Mkuu ningekuwa joka la kibisa ningeweza kumiliki vifaa vinne vikali namna hii? Nyie watu kusoma mmeshindwa hata picha zinawashinda?Kwahiyo unataka kuuthibitishia ulimwengu kwamba Asprin ni joka la kibisa, au unataka kusemaje, funguka kidogo shem wangu......
Mkuu ningekuwa joka la kibisa ningeweza kumiliki vifaa vinne vikali namna hii? Nyie watu kusoma mmeshindwa hata picha zinawashinda?
Kuanzia kushoto: cacico, BADILI TABIA, Kongosho na msaliti Yummy
Oh... Bila shaka, Dena Amsi huyu hapa..... Ni mtu wa mazoezi sana.Mzee kumbe unafaudu eenh!!
Kwakuwa sijaona picha ya Dena Amsi kati ya hawa vidosho unaowamiliki, ninapata wasiwasi kwamba shemeji yangu amemwagwa sasa ameamua kunyea kambi, kwani kwa aina ya vifaa hivi unavyovimiliki, bila shaka utakuwa unatema mabomu kama ya polisi wa Iringa.
Miye huyo wa mwisho kulia duh! Maashallah! nikimwona tu nafsi yangu kwatuu.Mkuu ningekuwa joka la kibisa ningeweza kumiliki vifaa vinne vikali namna hii? Nyie watu kusoma mmeshindwa hata picha zinawashinda?
Kuanzia kushoto: cacico, BADILI TABIA, Kongosho na msaliti Yummy
Duh! Ana vigimbi huyo!
Ha ha ha ha ha ha ha nimechekaje mie mwenzenu leo kha!!!!!!!!!!!!!!!!
Shem kumbe siku hizi una vigimbi hivyo eenh! inabidi uache kabisa mazoezi, vinginevyo utawapoteza wengi...
Mwita Maranya aise hizi mambo acha bana fanya kama hujaona vile
Ewaaaa..... kwa uelewa wako, naweza kukukabizi mjukuu wangu mwaJ. Unasemaje? Kama vipi pia kuna Blue G.Aisee yani mimi hapo BADILI TABIA tu ndiye kanikosha mbaya, kwakuwa yuko under mzee mzima inabidi tu nife kijerumani na tai shingoni!!
Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata KARIA kaogee vumbi aise Dena Amsi achana na babu Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina KARIA na Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina Erickb52 wanapata wasi wasi
Orayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?Mpaka hapo kashachemsha