Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Ukraine imeomba wabadilishane wafungwa, maana pia Ukraine imewashikilia wanajeshi wengi wa Urusi, lakini Urusi wamegomea mpango huo wakidai lazima wawamalize wanazi. Sasa ni vip hatma ya wanajeshi wake ,huku tukishuhudia wakianza kusomewa mashtaka ya uhalifu wa kivita?
Russia wanawajali kweli wanajeshi wake?
Pili Ukraine imetoa picha za miili ya askar wa Urusi waliouwawa wakitaka kama ndugu zao wanawatambua waje kuwachukua kabla hawajazikwa kama mbwa maana Urusi wamegoma kuchukua maiti za jeshi lake ,nahisi wanahofia kupoteza credibility kwa wananchi wake kama mnavyojua serikali za kidictetor.
Unaweza kupitia CNN, Al-jezeera