Kweli umalaya ni gharama

Kweli umalaya ni gharama

Semeni yoteee, ila hapa la msingi ni pesa mtoe. Mtoe pesa jamani.
 
Hapo mwisho kumbe mzee anapumzika pale halafu akawa anazuga, eti watu wa pwani wamelala sana?😀😀
Mzee nae yuko vizuri navuta picha akiwa chumbani na mbebe🤣
Kuna watu wanafaidi sanaa hii dunia..!!!

#YNWA
 
Point ya kila mtu akalale kwake nimeielewa,
Mambo ya Hussain machozi hatutaki,
Naona unaogopa kumpeleka ghetto, ili usije kufanyiwe surprise attack? 😂😂
Jela nomaa baharia...

#YNWA
 
Hapo kuna shida, sehemu ya kulala ya buku 15, misosi yake haizidi buku 5, so Kwenye chakula uta save pamoja na hizo other costs
 
Sijaelewa kwanini mpaka sasa hivi hakuna aliyekanusha kwamba hizo gharam zilizopigwa siyo applicable kwa wote.

Tukiwa serious tukauliza wanawake 10 na wanaume 10 waelezee experience yao ya guest, shukrani, chakula n.k nafikiri watakaokaribia nusu na robo ya hii gharama hawatazidi 4.

Hizi gharama ni unrealistic in every way like huwezi kumlipa 30K na kumhudumia chakula na nauli and probably ukaishia kwenye K tu wakati for the same amount minus kula na nauli na hizo gharama nyingine unakuta kuna binti mwenye sifa kama hizo anajitangaza anakuuzia K na ndogo.
Hiyo kula ni morning, lunch, dinner = @5,000/= × 2 peoples

#YNWA
 
Kichwa na point umemaliza hapo chini, kule juuu ulikuwa unatuandaa tuu, kimsingi hata ungekuwa ww usingekubali mtu umempa cheo anajeuka anakula mchepuko wako na tena ulishamuonya kuhusu huo mchepuko lakin hakusikia
Nimemaliza na kauli mbiu ya LIVERPOOL.
Mabingwa wa DUNIA.

#YNWA
 
Mwenyewe nilihisi ipo namna, kumbe mkulungwa aligongewa na Deiwaka aliemkabidhi kitengo yeye mwenyewe. 🤣🤣🤣

Lile Toto la kibantu rangi ya ndizi kisukari! Lazma ulinzi uwe mkali chakula ya Muzee!
Dah hii dunia haina haki...
Kuna watu wanachepuka na warembo balaaa...

#YNWA
 
Hatari saana aisee! Ndiyo pale unarudi getho unaiwazia laki yako ilivyokwenda kishamba, unajipiga kifuani unasema mimi ni fala sana ila nitapata nyingine!
Dah Baharia UMENI TOUCH SANAA...
Uanaume mateso sanaa...

#YNWA
 
Hivi hizo paragraph mbili za mwisho zinaukweli wowote!!! 115,000/= ni sawa na tofali 96 hapo kwenye opportunity cost bora kujenga tu, hizo nyingine tutatafuta substitute product Sinza
Ukifanya hizi mambo kwa kuangalia opportunity cost basi utakua padre.!!!

#YNWA
 
La muhimu ikija suala la burudani ya papuchi spare no expense. Ndio starehe ya dunia. Ebu imagine unamihela alafu huwezi kugegeda sasa maisha yana raha gani hapo
Ila mbunye inautamu Fulani hivi amaizing japo ni utamu wa sekunde...

#YNWA
 
Y

Yaani a man,upo hapa unajadili gharama za upigaji pussy kweli?

Sasa ulitaka upigie migombani au njiani au kwenye magari?

Maana hata kama utapigia kwako,gharama zingine zipo pale pale..

Naona watu watafute hela aisee,tuache haya malalamiko!

Kama uchumi wako haujafika popote,usijishughulishe na haya mambo,hela ikifika then ufanye!
....refer to the OPPORTUNITY COST.

#YNWA
 
Back
Top Bottom