Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kwahiyo unataka kuuthibitishia ulimwengu kwamba Asprin ni joka la kibisa, au unataka kusemaje, funguka kidogo shem wangu......
Mkuu ningekuwa joka la kibisa ningeweza kumiliki vifaa vinne vikali namna hii? Nyie watu kusoma mmeshindwa hata picha zinawashinda?

PrettiEbony01.jpg

Kuanzia kushoto: cacico, BADILI TABIA, Kongosho na msaliti Yummy
 
Last edited by a moderator:

Mzee kumbe unafaudu eenh!!
Kwakuwa sijaona picha ya Dena Amsi kati ya hawa vidosho unaowamiliki, ninapata wasiwasi kwamba shemeji yangu amemwagwa sasa ameamua kunyea kambi, kwani kwa aina ya vifaa hivi unavyovimiliki, bila shaka utakuwa unatema mabomu kama ya polisi wa Iringa.
 
Last edited by a moderator:
Umegonga Pentagon kabisa ha ha mtu hana meno nyama atakulaje mpaka Mr. Rocky alainishe yeye ndo aje amalizie??/ Wapi na wapi

Ha ha haa mzee mzima Asprin kuja pande hizi ujibu tuhuma, kumbe hadi upate msaada kwa Mr Rocky ndipo unapata uwezo wa kupiga "henderi"
 
Last edited by a moderator:
Mzee kumbe unafaudu eenh!!
Kwakuwa sijaona picha ya Dena Amsi kati ya hawa vidosho unaowamiliki, ninapata wasiwasi kwamba shemeji yangu amemwagwa sasa ameamua kunyea kambi, kwani kwa aina ya vifaa hivi unavyovimiliki, bila shaka utakuwa unatema mabomu kama ya polisi wa Iringa.
Oh... Bila shaka, Dena Amsi huyu hapa..... Ni mtu wa mazoezi sana.

2v1s29f.jpg
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndo Yummy mke msaliti. Kama unaubavu waweza mnyang'anya Mr Rocky. Huhitaji nguvu nyingi sana. Jilipue.

Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata KARIA kaogee vumbi aise Dena Amsi achana na babu Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina KARIA na Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina Erickb52 wanapata wasi wasi
 
Last edited by a moderator:
Shem kumbe siku hizi una vigimbi hivyo eenh! inabidi uache kabisa mazoezi, vinginevyo utawapoteza wengi...

Ha ha ha nyie acheni kunipakazia mtoto wa mwenzenu......................Shem na wewe unaingia mkenge kwa kudanganywa na hiki kibabu halafu ujue toke AfroDensi ampe shule ya mapicha imekuwa shida na tabu tupu
 
Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata KARIA kaogee vumbi aise Dena Amsi achana na babu Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina KARIA na Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina Erickb52 wanapata wasi wasi

Kha kwani umeanza kunichoka Hubby yaani kibabu kile niende nacho wapi mie wewe??
 
Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata KARIA kaogee vumbi aise Dena Amsi achana na babu Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina KARIA na Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina Erickb52 wanapata wasi wasi
Orayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?
 
Last edited by a moderator:
Hili jibu nitali print halafu nilifanyie lamination.......kwi kwi kwiiiiiii erick B52 machoyo yana tongotongo ama?!

Hebu mwambie tena Erickb52 kwa sauti kubwa na maandishi makubwa aone
Maana bado hajui kusoma herufi ndogo ndogo hizi Erickb52 hebu njoo soma tena kwa sauti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom