Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

lakini acha kuwa so rude mpaka naogopa dah..Easy cantalisia jamani..chonde chonde

Haya mambo tukiwadekeza sn mnayachulia kwa wepec sn so nikukaza mwanzo mwisho kwan km ni maumivu tayari tushaumia sn!
 
Haya mambo tukiwadekeza sn mnayachulia kwa wepec sn so nikukaza mwanzo mwisho kwan km ni maumivu tayari tushaumia sn!

C hahahah unaonyesha una machungu sana .. tatizo likishatokea huacha kovu na kovu haliishi
 
the good news is, utakuwa na majeraha but with time utapona. na kwa hakika, nadhani furaha ya kupona kidonda huwa unaijua, hhuitaji nikuelezee hilo ... only sky will be the limit!!

Is not so easy my dia,na kingine nyie viumbe hamuaminiki kwan kwan namna roho zenu zilivyoumbwa dah! mnajua wenyewe!na mnatuonea kwa mioyo ya iman tuliyoumbiwa!
 
Is not so easy my dia,na kingine nyie viumbe hamuaminiki kwan kwan namna roho zenu zilivyoumbwa dah! mnajua wenyewe!na mnatuonea kwa mioyo ya iman tuliyoumbiwa!

mumeo atakukoma alogwe shetani amrubuni...wee thubutu hasamehewi mtu ndo kwanza aitiwa mwizi dah
 
kwani ye kunikimbia kisa umaskini c kunyea kambi vile vile? Au?

kumbuka nilisema wakati unaondoka kuna maneno ya jeuri, kejeri , dharau etc ndo kunyea kambi huko
 
C unaweza ukawa umeoa au kuolewa baada ya kukimbiana lakini hukumu ya ukaribu au walau uwepo wa mtu unategemea na huyo uliyenaye maana naye atakupa msukumo kisaikolojia

Yan km akikuta nimeolewa ndio asahau kbs,coz mapnz yangu yatakua yameshahamia kwa aliyenipenda wakati yy amenitupa!tena kwa maumivi naweza mripot polic na kumchukulia rb kbs ebo!
 
  • Thanks
Reactions: BPM
Yan km akikuta nimeolewa ndio asahau kbs,coz mapnz yangu yatakua yameshahamia kwa aliyenipenda wakati yy amenitupa!tena kwa maumivi naweza mripot polic na kumchukulia rb kbs ebo!

lakini C kumbuka watu hawalinagani unaweza kuwa umeolewa au unaishi na mtu mwingine ikawa ndo kimeo zaidi ukatamani hata ulikotoka hahahahhaa
 
Yan km akikuta nimeolewa ndio asahau kbs,coz mapnz yangu yatakua yameshahamia kwa aliyenipenda wakati yy amenitupa!tena kwa maumivi naweza mripot polic na kumchukulia rb kbs ebo!

Toba!!! Najua huwezi fanya hayo yote canta...unless otherwise if you too emotional kwenye mausiano hapo Utaumia sana kuwa moderate kwani vidume ni unpredictable
 
lakini C kumbuka watu hawalinagani unaweza kuwa umeolewa au unaishi na mtu mwingine ikawa ndo kimeo zaidi ukatamani hata ulikotoka hahahahhaa

Yanatokea sana haya hufikia mwanamke kusema wanaume wote ni MBWA
 
Yanatokea sana haya hufikia mwanamke kusema wanaume wote ni MBWA

kila mmoja ana haki ya kutukana tusi kulingana na maumivu si kwa mwanamke tu hata mwanaume kwani kutendwa hutendwa wote
 
C hahahah unaonyesha una machungu sana .. tatizo likishatokea huacha kovu na kovu haliishi

C ndo hapo bwana!bora kukomaa tu mwenyewe na kovu yako kuliko kuruhusu mtu ayakwangue na kuanza kuuguza madonda tena!
 
umeolewa? Nina maana kuuliza hili swali nikupe mkakati huku kwenye PM..

No cjaolewa ndio najitahidi kupotezea matatizo ya ndoa ninayoyasoma humu ili nikate shauri,japo nahic kuingia humo yataka moyo!nitumie huo mkakati!
 
Pagumu hapo kushauri. Wahusika halisi itakuwa watajua wafanyeje.
 
mumeo atakukoma alogwe shetani amrubuni...wee thubutu hasamehewi mtu ndo kwanza aitiwa mwizi dah

Haa haa!habari ndio hiyo,hakuna cha kurubuniwa yy akimua kusepa asepe kweli co atest,hata huyo shetan keshachoka kucngiziwa lol!na mie nina uhakika cwezi kurubuniwa!kwann mie niweze yy ashindwe?
 
Toba!!! Najua huwezi fanya hayo yote canta...unless otherwise if you too emotional kwenye mausiano hapo Utaumia sana kuwa moderate kwani vidume ni unpredictable

Mie nashukuru kwa vile mnajijua!namwomba mungu aniepushie purukushan km hizi maishan mwangu!maana nyie viumbe hamna jema wala shukran!
 
hapo ndipo haswa, my dia ... ndio maana nasema kusamehe sio jambo rahisi, its a sacrifice, lkn ni rahisi tu kama upendo "usiochakachuliwa" upo!

Kwa msamaha wa hivi hapana, niko radhi twende mbinguni shahidi akawe mwenyezi Mungu! Yaani niumizwe, nishindwe kumsamehe mtu niambiwe upendo wangu haukuwa wa agape bali umechakachuliwa! Yaani afadhali (japo sio sana) tungekuwa tunasemea kuwa baba ana mtu mtaa wa pili lakini nyumbani yupo na angalau ada inaonekana na watoto wanasoma. Good 7 years hajui tunaishije, atakuwa amesahau nini hadi karudi? Mimi nafikiri wenye vifuko vya misamaha mioyoni mwao waendelee navyo coz mie vyangu vilitoboka vikavuja misamaha yote ya aina hii.
 
Back
Top Bottom