Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Kwani ina tatizo gani?Thread tayari...
Si wabwia unga hao mkuuPilipili usiyoila inakuwashia nini hasa we Pro USA na EU?
Kumbe akili zenu na Zelensiky wala hazitofautiani kabisa [emoji848][emoji28]
Hata wakipiga picha URUSI hawana mitandao ya kijamii zaidi ya taarifa kutoka upande mmoja TU wa serikali.Zelensky kaupiga mwingi, kwani sasa ni mwenendo wa kuzipiga hizo maiti picha na kuzirusha mitandaoni ili ndugu zao wazione na wajue kuwa Putin amekataa miili hiyoirudishwe Moscow
Unafikiri russia hawana akili kama wewe!!....Ukraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya wanajeshi wake ,huku tukishuhudia wakianza kusomewa mashtaka ya uhalifu wa kivita?
Russia wanawajali kweli wanajeshi wake?
Pili Ukraine imetoa picha za miili ya askar wa Urusi waliouwawa wakitaka kama ndugu zao wanawatambua waje kuwachukua kabla hawajazikwa kama mbwa maana Urusi wamegoma kuchukua maiti za jeshi lake ,nahisi wanahofia kupoteza credibility kwa wananchi wake kama mnavyojua serikali za kidictetor.
Unaweza kupitia CNN, Al-jezeera
Zelensky anakiuka misingi ya Geneva convention . Haipaswi kupiga picha miili. Mwandishi ndio maana upo Buguruni saizi na sio ikulu. Ikulu inataka upime mambo kwa ukubwa wake.Ukraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya wanajeshi wake ,huku tukishuhudia wakianza kusomewa mashtaka ya uhalifu wa kivita?
Russia wanawajali kweli wanajeshi wake?
Pili Ukraine imetoa picha za miili ya askar wa Urusi waliouwawa wakitaka kama ndugu zao wanawatambua waje kuwachukua kabla hawajazikwa kama mbwa maana Urusi wamegoma kuchukua maiti za jeshi lake ,nahisi wanahofia kupoteza credibility kwa wananchi wake kama mnavyojua serikali za kidictetor.
Unaweza kupitia CNN, Al-jezeera
We kidogo ni mrusi unayejitambuaZelensky anakiuka misingi ya Geneva convention . Haipaswi kupiga picha miili. Mwandishi ndio maana upo Buguruni saizi na sio ikulu. Ikulu inataka upime mambo kwa ukubwa wake.
Hao Ukraine wataongea kwa kutapatapa maana hao mateka wapo kwa KGB wanabinywa watoe taarifa kadha.Pia wanachunguzwa uraia wao kwa kupimwa DNA sio jambo la huruma .Serekali haina mambo ya huruma .
Zelensky amewashitaki mateka na Russia amewashitaki hawa magaidi wa kiwandani.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Urusi haijawahi kuwajali wanajeshi wake, maiti nyingi wamezitelekeza ukraine zilizagaa sana hawakuwahipo kufanya mpango kuwapelekea jamaa na ndugu zao kuwatambua, juzi walikufa 1000 wakijaribu kuvuka mto kuingia ukraine wakaingia kwenye mtego na mavifaru yao karibu 56 nyanga nyangaUkraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya wanajeshi wake ,huku tukishuhudia wakianza kusomewa mashtaka ya uhalifu wa kivita?
Russia wanawajali kweli wanajeshi wake?
Pili Ukraine imetoa picha za miili ya askar wa Urusi waliouwawa wakitaka kama ndugu zao wanawatambua waje kuwachukua kabla hawajazikwa kama mbwa maana Urusi wamegoma kuchukua maiti za jeshi lake ,nahisi wanahofia kupoteza credibility kwa wananchi wake kama mnavyojua serikali za kidictetor.
Unaweza kupitia CNN, Al-jezeera
Mbona tayari juzi picha zimetumwa russia, ni vilio tu mkuuZelensky kaupiga mwingi, kwani sasa ni mwenendo wa kuzipiga hizo maiti picha na kuzirusha mitandaoni ili ndugu zao wazione na wajue kuwa Putin amekataa miili hiyoirudishwe Moscow
Hujui kitu mweupe peeeeUkraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya wanajeshi wake ,huku tukishuhudia wakianza kusomewa mashtaka ya uhalifu wa kivita?
Russia wanawajali kweli wanajeshi wake?
Pili Ukraine imetoa picha za miili ya askar wa Urusi waliouwawa wakitaka kama ndugu zao wanawatambua waje kuwachukua kabla hawajazikwa kama mbwa maana Urusi wamegoma kuchukua maiti za jeshi lake ,nahisi wanahofia kupoteza credibility kwa wananchi wake kama mnavyojua serikali za kidictetor.
Unaweza kupitia CNN, Al-jezeera
hahahahaaaaaaaaaaaaNikiripoti Kutoka K'ndoni Moskoooo...! Mimi ni JojìMaLatuuuu Wa ....AiTiiiViii