nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Wanatoa adharani ili kutoa karipio (warning)....hakuna cha kuwatakia mema maharusi wala nini ...ni mbwembwe na kutishiana amani tuuu.
Gotcha u bro! Umeongea vizuri sana imeniingia maana hata wakinunulia nguo zao za ndani nyie hamtajua kama mkwe wetu leo kavaa ile pichu....lol
Na kama hivyo ndivyo haina haja ya kuwakabidhi hizo hela mbele ya umati wa watu si wapeane nyumbani tu kwamba wanetu sisi kama wazazi tumeonelea tuwape hizi pesa zitawasaidia kuanzia maisha,uamuzi ni wao kununua Kuger ama kuzinywea chibuku shauri yao!