Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Naandika kwa msisitizo hebu nyie wanaume wawili niambieni mnataka nini???!!!!nani amekubali kumuachia mwenzake mzigo wallaih atakae baki na huu mzigo tunakutana saa kumi na mbili robo kuhalalisha infii ya JF.
Halafu ntarudi kuwasimulia wake wenzangu hawa wafuatao yaliyojiri Kongosho(kubwa lao), BADILI TABIA(kipenzi changu hata Asprin akinitema usiwe na wasiwasi ntakuja pande zile nikusaidie kwa yule mwingine), Dena Amsi(msiri wangu hata @Mr Rock akinitema utanipatia yule muuza kashata anaekusumbua kila kukicha kuwa kanidondokea), cacico(mke mwee wa ukwee,utaendelea kuniletea viwalo vya kusumbua mitaa ya yetu ileeee)
Ngoja nizisubirie kura zinasemaje. Na wewe pia niusikie msimamo wako. Mi sipendi vigeugeu ujue.