Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.

Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.

Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso zimekosa matumaini.

Mbaya zaidi linakuja jamaa na misevu linavunja foleni mpaka mbele dirishani wanaanza kupiga stori wanakenua nusu saa.

Naapa sirudii tena CRDB Bora nizichimbie chini. Bado makato yanauma na nyie mnatuviruga.
Uwe unaangalia tarehe za kwenda benki!
 
Miaka ya nyuma CRDB walifanya vizuri kwenye kuhudumia wateja lakini miaka hii ni KERO KERO KERO
 
Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.

Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.

Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso zimekosa matumaini.

Mbaya zaidi linakuja jamaa na misevu linavunja foleni mpaka mbele dirishani wanaanza kupiga stori wanakenua nusu saa.

Naapa sirudii tena CRDB Bora nizichimbie chini. Bado makato yanauma na nyie mnatuvuruga.
Hii bank kwa kweli inakela Sana, Ina mateller wachache sana
 
Komesha ni pale Mlimani city..
Lazima upoteze masaa 2 mpaka 3...
Kuna vitu lazima uende bank.
Niwakumbushe wadau siyo kila kitu Sim banking au ATM inaweza kufanya...
CRDB UDSM huwa haina foleni kabisa; kwa nini msiwe mnaenda kufanyia miamala yenu pale?. Kwa ujumla Benki zote zilizo UDSM hazina foleni. Mlimani city wateja ni wengi mno wakati mwingine tutawalaumu tellers bila sababu za msingi.
 
Mi nishatemana na hilo bank muda tu. Niko zangu Absa hamna mambo ya ajabu wala nn.
kuna bank ni ndogo lakin unahudumiwa mpaka raha maan hamna folen kwa mfano acb na maendeleo yaan baadhi ya branch zao unaweza ingia ndani ya benk nusu saa mteja upo peke yako tu
 
Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.

Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.

Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso zimekosa matumaini.

Mbaya zaidi linakuja jamaa na misevu linavunja foleni mpaka mbele dirishani wanaanza kupiga stori wanakenua nusu saa.

Naapa sirudii tena CRDB Bora nizichimbie chini. Bado makato yanauma na nyie mnatuvuruga.
Hapo hakuna mawakala?
 
tafta hela ndugu wenye hela hawakai foleni ukiwa na hela unaweza enda piga stor na meneja huku hela zako zinaandaliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kama una vimilioni lazima usimame sana foleni
Kulikuwa na huduma ya express,siku hizi imefutwa?
 
Haya mambo ya foleni kwenye mabenki yamebaki huku Afrika tu, nilivyokuwa majuu ukiingia kwenye branch unakutana na mhudumu mmoja au wawili ambao mostly wanatoa huduma za customer care mfano ku-renew card. Lakini mambo ya deposit, withdrawal, money transfer unafanya kwenye ATM na kwa kutumia internet banking. Na pia nilichogundua wazungu mosty hawatumii cash kufanya manunuzi ya bidhaa na huduma na badala yake wanatumia card ambazo ndo unakuta zimejaza wallet badala ya minoti.​
Mkuu hizi mashine za kudeposit hela na kuwithdraw hadi zifike Bongo itachukua mda sana
 
CRDB ndo naona wameanzisha ya kudeposit pale mlimani city hizo ATM za kuwithdraw wanazo muda mrefu sasa.
 
Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.

Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.

Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso zimekosa matumaini.

Mbaya zaidi linakuja jamaa na misevu linavunja foleni mpaka mbele dirishani wanaanza kupiga stori wanakenua nusu saa.

Naapa sirudii tena CRDB Bora nizichimbie chini. Bado makato yanauma na nyie mnatuvuruga.
Katoe kwa wakala
 
Back
Top Bottom