Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nashukuru kwa vile mnajijua!namwomba mungu aniepushie purukushan km hizi maishan mwangu!maana nyie viumbe hamna jema wala shukran!
Well said sista, ni kuomba Mungu atuepushie mabalaa ya hivi.
Umeona ee!embu ona wanaume wanavyoteteana ingekua mwanamke ndio kafanya haya lol ungeona comment zao!
Hatutaki kuchakachua thread tu, lakini ndio ingekuwa vice versa humu ndani joto lingefika nyuzi 100!
Hatutaki kuchakachua thread tu, lakini ndio ingekuwa vice versa humu ndani joto lingefika nyuzi 100!
Wala hujakosea,c unaona watu wenyewe washasepa!nilichogundua wanaujua ukweli lkn km kawaida yao huona wakikiri ni kujishushia hadhi!
Wala hujakosea,c unaona watu wenyewe washasepa!nilichogundua wanaujua ukweli lkn km kawaida yao huona wakikiri ni kujishushia hadhi!
yuko mmoja walirudiana after 17 years of separation. Wakirudiana sitashangaa.
Yaani hapa hata nispomsamehe mungu ananiona kwa nn anitende namna hiyo harafu apate shida anirudie ,mbona kukumbuka wakati wa raha,nitamsamehe lakini apotee ,awe anakuja kusalimia wanae tu
nawe ukimkia usirudi huko huko...mi watoto utakutana nao kwa appointment nje ya kwangu
Yaani hapa hata nispomsamehe mungu ananiona kwa nn anitende namna hiyo harafu apate shida anirudie ,mbona kukumbuka wakati wa raha,nitamsamehe lakini apotee ,awe anakuja kusalimia wanae tu
Nenda kwenye uzi wa Lizzy upate somo la msamaha!
Ni kweli Jomse, siku hizi hatuna upendo wa kweli kabisa katika ndoa zetu, tunaamua tu kuishi pamoja sababu ya mali au kazi au uzuri wa mtu fulani unayetaka kuwa naye, na kwa tafsiri yetu hiki ndicho twakiita ndoa siku hizi ... hapana, ndoa ni zaidi ya hilo! kuwa tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya furaha ya maisha yako na mwenzako, na moja kati ya vitu hivyo vigumu ni kusamehe makosa na mapungufu ya wenzi wetu!
nimeusoma sana lakini nahitaji uwezo wa kiroho na nguvu za mungu zaidi
C ndo maana nikasema msikilize maana usitegemee ndugu atakusupport kwa kila wazo lako lilivyo wewe ndo unatakiwa kumwelewesha na uonyeshe msimamo wako uko wapi hahahah
Are u serious?? Nadhani unatania!!! Aeleweshwe nini sasa asichokijua/asichokiona?