Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.

Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.

Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso zimekosa matumaini.

Mbaya zaidi linakuja jamaa na misevu linavunja foleni mpaka mbele dirishani wanaanza kupiga stori wanakenua nusu saa.

Naapa sirudii tena CRDB Bora nizichimbie chini. Bado makato yanauma na nyie mnatuvuruga.
Sorry [emoji20] mkuu
 
Kuingia CRDB sawa na kuingia MOCHWARI

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.

Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.

Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso zimekosa matumaini.

Mbaya zaidi linakuja jamaa na misevu linavunja foleni mpaka mbele dirishani wanaanza kupiga stori wanakenua nusu saa.

Naapa sirudii tena CRDB Bora nizichimbie chini. Bado makato yanauma na nyie mnatuvuruga.
hamia mkombozi bank au akiba commercial ule raha!! unaingia kuchukua hela dakika 3 nyingi unachomoka!!
 
Back
Top Bottom