Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

??????:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::iamwithstupid::iamwithstupid::closed_2::closed_2::car::car::car::car::A S new::A S new::A S new::welcome::welcome:

Really??????? Kaizer hebu kuja hapa naona hommie wako amepata brein konkasheni anahitaji msaada
 
Last edited by a moderator:
Darling Mr Rocky umenichekesha sanaaaa, nani amikwambia upitie mambo ya wakezo ya ndani???!!!si vizuri kutupekua oohooo. Kwahiyo unakubali mzee mzima Asprin aendelee kufaudu tunda kiulainiiiii bila kushea sio!
Na kwangu usije. Baki huko huko kwa Mr Rocky. Kwa taarifa yako BADILI TABIA na cacico wako kwenye mchakato wa kunitafutia mbadala. Mwanamke hutulii. Nshakuchoka mie.
 
Last edited by a moderator:
??????:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::iamwithstupid::iamwithstupid::closed_2::closed_2::car::car::car::car::A S new::A S new::A S new::welcome::welcome:

Whaaaat??????????????????????????????????
 
Darling Mr Rocky umenichekesha sanaaaa, nani amikwambia upitie mambo ya wakezo ya ndani???!!!si vizuri kutupekua oohooo. Kwahiyo unakubali mzee mzima Asprin aendelee kufaudu tunda kiulainiiiii bila kushea sio!

We ishia hapo hapo hebu kuja pande za ndani kabisa huku chumbani uninong'oneze hizi habari
hal;afu uje na kanga moko
na ukiingia chumbani waitupa kule ukutani
My wife wa kujilazimisha Yummy karibu pande za huku ndani kuna siri nataka nikupe juu ya babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Na kwangu usije. Baki huko huko kwa Mr Rocky. Kwa taarifa yako BADILI TABIA na cacico wako kwenye mchakato wa kunitafutia mbadala. Mwanamke hutulii. Nshakuchoka mie.

babu Asprin taratibu bana usije pata brain konkosheni bure hapa na bp na shell na total na camel na lake oil na state oil zikapanda bure ukarest in pisi
 
Last edited by a moderator:
Haya nimekuja Mume wangu nambie nini mbaya hapa tena dear aahhhhh

Nilikaribia kupata brain konkosheni aise
Nilikumiss my real wife
Na nakupendaje aise
Wengine wote ni cha mtoto ni wewe tuu Dena Amsi hebu kuja unipe busu la moto moto
 
Last edited by a moderator:
We ishia hapo hapo hebu kuja pande za ndani kabisa huku chumbani uninong'oneze hizi habari
hal;afu uje na kanga moko
na ukiingia chumbani waitupa kule ukutani
My wife wa kujilazimisha Yummy karibu pande za huku ndani kuna siri nataka nikupe juu ya babu Asprin
Hehehehe.... ubaki naye hukohuko. Mie niko busy natafuta mbadala wake.
 
Nilikaribia kupata brain konkosheni aise
Nilikumiss my real wife
Na nakupendaje aise
Wengine wote ni cha mtoto ni wewe tuu Dena Amsi hebu kuja unipe busu la moto moto

Zamu yangu ni leo najua hilo ha ha ha Yummy aliniambia anapika ndizi mzuzu jana ulikula au ilikuwa changa la macho.........
 
Na kwangu usije. Baki huko huko kwa Mr Rocky. Kwa taarifa yako BADILI TABIA na cacico wako kwenye mchakato wa kunitafutia mbadala. Mwanamke hutulii. Nshakuchoka mie.

We ishia hapo hapo hebu kuja pande za ndani kabisa huku chumbani uninong'oneze hizi habari
hal;afu uje na kanga moko
na ukiingia chumbani waitupa kule ukutani
My wife wa kujilazimisha Yummy karibu pande za huku ndani kuna siri nataka nikupe juu ya babu Asprin

Naandika kwa msisitizo hebu nyie wanaume wawili niambieni mnataka nini???!!!!nani amekubali kumuachia mwenzake mzigo wallaih atakae baki na huu mzigo tunakutana saa kumi na mbili robo kuhalalisha infii ya JF.
Halafu ntarudi kuwasimulia wake wenzangu hawa wafuatao yaliyojiri Kongosho(kubwa lao), BADILI TABIA(kipenzi changu hata Asprin akinitema usiwe na wasiwasi ntakuja pande zile nikusaidie kwa yule mwingine), Dena Amsi(msiri wangu hata @Mr Rock akinitema utanipatia yule muuza kashata anaekusumbua kila kukicha kuwa kanidondokea), cacico(mke mwee wa ukwee,utaendelea kuniletea viwalo vya kusumbua mitaa ya yetu ileeee)
 
Last edited by a moderator:
Asavali uniondolee kliwingu maana nimechoka kushare bana Yummy my wife karibu pande hizi tupate raha zetu achana na babu Asprin

Daaaah sikuona hii wakati naandika hiyo ingine, sasa basi nasubiri jibu la mwisho halafu nikuPM wallaih nahalalisha NDOA ya infii leo laivu laivu.............kaa mkao wa kula.
 
Naandika kwa msisitizo hebu nyie wanaume wawili niambieni mnataka nini???!!!!nani amekubali kumuachia mwenzake mzigo wallaih atakae baki na huu mzigo tunakutana saa kumi na mbili robo kuhalalisha infii ya JF.
Halafu ntarudi kuwasimulia wake wenzangu hawa wafuatao yaliyojiri Kongosho(kubwa lao), BADILI TABIA(kipenzi changu hata Asprin akinitema usiwe na wasiwasi ntakuja pande zile nikusaidie kwa yule mwingine), Dena Amsi(msiri wangu hata @Mr Rock akinitema utanipatia yule muuza kashata anaekusumbua kila kukicha kuwa kanidondokea), cacico(mke mwee wa ukwee,utaendelea kuniletea viwalo vya kusumbua mitaa ya yetu ileeee)

Mke mwenza unaniangusha sasa hicho kibabu utakwenda nacho wapi?????? Pole weeee
 
Back
Top Bottom