamuonya kuhusu huo mchepuko lakin hakusikia
 
Back
Top Bottom