wakati wa kuachana kuna mambo ambayo huongoza katika hatua harisi nayo ni kiburi, dharau majivuni etc sasa nini unatarajia ukirudi???
lakini acha kuwa so rude mpaka naogopa dah..Easy cantalisia jamani..chonde chonde
na lazima akudhalilishe
Haya mambo tukiwadekeza sn mnayachulia kwa wepec sn so nikukaza mwanzo mwisho kwan km ni maumivu tayari tushaumia sn!
the good news is, utakuwa na majeraha but with time utapona. na kwa hakika, nadhani furaha ya kupona kidonda huwa unaijua, hhuitaji nikuelezee hilo ... only sky will be the limit!!
sasa hapo kumbuka ulinyea kambi sasa unarudi kufanya nini
Haya mambo tukiwadekeza sn mnayachulia kwa wepec sn so nikukaza mwanzo mwisho kwan km ni maumivu tayari tushaumia sn!
Is not so easy my dia,na kingine nyie viumbe hamuaminiki kwan kwan namna roho zenu zilivyoumbwa dah! mnajua wenyewe!na mnatuonea kwa mioyo ya iman tuliyoumbiwa!
kwani ye kunikimbia kisa umaskini c kunyea kambi vile vile? Au?
C unaweza ukawa umeoa au kuolewa baada ya kukimbiana lakini hukumu ya ukaribu au walau uwepo wa mtu unategemea na huyo uliyenaye maana naye atakupa msukumo kisaikolojia
Yan km akikuta nimeolewa ndio asahau kbs,coz mapnz yangu yatakua yameshahamia kwa aliyenipenda wakati yy amenitupa!tena kwa maumivi naweza mripot polic na kumchukulia rb kbs ebo!
Yan km akikuta nimeolewa ndio asahau kbs,coz mapnz yangu yatakua yameshahamia kwa aliyenipenda wakati yy amenitupa!tena kwa maumivi naweza mripot polic na kumchukulia rb kbs ebo!
lakini C kumbuka watu hawalinagani unaweza kuwa umeolewa au unaishi na mtu mwingine ikawa ndo kimeo zaidi ukatamani hata ulikotoka hahahahhaa
Yanatokea sana haya hufikia mwanamke kusema wanaume wote ni MBWA
C hahahah unaonyesha una machungu sana .. tatizo likishatokea huacha kovu na kovu haliishi
umeolewa? Nina maana kuuliza hili swali nikupe mkakati huku kwenye PM..
mumeo atakukoma alogwe shetani amrubuni...wee thubutu hasamehewi mtu ndo kwanza aitiwa mwizi dah
Toba!!! Najua huwezi fanya hayo yote canta...unless otherwise if you too emotional kwenye mausiano hapo Utaumia sana kuwa moderate kwani vidume ni unpredictable
hapo ndipo haswa, my dia ... ndio maana nasema kusamehe sio jambo rahisi, its a sacrifice, lkn ni rahisi tu kama upendo "usiochakachuliwa" upo!