Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aya kaka..kua uyaoneHapa ndipo wengi tunapokosea..yaani tunachukulia ukweni kama kitu cha ajabu sana..
Ndoa sio sehemu ya kuoneshana umwamba na nani anazo...
Mamamkwe anaweza kukupa MTAJI na ukafanya maisha pia..na pia babamkwe anaweza kukupa kampani kama mwanae..
Binafsi bado naamini uwepo wa 'equity and equality' kwenye ndoa aiseee..
Katika maisha hakuna formula fanya kile ambacho kwenye nafsi yako ni sawa, maana kama katika huo mfano hivyo vitu sio vyake in such ila ni kama zawadi kutoka kwa wazazi hivyo kama mzazi ameweza kununua hivyo sidhani kama yeye anashida ndogondogo....kwahiyo hana haja ya kuviacha nyumbani nani atatumia. Kama unaolewa na bwana ana maisha yake ni busara kuwaachia vitu nyumbani kama hawana uwezo kihivyo .Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
hata kama nina vitu nitampa na yeye room ya kutumia vitu vyake? kwani yeye hana..kwa nini vyake vitupwe mimi vyangu ndo viwekwe ndani...iyo hela ingefanyia vitu vingine sio kuja kututa vitu vya kijana wa watu nje na kuweka vya binti yakoKama watu hawakubali wanawake waende na vitu wakati wa kuolewa, sasa hao wanaofanya kazi hizo pesa wazifanyie nini??
Au wakimaliza shuke wasifanye kazi hadi watakapoolewa??
It does not make sense to me.
waume zao si wangetulia tuone?
Kama watu hawakubali wanawake waende na vitu wakati wa kuolewa, sasa hao wanaofanya kazi hizo pesa wazifanyie nini??
Au wakimaliza shuke wasifanye kazi hadi watakapoolewa??
It does not make sense to me.
Kiongozi uko karne gani? Mbona tayari wameshaanza kuoana?basi wanawake nao waanze kuoa kama ita make sense!!
sijui imekuwaje i see!bora umekuja mkuu!Umeacha hii thread imefika hadi huku
na ujinga woote huu?
Siku hizi watu hawajui 'the joy of achieving something small for yourself'...
Sio kwamba tunawawazia mabaya wenzetu, ukweli ni kwamba "experience is the best teacher"
Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia jinsi baadhi ya wanaume wanavyonyanyasika ndani ya ndoa zao, kisa mke kafungashiwa kontena la vitu kutoka kwao.
amefunga na macho kabisa kusikilizia!mwe !mwe!Kiongozi uko karne gani? Mbona tayari wameshaanza kuoana?
![]()
sijui imekuwaje i see!bora umekuja mkuu!
Ni bora wazazi kuwasaidia watoto pesa tu
lakini vitu vingine wafanye wenyewe
Mzazi unamnunulia mpaka mtoto kiwanja
Mzazi ukifa mtoto wala hajui ofisi za ardhi zilipo
wala hajui kuna kodi za viwanja kumbee
Kufanya wenyewe kunawafanya wa discover themselves pia
vitu kama tastes na ulazima au umuhimu wa kununua hiki au kile
Na msisahau tunaishi kwa connections...sasa mtoto lazima atengeneze connections zake pia
sio kila kitu arudi kwa baba au mama...apewe ki memo...
Mnasomeshas watotto Ulaya
Barua za kuomba kazi mnawaandikia
Interview pia mnawapa vimemo
Kazi kama ina tatizo mtoto anarudi ku ripoti kwa wazazi na sio kupigana huko huko oficin
Viwanja muwanunulie
Magari muwapatie
Halafu mnashangaa kwa nini wanakunywa sumu sababu ya boyfriend'girlfriend????
nikiongeza hapa nahisi ntaharibu!
Mkuu dunia kubwa sana hii, sijawahi kushuhudia hii maneno zaidi ya kushuhudia kwenye senema.Kiongozi uko karne gani? Mbona tayari wameshaanza kuoana?
Ni bora wazazi kuwasaidia watoto pesa tu
lakini vitu vingine wafanye wenyewe
Mzazi unamnunulia mpaka mtoto kiwanja
Mzazi ukifa mtoto wala hajui ofisi za ardhi zilipo
wala hajui kuna kodi za viwanja kumbee
Kufanya wenyewe kunawafanya wa discover themselves pia
vitu kama tastes na ulazima au umuhimu wa kununua hiki au kile
Na msisahau tunaishi kwa connections...sasa mtoto lazima atengeneze connections zake pia
sio kila kitu arudi kwa baba au mama...apewe ki memo...
Mnasomeshas watotto Ulaya
Barua za kuomba kazi mnawaandikia
Interview pia mnawapa vimemo
Kazi kama ina tatizo mtoto anarudi ku ripoti kwa wazazi na sio kupigana huko huko oficin
Viwanja muwanunulie
Magari muwapatie
Halafu mnashangaa kwa nini wanakunywa sumu sababu ya boyfriend'girlfriend????
basi wanawake nao waanze kuoa kama ita make sense!!
Ha ha haa be free...[/QUOTE
umegonga kwenye mfupa mkuu!kimsingi huwezi kumpa mtoto vitu vyote hivyo ukiamini unamsaidia no!,unakumbuka kuna ndoa ya watoto wa vigogo fulani hivi kanda ya ziwa ilifungwa kwa mbwembwe na zawadi zote za aina hyo ililast baada ya muda gani?