Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

Pagumu hapo kushauri. Wahusika halisi itakuwa watajua wafanyeje.
 
Mie nashukuru kwa vile mnajijua!namwomba mungu aniepushie purukushan km hizi maishan mwangu!maana nyie viumbe hamna jema wala shukran!

Well said sista, ni kuomba Mungu atuepushie mabalaa ya hivi.
 
Umeona ee!embu ona wanaume wanavyoteteana ingekua mwanamke ndio kafanya haya lol ungeona comment zao!

Hatutaki kuchakachua thread tu, lakini ndio ingekuwa vice versa humu ndani joto lingefika nyuzi 100!
 
Hatutaki kuchakachua thread tu, lakini ndio ingekuwa vice versa humu ndani joto lingefika nyuzi 100!

Wala hujakosea,c unaona watu wenyewe washasepa!nilichogundua wanaujua ukweli lkn km kawaida yao huona wakikiri ni kujishushia hadhi!
 
Wala hujakosea,c unaona watu wenyewe washasepa!nilichogundua wanaujua ukweli lkn km kawaida yao huona wakikiri ni kujishushia hadhi!

Tupo kukiri nini ngumu mbona wanaume hucomfess tu ila mkiwa chamber ahaa ahaa nitaku-pm niwache kdogo niko kwenye foleni naumia mobile now
 
Wala hujakosea,c unaona watu wenyewe washasepa!nilichogundua wanaujua ukweli lkn km kawaida yao huona wakikiri ni kujishushia hadhi!

kuna mambo mi nadiriki kuyasema hapa wanilipue tu wanaume...ndoa ikianza distrust in form of infidelity wanaume % kubwa uwa wameanzisha kwani ni wasiri mno sie itakuchukua mda kuja jua nimecheat with several gals ila cheat wewe uone unakamatwa within a month kwani mna hiria nyingi sana! Na easy to notice early changer more than men
 
Yaani hapa hata nispomsamehe mungu ananiona kwa nn anitende namna hiyo harafu apate shida anirudie ,mbona kukumbuka wakati wa raha,nitamsamehe lakini apotee ,awe anakuja kusalimia wanae tu
 
Yaani hapa hata nispomsamehe mungu ananiona kwa nn anitende namna hiyo harafu apate shida anirudie ,mbona kukumbuka wakati wa raha,nitamsamehe lakini apotee ,awe anakuja kusalimia wanae tu

nawe ukimkia usirudi huko huko...mi watoto utakutana nao kwa appointment nje ya kwangu
 
Yaani hapa hata nispomsamehe mungu ananiona kwa nn anitende namna hiyo harafu apate shida anirudie ,mbona kukumbuka wakati wa raha,nitamsamehe lakini apotee ,awe anakuja kusalimia wanae tu

Nenda kwenye uzi wa Lizzy upate somo la msamaha!
 
Amsamehe lakini wasiishi nae tena, apewe access ya kuja kuwaona watoto wake na kuchangia makuzi yao, lakini aishie sebuleni.
Mama bila shaka kwa miaka yote hiyo alikua na arrangement zake za kumtuliza kimwili na kiroho, asiachane nazo kwa ajili ya huyo baba X
 
Ni kweli Jomse, siku hizi hatuna upendo wa kweli kabisa katika ndoa zetu, tunaamua tu kuishi pamoja sababu ya mali au kazi au uzuri wa mtu fulani unayetaka kuwa naye, na kwa tafsiri yetu hiki ndicho twakiita ndoa siku hizi ... hapana, ndoa ni zaidi ya hilo! kuwa tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya furaha ya maisha yako na mwenzako, na moja kati ya vitu hivyo vigumu ni kusamehe makosa na mapungufu ya wenzi wetu!

Kujitoa tulijitoa sana,unakutana na mtu unampenda bila kujali ana kipato au hana,mnaanza maisha na chumba kimoja,unachopata mwanamke ndio kinatunza familia na hata ndugu za mwanaume.Mume anapata kazi ya kumuongezea kipato,unafuraho kwani sasa ukali wa maisha utapungua,lahaula anakuhama na kukuita mshamba.Nitaumia sana lakini maisha yataendelea.Nitamsamehe akirudi na afya na nguvu zake.akirudi mchovu wa mwili sitakubali.
 
nimeusoma sana lakini nahitaji uwezo wa kiroho na nguvu za mungu zaidi

Haraka haraka na simu ndani ya daladala c unajua...namaanisha ukimtenda ukafie huko huko ukirejea ni sime mkononi nakukimbiza...mwaya nakutania mi cwezi kutelekeza family..
 
C ndo maana nikasema msikilize maana usitegemee ndugu atakusupport kwa kila wazo lako lilivyo wewe ndo unatakiwa kumwelewesha na uonyeshe msimamo wako uko wapi hahahah

Are u serious?? Nadhani unatania!!! Aeleweshwe nini sasa asichokijua/asichokiona?
 
Are u serious?? Nadhani unatania!!! Aeleweshwe nini sasa asichokijua/asichokiona?

kawaida mtu anapokosea inawezekana haelewi au kuna kitu kimemsukuma kufanya jambo ambalo halikubaliki kwa mwenzake na yey akaona ni sahihi kwa wakati huo hivyo ni lazima kumweleza nini na wapi alipokosa ..
 
Back
Top Bottom