Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Wanatoa adharani ili kutoa karipio (warning)....hakuna cha kuwatakia mema maharusi wala nini ...ni mbwembwe na kutishiana amani tuuu.

Hahahaaaaaaaa Smile akhsante sana kwa huu msredi nimecheka leo aaahhhh hapana
kwani unavoenda na kila kitu huyo mwanaume hana vitu ? hujue sielewi my dear
 
Wanatoa adharani ili kutoa karipio (warning)....hakuna cha kuwatakia mema maharusi wala nini ...ni mbwembwe na kutishiana amani tuuu.

Umenena vyema nyumba kubwa

Jamani kwani leo hizi quotation zimekuwaje????mbona naona mvurugano tu hapa.....
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Wale wale kwa nini hufikiri kutafuta pamoja unafikiria kushukuru.... unafikiri kwa kujaziwa nyumba ndio ugumu wa maisha utakuwa umeisha jamani ndoa ni zaidi ya makochi masufuria na mazagazaga yote.
Kwa ulivyo comment, nina uhakika wewe haupo kwenye ndoa.
Turudi kwenye mada. kwanini ukatae mwanamke uliyemuoa asije na vitu vya ndani?
 
Kwa ulivyo comment, nina uhakika wewe haupo kwenye ndoa.
Turudi kwenye mada. kwanini ukatae mwanamke uliyemuoa asije na vitu vya ndani?
hatujasema vitu vya ndani ...tumesema kuja na kila kitu hadi kitanda chako cha kulalia ..kila kitu tv maradio sofa kila kitu humo ndani wewe ubaki tu na nguo zako labda?
 
Last edited by a moderator:

Kongosho kumbe we mtamu hivyo eenh? Ninavyopenda goti hadi nimekudondokea ghafla! lol
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni nani alafu aliye introduce haya mambo ya michango jamani????
Mi nilivyokuwa mdogo haya mambo hayakuwepo kabisa...ukialikwa kwenye harusi wewe unabeba zawadi tu...hakuna kuchangia...siku hizi mpaka birthday watu wanataka michango..ptuuu.

Kumbe wenzetu hata Nigeria pamoja na kupenda show off hawana michango ya harusi.

Imeshakuwa culture kubadilika inakuwa ngumu. Ningekuwa waziri wa utamaduni ningepiga marufuku maana naona wengi hawataki lakini wanashindwa waanzie wapi kuacha. Hili ni janga na ni moja ya mila potofu (mila mpya lol._
 
Last edited by a moderator:
mtu anabatiza mtoto anaomba mchango eti? shame
 
Siku hizi imekuwa kama michezo ya bahati nasibu.

Wanatoa adharani ili kutoa karipio (warning)....hakuna cha kuwatakia mema maharusi wala nini ...ni mbwembwe na kutishiana amani tuuu.
 
Mi naona upande wa mke wakiwa masikini sio noma wala nini...si wameolewa.Lol.

Inshu pale upande wa mume wawe hawana kitu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…